Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Mkuu hiyo statement ya kuongopa ni kali sana ila naona inakurudia wewe maana umesema kuwa ameongopa bila kutoa "ukweli" ili kuhakikisha vingine (prove otherwise).

Kwa kushindwa kutoa namba tofauti, inaonekana ni kweli kuwa nchi ilikuwa na wazawa 2, 12, 15% kama alivyosema Maswali hapo juu na hii ni big deal sana kwa nchi inayotaka kuendelea. Je wakati Nyerere akistaafu hiyo number ilikuwa imefikia wapi? (yaani kulikuwa na mainjinia na madakitari wazawa wangapi? na 15% ilikuwa imefikia ngapi?).

Bado nakusubiri upinge au ukubali hoja kuwa hakuna nchi duniani iliyotumia ubepari pekee au ujamaa pekee katika kuleta maendeleo na pia ujibu kama NASA nk ni uzalishaji wa kibepari au kijamaa

Nchi inafanya kazi kwa workforce iliyopo ndani ya nchi bila kujali utaifa wa watu hao. Na hiyo ndio point yangu. Tanzania ilikuwa na madaktari wa kihindi, kigiriki na kizungu na walifanya kazi zilizoleta maendeleo.

Chukua mfano wa ujenzi wa reli Tanzania wakati wa kipindi cha mjerumani. Ni injinia wangapi walitumika? Hata 10 hawafiki.

Nyerere amesomesha ma-injinia wa ujenzi wa reli kibao lakini kama wanashindwa kufanya wanachotakiwa, hakuna sababu ya kuwapeleka shule.

Wakati Nyerere ana-staafu, kuliwa na madaktari wengi na ma-injinia wengi lakini kulikuwa hakuna mtaji (CAPITAL) wa kuwafanya wawe productive.

Ujamaa sio mfumo wa kuleta maendeleo. Ni mfumo wa watu kuishi kwa raha na kutumia mali ya umma kama wako peponi (Kasome DAS KAPITAL by Karl Marx).

Nchi zote za Scandinavia, Marekani ya Kaskazini, Ulaya Magharibi walishautumia ubepari kuleta maendeleo kwanza. Na wanachokifanya ni kujaribu quasi-Ujamaa kugawana matumizi ya mali ya umma.

Kuhusu NASA sina la kusema unachanganya madawa sawa. NASA ni idara ya serikali kama vile magereza au polisi. Hata Mtwa Mkwawa alikuwa na idara zake za serikali. Idara za serikali hazina uhusiano wowote na mada.
 
Idara ya uma au serikali ikitumika kuzalisha mali basi huo si uzalishaji wa kibepari bali wa kijamaa. Ndio maana naelewa kwa nini unakwepa hili swali. Hata kama ukitumia magereza, jeshi au wanafunzi wa shule kuzalisha mali kama jumuiya ujue kuwa hiyo ni social production kama unabisha pia hili useme.

Hakuna nchi yoyote duniani iliyotumia ubepari pekee kuzalisha mali katika kipindi chochote kile cha historia. Ulaya ilijengwa kwa kuanza na Roma na dunia yote inajua Roma ilitumia ujamaa na utumwa kujiendeleza na sio ubepari peke yake.

Ni kweli ujamaa umekuwa na kasoro kibao na mimi sio mshabiki kabisa wa ujamaa. Ila pia ni vyema kukubali pia kuwa ubepari peke yake ulishindwa kabisa hata kuanza ndio maana mabepari wamekuwa wanasisitiza issue ya kuwa na strong govts ili kusaidia mambo yao yanapokwenda kombo. Kwa msingi huu mimi sio pia mshabiki wa ubepari pekee.

Mambo mazuri katika mifumo hii miwili yanaweza kuchukuliwa na kukajengwa na mfumo bora kabisa na hiki ndicho watanzania wa leo inabidi tujifunze badala ya kukaa tu tunamlaumu Nyerere (amekufa) kwa ujamaa au Mwinyi (amezeeka sana) kwa ubepari.

