Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Nyi sikilizeni, mara nyingi kukiwa na controversy namna hii kuhusu kiongozi ni lazima kuna sababu na kunakuwa na ukweli ktk pande zote mbili. Sasa huo ukweli saa ingine huwa unakuwa stretched kidogo kutokana na mapenzi au chuki (nalitumia neno hili very lightly and loosely).

Inawezekana kweli Nyerere kuna mambo aliyoyafanya ambayo mtu unaweza ku-argue kwamba kwa kiasi fulani yalikuwa ya kidikteta dikteta. Vile vile mtu unaweza uka-argue kwamba yalikuwa ni ya lazima given the situation. Mimi binafsi, naona kwamba mazuri ya Nyerere yanazidi mabaya aliyotenda.

Hakuwa m-baya hivyo. Vile vile sitashangaa kwa yeye kumtendea vibaya (kwa namna yoyote ile) Kambona kwa sababu walikuwa na beef na yeye alikuwa kwenye position ya power. Hiyo ni kawaida kabisa. Msitake kuniambia baada ya kufarakana kwao, Nyerere alikuwa bado anamzia Kambona kihivyo. Lazima alikuwa na dislike fulani. Ndio binadamu tulivyo.

In the final analysis nadhani mchango wa Nyerere ktk taifa ni mkubwa kuliko ule wa Kambona. Wote wana mazuri waliyofanya na wana mabaya waliyofanya. Nani anabisha?
 
.....

I mean right here, ndipo mambo yetu yalipoanza kwenda mrama as a nation, na ndio ninayoyasema kila siku, kumbuka kuwa to this point tulikuwa on the right track, kuaniza uchumi, uongozi, mpaka siasa, now look at the turn of events ambazo eventually, ndio zilizotufikisha tulipo!

Tizama kiongozi aliyekuwa na uwezo wa kuona mbali, exactly his argument then ndio hasa yalipolalia matatizo yetu, kumbe walikuwepo wenye akili ya kuona mbele, I mean this is very interesting story, pumba na mchele uko clear upande gani?

Wooow! Yaaani kweli haya mambo yalifanyika bongo under Mwalimu?

Sasa wakuu wangu bado kuna maswali kwamba kwa nini as a nation tupo hapa tulipo? Maana kwanga naona majibu yako clear hapa, kama kuna story ya upande wa pili tungekuwa tumeshaisikia, na pia tuliambiwa Kambona amekimbia Azimio La Arusha,

....lakini hapa ukweli unajionyesha wazi, au labda tusubiri na upande wa pili ulete yao pia, otherwise I am convinced kuwa huu ndio ukweli wenyewe wa kwa nini taifa letu limekwama!

Ahsante Mtoa Mada, yaanai you made my day
!

Thanks FMES,

hiyo conclusion ndiyo ukweli wenyewe (maneno yako kwenye red).

Matatizo yetu yote ni kwa sababu ya huyu dikiteta Nyerere. Taratibu tu kila kitu kumhusu yeye itabidi kifutwe ili taifa lianze upya bila Nyerere wala wafuasi wake.

Rest in Peace our hero Kambona.

Burn in Hell the dictator Nyerere.
 
Nyi sikilizeni, mara nyingi kukiwa na controversy namna hii kuhusu kiongozi ni lazima kuna sababu na kunakuwa na ukweli ktk pande zote mbili. Sasa huo ukweli saa ingine huwa unakuwa stretched kidogo kutokana na mapenzi au chuki (nalitumia neno hili very lightly and loosely). Inawezekana kweli Nyerere kuna mambo aliyoyafanya ambayo mtu unaweza ku-argue kwamba kwa kiasi fulani yalikuwa ya kidikteta dikteta. Vile vile mtu unaweza uka-argue kwamba yalikuwa ni ya lazima given the situation. Mimi binafsi, naona kwamba mazuri ya Nyerere yanazidi mabaya aliyotenda. Hakuwa m-baya hivyo. Vile vile sitashangaa kwa yeye kumtendea vibaya (kwa namna yoyote ile) Kambona kwa sababu walikuwa na beef na yeye alikuwa kwenye position ya power. Hiyo ni kawaida kabisa. Msitake kuniambia baada ya kufarakana kwao, Nyerere alikuwa bado anamzia Kambona kihivyo. Lazima alikuwa na dislike fulani. Ndio binadamu tulivyo. In the final analysis nadhani mchango wa Nyerere ktk taifa ni mkubwa kuliko ule wa Kambona. Wote wana mazuri waliyofanya na wana mabaya waliyofanya. Nani anabisha?

