Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Nimesoma kitabu cha Mkapa, nimeona habari kama hizi kaziruka kabisa hajazitaja vilivyo.

Nikaona huyu Mzee katupunja sana habari hizi.

Itabidi wanahistoria wachimbe chini zaidi.
There are two sides to every story. Time will tell.
 
Halafu kuna kanisa linatoa mawazo kuwa afanywe mtakatifu.Kiukweli Nyerere hana sifa za kufanywa mwenye heri na mtakatifu labda mtakatifu wa siasa hapo sawa. 1.Kitendo cha ku saini hati ya kunyongwa mtu hata kama alikosa sifa ya utakatifu inapotea 2.Nyerere alikuwa mchoyo selfish 3.Alijiaminisha kuwa yeye ana akili kuliko watu wengine
 
Ushahidi tosha kuwa haupo tayari au hautaki kujifunza usiyoyafahamu.

Unatumia kipimo gani labda kumweka Nyerere kwenye kundi la wabinafsi?!
 
Asante
 
Uliambiwa na nani mkuu na kwa sababu zipi?
 
Mkuu kama naomba tuwekee kipeperushi na sisi hiki kizazi tuone na kujifunza historia yetu vyema
 
Asante
 
Nimefuitafuta sana hii historia. Nafurahi leo nimeipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…