Asante
 
Hii point ya madeni wakuu Bin Maryam na FMES watakuwa wanakosea wakiifanya kuwa ilisababishwa na ujamaa au sera za Nyerere pekee.

Mkuu katika miaka 22 ya uhuru wetu tayari tulikuwa tume-accumulate madeni ya dola Billioni saba, kwa maneno yako hili sio tatizo lililosababishwa na Ujamaa, sasa mkuu hebu onyesha exactly zilitumika kufanyia nini? kama sio kulipia sera zisizokuwa na faida kwa taifa?

Halafu je wakati anaacha urais aliacha surplus kwa serikali maana hata Mkapa did? Halafu unafahamu kuwa under Karume, Zanzibar hawakuwa na madeni? Mkuuu madeni mengi aliyoyaacha Mwalimu, hayakuwa na faida kwa taifa kwa sababu hayakutengeneza anything worthy au convincing as investment kwa the future, yaliishia kulipia mikutano ya CCM, na magwaride ya uhuru, na gharama za kukimbiza chuma chenye moto, yaani mwenge!!
 
Idara ya uma au serikali ikitumika kuzalisha mali basi huo si uzalishaji wa kibepari bali wa kijamaa. Ndio maana naelewa kwa nini unakwepa hili swali. Hata kama ukitumia magereza, jeshi au wanafunzi wa shule kuzalisha mali kama jumuiya ujue kuwa hiyo ni social production kama unabisha pia hili useme.

Hakuna nchi yoyote duniani iliyotumia ubepari pekee kuzalisha mali katika kipindi chochote kile cha historia. Ulaya ilijengwa kwa kuanza na Roma na dunia yote inajua Roma ilitumia ujamaa na utumwa kujiendeleza na sio ubepari peke yake.

Ni kweli ujamaa umekuwa na kasoro kibao na mimi sio mshabiki kabisa wa ujamaa. Ila pia ni vyema kukubali pia kuwa ubepari peke yake ulishindwa kabisa hata kuanza ndio maana mabepari wamekuwa wanasisitiza issue ya kuwa na strong govts ili kusaidia mambo yao yanapokwenda kombo. Kwa msingi huu mimi sio pia mshabiki wa ubepari pekee.

Mambo mazuri katika mifumo hii miwili yanaweza kuchukuliwa na kukajengwa na mfumo bora kabisa na hiki ndicho watanzania wa leo inabidi tujifunze badala ya kukaa tu tunamlaumu Nyerere (amekufa) kwa ujamaa au Mwinyi (amezeeka sana) kwa ubepari.

Asante

Sitakata kukujibu swali na NASA kwa undani kwa sababu nitaoneka kama najimwagia UJIKO. Nilifanya kazi NASA katika center ya mambo ya sayansi ya hewa (Atmospheric Science).

Kazi za NASA sio za faida na sio za uzalishaji. Wanachofanya ni researches ambazo zinahitaji fungu moja kwa moja kutoka Congress na kupitishwa na Rais.

Bila kupewa ruzuku hakuna kinachoweza kufanyika katika idara hiyo.

Na wanapopewa ruzuku nao wanatoa tenda kwa makampuni binafsi kutengeneza. Hivyo ukiona meli ya angani (Space Craft) usifikiri imetengenezwa na idara hiyo. Walichofanya wao ni utafiti tu na specification baada ya hapo wanatoa tenda kwa mashirika binafsi kutengeza. Kwa mfano Hubble Space Telescope, telescope ilitengenezwa na Johns Hopkins University Applied Physics Laboratory. Expert system software inayofanya diagnostic ya uzima wa vyombo vya telescope ilikuwa developed na Computer Science Cooperation.

Kwanini usi-google kwanza kabla ya kutoa hoja. Naona una-mapungufu ya kitaalamu ya mfumo wa maendeleo. Nimekuomba kasome DAS KAPITAL (by Karl Marx).

Na benki ya dunia inagawanya nchi katika nchi zilizoendelea, nchi za masoko yanayoinuka na nchi masikini.