Nyani, unachosema wewe ndicho hicho ambacho wengine tumekuwa tukikisema lakini kinaonekana kama "blind loyalty". Hakuna mara moja binafsi na kwa upande wangu ambapo sijakiri mapungufu ya Nyerere au kuonesha makosa yake. Tatizo ni pale watu wanapofikia kumuita Dikteta. Mzee hili ni neno kubwa, zito, na it has a clear meaning and connotation. Sina ugomvi wa kifikra na mtu yeyote anayesema kuwa Nyerere alifanya makosa, kwani nimeshasema hayo na yeye mwenye alikiri as much. Tena yeye aliongeza na kusema "kwanini sisi miungu sisi tusifanya makosa". Lakini kuyaweka makosa ya kimkakati, au kiitikadi na kuyaweka kwenye kundi la makosa ya kidikteta. Kaka, hapa napinga kwa nguvu zote.

Upande wa pili ni hivyo hivyo. Ukiangalia maandishi yangu (ambayo napima kila neno ninaloandika) sijawahi kusema Kambona hana mchango kwa Taifa hili. As a matter of fact naamini mchango wake lazima utambulike. Na pamoja kuwa naamini makosa yake ya baadaye ni mazito na makubwa lakini haistahili kumfuta katika historia yetu. Na nimejenga hoja huko nyuma kuwa kama kuna kitu chochote cha kumkumbuka Kambona basi tumkumbuke kwa yale aliyoyafanya tangia harakati za uhuru, na katika utumishi wake kwa jamhuri yetu hadi alipokimbia. Hayo ya kukimbia tutayazungumza baadaye.

Sasa, mjadala unaweza kwisha kindugu (I know wengi wetu tumeenda mbali zaidi) tukikubaliana mambo kadhaa:

a. Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere hakuwa Dikteta in any sense of the word.

b. Nyerere kama Binadamu wengine alifanya makosa ya kiuongozi (k.m jinsi alivyocompromise principle ya equality), ya kimkakati (kama kutokaa na Kambona na wengine kukubaliana kutokubaliana bila kulazimisha wengine wajisikie wakimbizi); ya kisera (kutaifisha hadi mashamba ya mkonge ambayo yalikuwa ni chanzo kikubwa cha forex) n.k Makosa hayo yote hayakutokana na sababu ya a bali imani thabiti kuwa yalikuwa na lengo la kunufaisha watu wake siyo kujinufaisha yeye mwenyewe.

c. Kambona, kama muasisi wa Taifa letu alifanya mambo mengi mazuri lakini pia alifanya makosa kadha wa kadha alipotoka na kwenda nje ya nchi kama mkimbizi. Makosa ya kimkakati (kutaka kupindua nchi), makosa ya kisera (kumtangaza Nyerere kama Dikteta - wewe unamuita Dikteta mtu halafu akukaribishe chakula).

d. Makosa ya Kambona kama binadamu kutoka na uchungu, hasira n.k hayatoshi kumfanya afutwe katika Historia na wakati umefika kumrudishia heshima yake.

e. Matatizo yanayoendelea sasa hivi katika uongozi wetu hatuwezi kumtwika Nyerere. Nyerere kawaachia nchi miaka 22 iliyopita na ameshafariki miaka nane iliyopita. Kama tumeshindwa kujijengea sera, maadili n.k sisi wenyewe bila Mwalimu basi tuna tatizo kubwa zaidi kuliko mzimu wa Nyerere. Tuwabebeshe lawama viongozi wa leo.

