Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyi sikilizeni, mara nyingi kukiwa na controversy namna hii kuhusu kiongozi ni lazima kuna sababu na kunakuwa na ukweli ktk pande zote mbili. Sasa huo ukweli saa ingine huwa unakuwa stretched kidogo kutokana na mapenzi au chuki (nalitumia neno hili very lightly and loosely).
Inawezekana kweli Nyerere kuna mambo aliyoyafanya ambayo mtu unaweza ku-argue kwamba kwa kiasi fulani yalikuwa ya kidikteta dikteta. Vile vile mtu unaweza uka-argue kwamba yalikuwa ni ya lazima given the situation. Mimi binafsi, naona kwamba mazuri ya Nyerere yanazidi mabaya aliyotenda.
Hakuwa m-baya hivyo. Vile vile sitashangaa kwa yeye kumtendea vibaya (kwa namna yoyote ile) Kambona kwa sababu walikuwa na beef na yeye alikuwa kwenye position ya power. Hiyo ni kawaida kabisa. Msitake kuniambia baada ya kufarakana kwao, Nyerere alikuwa bado anamzia Kambona kihivyo. Lazima alikuwa na dislike fulani. Ndio binadamu tulivyo.
In the final analysis nadhani mchango wa Nyerere ktk taifa ni mkubwa kuliko ule wa Kambona. Wote wana mazuri waliyofanya na wana mabaya waliyofanya. Nani anabisha?