Nchi zote zilizopo katika kundi la nchi zilizoendelea zilianza na ubepari kwanza. Hivyo hizo ziliendelea kabla ya concept ya ujamaa kuwa conceived. Ujamaa ni concept ilikuja miaka kama 120 iliyopita wakati nchi zilikuwa zimeendelea tayari.

Concept ya Ujamaa ni changa sana duniani na haijawahi kuliondoa taifa lolote kutoka katika kundi la nchi masikini kwenda kwenye nchi iliyoendelea.
 
Mwana wa Maryam ndiye Bin Maryam pia kumbe?

Ni sawa tu ukisema umefanya NASA kwa sababu haipunguzi au kuongeza hoja zako kama zisiposimama zenyewe mkuu. Nisingejali kabisa na wala sioni ujiko wowote as longer as wewe haujui mimi nafanya wapi kazi sasa hivi.

Tatizo lako mkuu unajaribu sasa kuongelea masuala ya kijamii na kiuchumi kwa kutumia sayansi. Kasome tafsiri ya uzalishaji uone kuwa uzalishaji (production) sio lazima uwe kwa ajili ya faida.

Tena wasipofanya kwa faida ndio wanafit kabisa definition ya ujamaa maana wajamaa walio kwenye extreme wanapinga kunyonya watu kwa kutafuta faida.

Nimependa sana ulivyotumia hilo neno kupewa ruzuku. Ukishatoa ruzuku mkuu ndio kabisa umefit definition ya social production yaani uzalishaji wa jumuiya - kukusanya kodi, pesa au nguvu kwa watu na kuzitumia kufanya uzalishaji wa pamoja kwa manufaa ya pamoja. Kumbuka kuwa ujamaa ni socialism (emphasis on social)

Mkuu ni vizuri kusema kuwa nina mapungufu ya kitaalamu ila inaonekana wewe hapa ndio inabidi utafute kujua maana ya haya maneno mawili - capitalism (Ubepari) na Socialism (ujamaa).

Neno ujamaa (socialism) ndio inawezekana limeanza kutumika leo lakini mkuu mfumo (system) wa kijamaa umekuwepo kwa miaka mingi sana.

Labda ujiulize swali moja - mfumo wa kisiasa wa ufalme ni wa kijamaa au kibepari? Kwenye mfumo wa utawala wa kifalme, je watu wanazalisha kibepari au kijamaa (kijumuia kwa manufaa ya mfalme na jumuia)?

Labda nikijua tafsiri yako ya neno capitalism (ubepari) na ile ya neno (ujamaa) ndio naweza kuelewa kwa nini unasema kuwa nchi zilizoendelea zilitumia ubepari tu kuendelea. Ukweli unaonyesha tofauti kabisa tena inawezekana Roma ilijengwa sana kijamaa kuliko kibepari.
 
Hii point ya madeni wakuu Bin Maryam na FMES watakuwa wanakosea wakiifanya kuwa ilisababishwa na ujamaa au sera za Nyerere pekee.

Mkuu katika miaka 22 ya uhuru wetu tayari tulikuwa tume-accumulate madeni ya dola Billioni saba, kwa maneno yako hili sio tatizo lililosababishwa na Ujamaa, sasa mkuu hebu onyesha exactly zilitumika kufanyia nini? kama sio kulipia sera zisizokuwa na faida kwa taifa?

Ok, umeuliza swali hapo kuwa deni la dola bilioni saba lilisababishwa na nini. Hebu tuone majibu yako mwenyewe kwenye hii paragaraph inayofuata.

Halafu je wakati anaacha urais aliacha surplus kwa serikali maana hata Mkapa did? Halafu unafahamu kuwa under Karume, Zanzibar hawakuwa na madeni?

Mkuuu madeni mengi aliyoyaacha Mwalimu, hayakuwa na faida kwa taifa kwa sababu hayakutengeneza anything worthy au convincing as investment kwa the future, yaliishia kulipia mikutano ya CCM, na magwaride ya uhuru, na gharama za kukimbiza chuma chenye moto, yaani mwenge!!