Unasemaje?
 
Fair enough!
 
Mimi napendekeza uwanja wa michezo wa Kambarage shinyanga ubadilishwe jina kuitwa Yasin Memba na ndugu yake kwa vile waliteka ndege ili kumtoa dikiteta Nyerere madarakani
 
Inabidi pia mtoto wa Nyerere Makongoro avuliwe uenyekiti wa ccm huko musoma ili apewe binti wa Kambona.

Unajua hawa madikiteta inabidi kuwaadhibu hadi watoto wao kama Nigeria wanavyofanya kwa familia za madikiteta.
 
Do you really believe Nyerere was a dictator?

whaaat?

Eti mtu mzima mwenye akili timamu, unakaa mbele ya wananchi ambao pia ni watu wazima wenye akili timamu, halafu wanaanza kukimbia nyimbo zinazosema kuwa fikira zako zidumu, na wewe umekaa pale unafurahi kama vile ni mazuri hayo, unasema huyo sio dikteta?

Then nini maana yake dikteta? Sio kuwalazimisha wananchi kufikiri na kufurahia mawazo yako tu, wanaokataa hutupwa kwenye jela maalum kwenye visiwa vya Mafia, au?

Yaani hapa FMES umekamilisha kila kitu.

Akaimbiisha wanafunzi nchi nzima kuimba nyimbo za kumsifia (talk about Nyerere kuwa all over the country).

Yaani huyu dictator baada ya kutupa watu huko mafia, akaanza kuiba madini na pesa zote za nchi na kuziweka kwenye mabenki ya nje.

This guy, inabidi kwanza mwili wake ufukuliwe pale ulipozikwa kisha awekwe huko kisiwani mafia ili asikie uchungu wa kuweka mamilioni ya watanzania huko mafia!

grrrrrrrrr
 
Nyani, unachosema wewe ndicho hicho ambacho wengine tumekuwa tukikisema lakini kinaonekana kama "blind loyalty". Hakuna mara moja binafsi na kwa upande wangu ambapo sijakiri mapungufu ya Nyerere au kuonesha makosa yake. Tatizo ni pale watu wanapofikia kumuita Dikteta. Mzee hili ni neno kubwa, zito, na it has a clear meaning and connotation. Sina ugomvi wa kifikra na mtu yeyote anayesema kuwa Nyerere alifanya makosa, kwani nimeshasema hayo na yeye mwenye alikiri as much. Tena yeye aliongeza na kusema "kwanini sisi miungu sisi tusifanya makosa". Lakini kuyaweka makosa ya kimkakati, au kiitikadi na kuyaweka kwenye kundi la makosa ya kidikteta. Kaka, hapa napinga kwa nguvu zote.

Upande wa pili ni hivyo hivyo. Ukiangalia maandishi yangu (ambayo napima kila neno ninaloandika) sijawahi kusema Kambona hana mchango kwa Taifa hili. As a matter of fact naamini mchango wake lazima utambulike. Na pamoja kuwa naamini makosa yake ya baadaye ni mazito na makubwa lakini haistahili kumfuta katika historia yetu. Na nimejenga hoja huko nyuma kuwa kama kuna kitu chochote cha kumkumbuka Kambona basi tumkumbuke kwa yale aliyoyafanya tangia harakati za uhuru, na katika utumishi wake kwa jamhuri yetu hadi alipokimbia. Hayo ya kukimbia tutayazungumza baadaye.