Mkuu FMES,

Madeni mengi aliyoacha Nyerere yalifanya hicho unachosema? Are you serious? Hata kama unamchukia Nyerere kiasi gani lakini ni vyema ukatumia principle yako ambayo huwa unasema hapa kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Wakati wa Nyerere hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa, hakuna hospitali au shule iliyojengwa, hakuna barabara au nguvu za umeme na simu vilijengwa, hakuna chochote isipokuwa mwenge na mikutano ya ccm?

Sasa nimegundua kwa nini hii mada iligeuka haraka sana kutoka kwa kumtafutia Kambona nafasi katika historia na kuwa ya kupondea na kubeza kila alichofanya Nyerere.

Nimesema hapo juu kuwa siupendi ujamaa na pia simpendi Nyerere. Ila kama tutafanya mada ya kujadili historia kuwa nafasi ya kuponda na kubeza viongozi waliopita (wote Nyerere na Kambona kama inavyofanywa hapa), wote mwisho wa siku tunaonekana kuwa tu na utoto kama wa huyo mwafrika wa kike na pumba zake.

Mkuu FMES, kuna mengi sana unaweza kusema kuhusu Nyerere ila kudai kuwa Nyerere hakufanya chochote ila mwenge na vikao vya ccm utakuwa unamuonea mzee wa watu.
 
Mwana wa Maryam ndiye Bin Maryam pia kumbe?

Ni sawa tu ukisema umefanya NASA kwa sababu haipunguzi au kuongeza hoja zako kama zisiposimama zenyewe mkuu. Nisingejali kabisa na wala sioni ujiko wowote as longer as wewe haujui mimi nafanya wapi kazi sasa hivi.

Tatizo lako mkuu unajaribu sasa kuongelea masuala ya kijamii na kiuchumi kwa kutumia sayansi. Kasome tafsiri ya uzalishaji uone kuwa uzalishaji (production) sio lazima uwe kwa ajili ya faida.

Tena wasipofanya kwa faida ndio wanafit kabisa definition ya ujamaa maana wajamaa walio kwenye extreme wanapinga kunyonya watu kwa kutafuta faida.

Nimependa sana ulivyotumia hilo neno kupewa ruzuku. Ukishatoa ruzuku mkuu ndio kabisa umefit definition ya social production yaani uzalishaji wa jumuiya - kukusanya kodi, pesa au nguvu kwa watu na kuzitumia kufanya uzalishaji wa pamoja kwa manufaa ya pamoja. Kumbuka kuwa ujamaa ni socialism (emphasis on social)

Mkuu ni vizuri kusema kuwa nina mapungufu ya kitaalamu ila inaonekana wewe hapa ndio inabidi utafute kujua maana ya haya maneno mawili - capitalism (Ubepari) na Socialism (ujamaa).

Neno ujamaa (socialism) ndio inawezekana limeanza kutumika leo lakini mkuu mfumo (system) wa kijamaa umekuwepo kwa miaka mingi sana.

Labda ujiulize swali moja - mfumo wa kisiasa wa ufalme ni wa kijamaa au kibepari? Kwenye mfumo wa utawala wa kifalme, je watu wanazalisha kibepari au kijamaa (kijumuia kwa manufaa ya mfalme na jumuia)?

Labda nikijua tafsiri yako ya neno capitalism (ubepari) na ile ya neno (ujamaa) ndio naweza kuelewa kwa nini unasema kuwa nchi zilizoendelea zilitumia ubepari tu kuendelea. Ukweli unaonyesha tofauti kabisa tena inawezekana Roma ilijengwa sana kijamaa kuliko kibepari.

Naona unachanganya madawa sasa. Katika posti yangu moja naomba u-scroll huko juu, nilisema kuna UJAMAA wa uzalishaji na kuna UJAMAA wa matumizi ya huduma muhimu ya umma. Na vile vile kuna UBEPARI wa uzalishaji na UBEPARI wa matumizi huduma muhimu za umma.

Nchi kama Tanzania, Cuba, Korea, Urusi zilizalisha kwa kutumia principal za kiujamaa na kutumia ki-ujamaa. Katika nchi hizi, Tanzania iliboronga katika kipindi kifupi tu kwa sababu uzalishaji wetu haukuweza kukidhi mahitaji ya kijamaa.

Nchi nyingi za Ulaya zenye vyama vya kijamaa madarakani sasa, zinatumia ubepari kupata mapato ya nchi, na huduma muhimu zinatolewa kwa quasi-ujamaa.

Situmii sayansi lakini sitaogopa kukwambia kuwa wanasayansi wametengeneza TOOLS nyingi ambazo ukitaka kuzitumia sysmatically unaweza kueleza kwanini Ujamaa ulishindwa Tanzania.

Uzalishaji ni lazima uendane na faida na kama hakuna faida ni lazima kuwepo fungu la kufidia gharama.

Katika sehemu ninayofanya kazi (kampuni la kibepari), kuna sehemu research and development, kuna sehemu ya production, na kuna sehemu ya mauzo. Mafanikio yetu hayatokani na digrii au elimu ya watu wanaofanya kazi. Mafanikio yetu yanatokana pale mapato ya kampuni yatakapozidi matumizi.

Na nchi vile vile inakuwa na matumizi yake. Lakini ili nchi iwe na mafanikio ni lazima mapato yazidi matumizi. Nchi haisomeshi ma-injinia au madaktari kujaza namba. Ni lazima kwa kipindi fulani walete faida kulipia gharama zao.

Kuhusu ROMA na ujamaa naona hujui unachoandika. Ukisona Biblia, Yesu wakati anasulubiwa, Warumi walikuwa wanatawala mashariki ya kati. Utawala wao ulikuwa na madhumuni ya kuwalipisha wasio warumi kodi, kuchukua madini ya fedha yaliopo sehemu hizo na njia za biashara. Mrumi akikutana na myahudi, myahudi alitakiwa kumbebea mzigo mrumi kwa umbali wa kama Kilometa 5. Huo ni ujamaa gani uliojenga Rumi (Roma).
 
Mwana wa Maryamu, ni kwa kiasi gani matatizo ya kiuchumi ya mwanzoni mwa 60s, yale ya 70s, vita ya Kagera na njaa ya 80s na siasa za Vita baridi vilichangia kudumaza uchumi wetu? Unafikiri sera ya Kijamaa ilikuda na athari kubwa kuliko matatizo ambayo yameshainishwa hapo juu? au sera hizo ndizo zilitusaidia kwa kiasi kikubwa kuyapitia bila kugeuka Taifa lililovunjika?
 
Naona unachanganya madawa sasa. Katika posti yangu moja naomba u-scroll huko juu, nilisema kuna UJAMAA wa uzalishaji na kuna UJAMAA wa matumizi ya huduma muhimu ya umma. Na vile vile kuna UBEPARI wa uzalishaji na UBEPARI wa matumizi huduma muhimu za umma.

Je NASA ni ujamaa wa kuzalisha mali au ujamaa wa matumizi ya umma. Ukitumia kodi, pesa, au nguvu za wananchi kufanya uzalishaji wa kitu chochote (iwe kwa faida au sio kwa faida) kwa manufaa ya jumuiya hiyo, basi hiyo ni social production - au uzalishaji wa kijamaa (emphasis on social (jamii)).

Nchi kama Tanzania, Cuba, Korea, Urusi zilizalisha kwa kutumia principal za kiujamaa na kutumia ki-ujamaa. Katika nchi hizi, Tanzania iliboronga katika kipindi kifupi tu kwa sababu uzalishaji wetu haukuweza kukidhi mahitaji ya kijamaa.

Sipingani nawe katika hili!

Nchi nyingi za Ulaya zenye vyama vya kijamaa madarakani sasa, zinatumia ubepari kupata mapato ya nchi, na huduma muhimu zinatolewa kwa quasi-ujamaa.

Si kweli, nchi nyingi za kimagharibi zinatumia pia ujamaa kuzalisha mali - kumbuka kuwa public transportation katika nchi zote za magharibi mara nyingi inagharimiwa na serikali. Transportation pia ni part ya uzalishaji na kama inagharimiwa na serikali au public au walipa kodi basi hiyo inakuwa social production (ujamaa).