Sasa, mjadala unaweza kwisha kindugu (I know wengi wetu tumeenda mbali zaidi) tukikubaliana mambo kadhaa:

a. Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere hakuwa Dikteta in any sense of the word.

b. Nyerere kama Binadamu wengine alifanya makosa ya kiuongozi (k.m jinsi alivyocompromise principle ya equality), ya kimkakati (kama kutokaa na Kambona na wengine kukubaliana kutokubaliana bila kulazimisha wengine wajisikie wakimbizi); ya kisera (kutaifisha hadi mashamba ya mkonge ambayo yalikuwa ni chanzo kikubwa cha forex) n.k Makosa hayo yote hayakutokana na sababu ya a bali imani thabiti kuwa yalikuwa na lengo la kunufaisha watu wake siyo kujinufaisha yeye mwenyewe.

c. Kambona, kama muasisi wa Taifa letu alifanya mambo mengi mazuri lakini pia alifanya makosa kadha wa kadha alipotoka na kwenda nje ya nchi kama mkimbizi. Makosa ya kimkakati (kutaka kupindua nchi), makosa ya kisera (kumtangaza Nyerere kama Dikteta - wewe unamuita Dikteta mtu halafu akukaribishe chakula).

d. Makosa ya Kambona kama binadamu kutoka na uchungu, hasira n.k hayatoshi kumfanya afutwe katika Historia na wakati umefika kumrudishia heshima yake.

e. Matatizo yanayoendelea sasa hivi katika uongozi wetu hatuwezi kumtwika Nyerere. Nyerere kawaachia nchi miaka 22 iliyopita na ameshafariki miaka nane iliyopita. Kama tumeshindwa kujijengea sera, maadili n.k sisi wenyewe bila Mwalimu basi tuna tatizo kubwa zaidi kuliko mzimu wa Nyerere. Tuwabebeshe lawama viongozi wa leo.

Unasemaje?

Udikteta sio neno zito kabisa. Kinachotusumbua ni tafsiri ya udikteta. Kwetu dikteta ni kiongozi anayetumia mabavu, anayetumia madaraka kwa faida yake na ikiwezekana anakuna nyama za watu.

Lakini kuna kundi la dikteta (Benevolent dictator), ambao wanatumia uongozi wa kimla kwa manufaa ya umma. Watanzania wakipata picha Benevolent dictator ni nani, basi hatutaona uzito wowote wa kumweka Nyerere katika kundi hilo.

Unapotaifisha shule za kidini hili zisomeshe taifa zina huo ni udikteta. Unapomlazimisha mtu kuacha mali zake na kwenda kijiji kingine hili serikali imjengee shule au zahanati huo ni udikteta.

Watanzania wengi waliosoma wamepitia katika mfumo alianzisha Nyerere. Na wasiwasi wao ni kuwa bila ya Nyerere mfumo wa elimu usingekuwepo na wasingepata nafasi ya kusoma, hivyo kusema Nyerere alikuwa dikteta inakuwa nzito.

Kuhusu mada, mtu yoyote aliyefikiria kuwa ujamaa hauna maana tena kipindi cha 1967 ni lazima atakuwa na upeo wa kumzidi Nyerere na hiyo ni fact. Na Kambona anastahili kupata sifa hizo za kuonyesha kuwa sio watanzania wote walikuwa mambumbu.
 
Mwana wa Maryamu ni nchi ngapi sasa hivi duniani ni za kijamaa na they are still fairing better than us? Kama huwezi kukumbuka naweza kukusaidia.
 
Mwanakijiji:

Suala la nchi zingine kufanya au kutofanya vizuri haliusiani kabisa na nafasi ya maendeleo ya Tanzania duniani. Tulikuwa na nafasi ya kutofuata Ujamaa na kuna watanzania kama Kambona ambao hawakukubaliana na hiyo siasa na hawakupewa muda na nafasi kuelezea mapingamizi yao.

Ni mapungufu ya critical analysis ambayo wafuasi wa Ujamaa na Nyerere wanashindwa kuelezea. Na hakuna sababu ya kutaja mafanikio au mapungufu ya ujamaa katika nchi zingine ili kumtetea Nyerere na siasa zake.

Tulishindwa ujamaa kwa sababu Deep Down watanzania tulikuwa hatuutaki. Lakini kwa sababu ya woga, tulishindwa kusema.
 