Situmii sayansi lakini sitaogopa kukwambia kuwa wanasayansi wametengeneza TOOLS nyingi ambazo ukitaka kuzitumia sysmatically unaweza kueleza kwanini Ujamaa ulishindwa Tanzania.

Uzalishaji ni lazima uendane na faida na kama hakuna faida ni lazima kuwepo fungu la kufidia gharama.

Hilo fungu la kulipia gharama kama linatokana na pesa za kodi au michango ya wananchi kama jumuiya basi huo ndio ujamaa wenyewe. Waulize hata mabepari wenyewe wa kimarekani watakuambia kuwa AMTRAK inaendesha kijamaa na conservative wengi wanataka serikali iache kujiingiza kwenye biashara na uzalishaji. Kumbuka kuwa uzalishaji ni vyote - bidhaa na huduma (goods and services)

Katika sehemu ninayofanya kazi (kampuni la kibepari), kuna sehemu research and development, kuna sehemu ya production, na kuna sehemu ya mauzo. Mafanikio yetu hayatokani na digrii au elimu ya watu wanaofanya kazi. Mafanikio yetu yanatokana pale mapato ya kampuni yatakapozidi matumizi.

Kumbuka pia kuwa hiyo research and development ni part ya uzalishaji (production) na bila hiyo basi hakuna cha kuzalishwa. Kama NASA kazi yake ni research basi ujue kuwa NASA inajihusisha na uzalishaji kwa kutumia pesa za jamii (social production)kitu ambacho kinafanya kazi za NASA ziwe part ya uzalishaji wa kijamaa

Na nchi vile vile inakuwa na matumizi yake. Lakini ili nchi iwe na mafanikio ni lazima mapato yazidi matumizi. Nchi haisomeshi ma-injinia au madaktari kujaza namba. Ni lazima kwa kipindi fulani walete faida kulipia gharama zao.

Hicho kipindi lazima kiwe kirefu au kifupi kwa kiasi gani? miaka 5, 20, au 100?

Kuhusu ROMA na ujamaa naona hujui unachoandika. Ukisona Biblia, Yesu wakati anasulubiwa, Warumi walikuwa wanatawala mashariki ya kati. Utawala wao ulikuwa na madhumuni ya kuwalipisha wasio warumi kodi, kuchukua madini ya fedha yaliopo sehemu hizo na njia za biashara. Mrumi akikutana na myahudi, myahudi alitakiwa kumbebea mzigo mrumi kwa umbali wa kama Kilometa 5. Huo ni ujamaa gani uliojenga Rumi (Roma).

Labda usome tena maana ya ubepari. Ukisoma utajua kuwa hata kutumia kodi ya watu wengine kwa kufanyia uzalishaji wako basi umekiuka misingi ya ubepari. Waroma walitumia utumwa (nilikisema hiki kule juu) kujenga himaya yao - huu sio ubepari.

Sheria ya waroma ilimpa nguvu mfalme wa nchi kuliko raia wa nchi katika mipango yote ya kiuchumi na kijamii (kinyume na misingi ya kibepari). Mambo mengi ya Roma yalifanywa kwanza kwa faida ya mfalme na ufalme kabla ya faida binafsi (hii ni moja ya forms za kijamaa).

Mabepari wenyewe duniani wanapinga kuwa hakuna mfumo kamili wa kibepari kama vile wanauchumi walivyokubali kuwa hakuna pure or perfect competition market. Nakushangaa kuwa bado unabishia hili!
 
Mwanakijiji said:
Mwana wa Maryamu, ni kwa kiasi gani matatizo ya kiuchumi ya mwanzoni mwa 60s, yale ya 70s, vita ya Kagera na njaa ya 80s na siasa za Vita baridi vilichangia kudumaza uchumi wetu?

MKJJ,

..kama uchumi wetu ulishindwa kuhimili vishindo kama ukame na vita vya kagera basi kulikuwa na matatizo ktk sera na mipango yetu.

..vilevile suala la kujiuliza ni tulifanya nini kukabiliana na hizo changamoto[vita,ukame...] kwa uchumi wetu?