Hivi kuna nchi yoyote ambayo ubepari ulifanikiwa?

just being curious!
 
Mwanakijiji:

Suala la nchi zingine kufanya au kutofanya vizuri haliusiani kabisa na nafasi ya maendeleo ya Tanzania duniani. Tulikuwa na nafasi ya kutofuata Ujamaa na kuna watanzania kama Kambona ambao hawakukubaliana na hiyo siasa na hawakupewa muda na nafasi kuelezea mapingamizi yao.

Walipewa nafasi hawakuwa na hoja! walishindwa.

Ni mapungufu ya critical analysis ambayo wafuasi wa Ujamaa na Nyerere wanashindwa kuelezea. Na hakuna sababu ya kutaja mafanikio au mapungufu ya ujamaa katika nchi zingine ili kumtetea Nyerere na siasa zake.

Tanzania siyo kisiwa, tulipofuata sera za kijamaa pure and simple tuliweza kufanya mambo ambayo leo hii inaoenkana hadi wafadhali watokee ndio yafanyike. Hatuwezi kujizuia kulinganisha maendeleo ya nchi nyingine na mifumo yao na kuona wapi sisi tulienda kombo. Leo nchi za Uchina, Vietnam na Cuba (kama wangeondolewa vikwazo..) wako mbali kuliko sisi. Na hizo siyo tu za kijamii ni za kikomunisti. Ubepari haujashinda kama unavyofikiria kuna nchi za kinordiki ambazo ziko karibu zaidi na usoshalisti kuliko Ubepari.

Tulishindwa ujamaa kwa sababu Deep Down watanzania tulikuwa hatuutaki. Lakini kwa sababu ya woga, tulishindwa kusema.

hatukushindwa ujamaa kwa sababu hiyo. Ujamaa ulishindwa kwa sababu tulishindwa kuusynthesize kwa kufuata maisha yetu na hulka yetu kama waafrika. Na nguvu za kinyume zilikuwa nyingi zaidi. Watanzania hata leo bado wanatamani ile roho ya ujamaa wote nayo ni sehemu kubwa ya Azimio la Arusha.
 
Yaani hapa FMES umekamilisha kila kitu.

Akaimbiisha wanafunzi nchi nzima kuimba nyimbo za kumsifia (talk about Nyerere kuwa all over the country).

Yaani huyu dictator baada ya kutupa watu huko mafia, akaanza kuiba madini na pesa zote za nchi na kuziweka kwenye mabenki ya nje.

This guy, inabidi kwanza mwili wake ufukuliwe pale ulipozikwa kisha awekwe huko kisiwani mafia ili asikie uchungu wa kuweka mamilioni ya watanzania huko mafia!

grrrrrrrrr

Childish, pathetic, ridiculous.....two thumbs down, you name it and will fit in this "magnifico" combo of wierd!!!!!........... halafu boo wako anaongelea wanaoshindwa hoja huleta vioja!!!?.

Halafu sometimes nakuwa nahisi pengine tuna-deal na "jump off" flani hivi hapa bila kujijua.................aaaaaagh!.
 
Kuhusu mada, mtu yoyote aliyefikiria kuwa ujamaa hauna maana tena kipindi cha 1967 ni lazima atakuwa na upeo wa kumzidi Nyerere na hiyo ni fact. Na Kambona anastahili kupata sifa hizo za kuonyesha kuwa sio watanzania wote walikuwa mambumbu.

Binti Maryam,

I like this, very deep na ubarikiwe!
 
Walipewa nafasi hawakuwa na hoja! walishindwa.