..unajua ni Mwalimu ndiye aliyeupa credibility Ujamaa, na Mwalimu huyo huyo ndiye aliyesababisha watu waanze kuhoji uhalali na uzuri wa Ujamaa.
 
Joka Kuu, you have to be fair sometims, serikali ya miaka 17, kuweza kufanya yote ndani ya muda huo ni unrealistic expectations. I think we faired a whole lot better than other countries that went similar challenges.
 
Mwanakijiji,

my point muda wote ni kuwa we could have done better. kwamba kuna mambo ambayo Mwalimu aliyafanya, au alikataa kuyafanya, yaliyosababisha kuporomoka miaka ile ya 1980.

we made some mistakes, na inaelekea Watanzania ni wagumu sana ku-revisit their mistakes. Tunaona kwa kufanya hivyo tunawavunjia heshima viongozi wetu--Nyerere,Mwinyi,Mkapa.

hivi mbona Kenya viongozi wao hawakuwa na kipaji na elimu kama ya Nyerere lakini wame-manage uchumi wao vizuri kuliko sisi. Kenya vilevile hawana ardhi nzuri kama yetu.
 
Kuna swali moja hapa au kwenye mada ile nyingine liliulizwa na Nyani Ngabu kuwa: je nchi zote za kiafrika zilizo na matatizo (tena nyingine zaidi ya Tanzania) zilitawaliwa na Nyerere?

Mimi naomba niulize hili swali kwa namna tofauti hapa. Je nchi zote zilizofeli kiuchumi Afrika ni za kijamaa pekee.
 
Mwanakijiji,

my point muda wote ni kuwa we could have done better. kwamba kuna mambo ambayo Mwalimu aliyafanya, au alikataa kuyafanya, yaliyosababisha kuporomoka miaka ile ya 1980.

we made some mistakes, na inaelekea Watanzania ni wagumu sana ku-revisit their mistakes. Tunaona kwa kufanya hivyo tunawavunjia heshima viongozi wetu--Nyerere,Mwinyi,Mkapa.

Hili tatizo la kufanya better ndio linasumbua chaguzi za marekani kila mwaka. Demokrats wanasema kuwa watafanya na wamefanya vizuri kuliko Republicans kiuchumi kila wakati lakini in the end of the day - utawala wa Republicans katika siku za karibuni unatawaliwa na matatizo mengi sana ya uchumi ikiwemo madeni na ongezeko la deficit.

Swali ni kwamba, je republicans ni wajamaa kuliko walivyo democrats? Au matatizo ya kiuchumi yanasababishwa na sababu zingine zaidi ya ujamaa na ubepari?
 
Joka Kuu, you have to be fair sometims, serikali ya miaka 17, kuweza kufanya yote ndani ya muda huo ni unrealistic expectations. I think we faired a whole lot better than other countries that went similar challenges.

Mwanakijiji,

Mimi nadhani we could have done better na ninakubalia na kina joka kuu katika hili. Sikubaliani nao katika kusema kuwa matatizo yote yaliletwa tu kwa sababu ya ujamaa na sera za mwalimu na sio sababu zingine pia.

Ninaamini kuwa matatizo ya Tanzania yaliletwa na sababu nyingi zaidi ya ujamaa kama vile matatizo ya nchi nyingine za kiafrika zilizodai kuwa za kibepari yalivyoletwa na sababu zingine zaidi tu ya ubepari wa ujamaa.

BTW, hakuna nchi yoyote inayodai kuwa ya kibepari ambayo imeendesha uchumi wake kwa misingi ya kibepari pekee. SO far bin maryam hajaonyesha hilo hapa. Na wale wanaodai kuwa kuna nchi zilikuwa za kibepari afrika (ninaamini kuwa nyingi zilijiita tu za kibepari) hawajaonyesha nchi hata moja ambayo ilikuwa na pure capitalism.
 