Tanzania siyo kisiwa, tulipofuata sera za kijamaa pure and simple tuliweza kufanya mambo ambayo leo hii inaoenkana hadi wafadhali watokee ndio yafanyike. Hatuwezi kujizuia kulinganisha maendeleo ya nchi nyingine na mifumo yao na kuona wapi sisi tulienda kombo. Leo nchi za Uchina, Vietnam na Cuba (kama wangeondolewa vikwazo..) wako mbali kuliko sisi. Na hizo siyo tu za kijamii ni za kikomunisti. Ubepari haujashinda kama unavyofikiria kuna nchi za kinordiki ambazo ziko karibu zaidi na usoshalisti kuliko Ubepari.

hatukushindwa ujamaa kwa sababu hiyo. Ujamaa ulishindwa kwa sababu tulishindwa kuusynthesize kwa kufuata maisha yetu na hulka yetu kama waafrika. Na nguvu za kinyume zilikuwa nyingi zaidi. Watanzania hata leo bado wanatamani ile roho ya ujamaa wote nayo ni sehemu kubwa ya Azimio la Arusha.

Kwi kwi kwi,

yani wewe naona unahangaika kumtetea dikiteta Nyerere, huchoki tu na ukubali yaishe?

Kwanza nimepata idea mpya ya kumfukuza mama Maria kutoka Msasani na kisha ile nyumba ya Butiama iliyojengwa na Jeshi inabidi itaifishwe ili ipewe familia ya shujaa wetu Kambona.
 
Walipewa nafasi hawakuwa na hoja! walishindwa.

Tanzania siyo kisiwa, tulipofuata sera za kijamaa pure and simple tuliweza kufanya mambo ambayo leo hii inaoenkana hadi wafadhali watokee ndio yafanyike. Hatuwezi kujizuia kulinganisha maendeleo ya nchi nyingine na mifumo yao na kuona wapi sisi tulienda kombo. Leo nchi za Uchina, Vietnam na Cuba (kama wangeondolewa vikwazo..) wako mbali kuliko sisi. Na hizo siyo tu za kijamii ni za kikomunisti. Ubepari haujashinda kama unavyofikiria kuna nchi za kinordiki ambazo ziko karibu zaidi na usoshalisti kuliko Ubepari.

hatukushindwa ujamaa kwa sababu hiyo. Ujamaa ulishindwa kwa sababu tulishindwa kuusynthesize kwa kufuata maisha yetu na hulka yetu kama waafrika. Na nguvu za kinyume zilikuwa nyingi zaidi. Watanzania hata leo bado wanatamani ile roho ya ujamaa wote nayo ni sehemu kubwa ya Azimio la Arusha.

Mwanakijiji:

Nyerere hakutoa nafasi kwa mtu yoyote kupinga mawazo yake. Sababu ya Tanzania kuwa na magazeti ya uhuru, mzalendo, daily news na Sunday news tu katika kipindi cha nyuma ni kunyima uhuru wa wengine kusema.

Angekuwepo madarakani leo na siasa zake za ujamaa Tanzania ingekuwa haina internet. Na vi-blog vyenu visingekuwepo.

BBC world Service kila siku inatangaza bei ya bidhaa duniani. Lakini Nyerere akafanya watanzania kuwa matahira. Anasikiliza BBC world Service na baadaye anato-hotuba za bei za mazao zinavyoshuka duniani na watu wanafikiri Nyerere ana uwezo wa kutabiri bei za mazao.

China, Cuba na Vietnam wako mbali kwa sababu walikuwa mbali sana zaidi yetu kabla ujamaa na kabla ya kutawaliwa. Zaidi ya miaka mia tano iliyopita wakati Maco Polo anatembelea China alikuta tayari wanatumia noti kama pesa. Miaka 2000 iliyopita wachina tayari walikuwa na pump za kuvuta maji zenye muundo sawa na pump zinazotumika kuvuta mafuta au gesi sasa.

Vietnama ilikuwa koloni la China hivyo hakuna la kuongeza. Ukienda Cuba, sehemu kubwa ya nchi hiyo imejengwa kabla Castro hajaingia madarakani.

Nchi za Nordic ambao wakazi wake ni Viking walitawala sehemu kubwa ya ulaya ya kaskazini ikiwemo United Kingdom na kuvumbua Marekani kabla ya Columbus. Watu kama hao wenye miundo wa kiserikali yenye uzoefu na muda mrefu, wenye technologia ya kujitegemea na mitaji ya uhakika wanaweza kuchagua mfumo wowote wa uchumi na wakianguka wanaelewa wapi pa kuanzia.

Ukirudi kwetu, miaka 120 sehemu kubwa ya nchi ilikuwa bado iko primitive. Ata makabila yaliosoma yalikuwa hajui kuvaa nguo katika kipindi hicho. Hivyo kuchukua mifano ya nchi nyingi kuonyesha mafanikio ya ujamaa IS PURE CRAP.

Mada hii inahusu Kambona. Kambona aliona Ujamaa haufai. Na bila ya watu kama Kambona Nyerere asingepata hiyo nafasi ya kuleta Ujamaa. Nyerere alipoambia kuchagua ualimu au siasa. Nyerere alichagua ualimu. Ni kina Kambona waliomwambia wako tayari kumlipia gharama za maisha akiacha ualimu. Leo hii historia yako inasema ni kwa mapenzi ya wananchi Baba wa taifa aliachia kazi ya ualimu na kuendelea kupigania uhuru. Ukweli ni kuwa mzee mzima alibwaga manyanga na hiyo ni fact.
 
Bin Maryam,
Karibu jamvini ndugu, post yako hapo juu ni maridadi sana.........umewapeleka way back ktk historia, lakini (wasi)2 wangu wanaweza wasielewe.

Adam Smith(the father of modern economics), kama anavyojulikana ktk dunia ya magharibi....lived btn 1723-1790, ktk ile article yake "Of the Natural Progress of Opulence," miaka hiyooooooo aliandika kuhusu China as econimic power to be recogn na kwanini wakati huo haikuwa on top!!!! I hope jibu lipo obvious!

Sasa Mwalimu kakurupuka anataka kuiga China, ataweza wapi?? au leo hii mtu anashangaa ati mbona China inafanya vizuri/kusema ati na wao pia walikuwa wajamaa kama sisi, ebo, are u out of your mind??? hawa watu walikuwa na misingi kitambo ago, hao China wana watu kama Lao Tzu(551-479 B.C) au Tsun Tzu ambao wameandika kuhusu goverment(jinsi utakavyoporomoka na wapi pa kutokea) miaka kibao ilopita!!!! watu walikuwa wanajua nini wanafanya sisi tulikuwa tunaiga.....kuna ule msemo, "muiga kunya kwa tembo................"

Kama una muda soma Lao Tzu's, " Thoughts from the Tao-te Ching." Goodluck!!.
 
Bin Maryam,
Karibu jamvini ndugu, post yako hapo juu ni maridadi sana.........umewapeleka way back ktk historia, lakini (wasi)2 wangu wanaweza wasielewe.

Adam Smith(the father of modern economics), kama anavyojulikana ktk dunia ya magharibi....lived btn 1723-1790, ktk ile article yake "Of the Natural Progress of Opulence," miaka hiyooooooo aliandika kuhusu China as econimic power to be recogn na kwanini wakati huo haikuwa on top!!!! I hope jibu lipo obvious!!!. Sasa Mwalimu kakurupuka anataka kuiga China, ataweza wapi?? au leo hii mtu anashangaa ati mbona China inafanya vizuri/kusema ati na wao pia walikuwa wajamaa kama sisi, ebo, are u out of your mind??? hawa watu walikuwa na misingi kitambo ago, hao China wana watu kama Lao Tzu(551-479 B.C) au Tsun Tzu ambao wameandika kuhusu goverment(jinsi utakavyoporomoka na wapi pa kutokea) miaka kibao ilopita!!!! watu walikuwa wanajua nini wanafanya sisi tulikuwa tunaiga.....kuna ule msemo, "muiga kunya kwa tembo................"

Kama una muda soma Lao Tzu's, " Thoughts from the Tao-te Ching." Goodluck!!.

Mwanakijiji anajiita msomi mzuri wa historia lakini nina wasiwasi anachanganya historia na siasa.
 
Back
Top Bottom