Mwafrika, sidhani watu wako tayari kuangalia comprehensive factors za kwanini tulishindwa, kwao tatizo ni nyerere na sera tu. Unapopanua swali lako hilo na kujiuliza je nchi zote ambazo hazikuwa na Azimio la Arusha (Zimbabwe), Kenya, Uganda n.k zilifanikiwa zaidi kuliko sisi? Hivi miaka 46 baadaye nchi ambazo zilikuwa na watu walioukumbatia ubepari kama Zaire zimekuwa na mafanikio zaidi kuliko sisi.

Kila nikiangalia, naona we really faired better than; na hakuna anayeweza kusema kuwa kama tungefuata sera za kibepari tungekuwa mbali sana. Yawezekana tungekuwa mbali kama Ghana, Ivory Coast, Sierra Leone, Liberia au Ghana...
 
Mwanakijiji,

my point muda wote ni kuwa we could have done better. kwamba kuna mambo ambayo Mwalimu aliyafanya, au alikataa kuyafanya, yaliyosababisha kuporomoka miaka ile ya 1980.

we made some mistakes, na inaelekea Watanzania ni wagumu sana ku-revisit their mistakes. Tunaona kwa kufanya hivyo tunawavunjia heshima viongozi wetu--Nyerere,Mwinyi,Mkapa.

hivi mbona Kenya viongozi wao hawakuwa na kipaji na elimu kama ya Nyerere lakini wame-manage uchumi wao vizuri kuliko sisi. Kenya vilevile hawana ardhi nzuri kama yetu.

Kutokana na tafsiri yako ya ubepari au tafsiri iliyoko kwenye vitabu ya ubepari (capitalism), unaweza kusema kwa hakika na mifano kuwa Kenya ilikuwa ni nchi ya kibepari na kufuata misingi ya kiuchumi ya kibepari?
 
Mwanakijiji,

my point muda wote ni kuwa we could have done better. kwamba kuna mambo ambayo Mwalimu aliyafanya, au alikataa kuyafanya, yaliyosababisha kuporomoka miaka ile ya 1980.

JokaKuu, tuacha hayo ambayo Nyerere hakufanya au alifanya; tuangalie yale ambayo yalikuwa nje ya uwezo wake, yalichangia kwa kiasi gani kudumaza uchumi wetu?
 
Babu Bin Maryam,
Sina sababu ya kuongopa. Kama una data za kuonyesha tulikuwa na wataalamu kiasi gani waliokuwa na uwezo kuendeleza nchi toa tuone. Na kama ulichosema ni kweli: "idadi hiyo ni ya wazawa", unachokataa nini? Mbona mwenyewe unakubali hapo? Ulitaka tutegemee wataalamu wazungu waendeleze nchi yetu? It will never happen! You have to do it yourself. Na pia ukumbuke wataalamu wengi waliondoka baada ya kupata uhuru. Hiyo ni fact. Wengi waliondoka kwasababu viongozi wetu walikataa kulipa pension zao. Na hiyo ilikuwa sababu ya serikali ya Uingereza kukataa kutoa pesa walizoahidi kuendesha nchi baada ya uhuru. Walileta watu wao wafanye kazi hapa halafu walikuwa wanataka Tanganyika iwalipie pension zao. Hiyo ingekula sehemu kubwa ya bajeti ya serikali mpya.

Naona unakuwa naive kwenye masharti ya kutoa mikopo. Ni kweli kwamba kuna "risk factors" lakini hawa jamaa wali-overide hizo "factors" wakati wa vita baridi na walikuwa wanatoa misaada kwa wale wanaokubali kuwa watumwa wao bila kujali mengine.

Hawa wakoloni walijenga uchumi gani Tanganyika? Katika Afrika mashariki, Mwingereza hakujali Tanganyika. Kidogo naweza kukubali walijenga Kenya na kidogo Uganda. Infastructure ya Tanganyika ilikuwa nyuma sana. Walikuwa hawajali sana Tanganyika. Kwanini?

Narudia tena, huwezi ukaendeleza nchi kama unaanza na wataalamu 14 wazawa. Hizo ni ndoto za Abunuwasi. Sijui mlikuwa mnataka miujiza? Hivi vitu vinachukua muda. Kuna sehemu tulikosea njia kidogo, lakini viongozi wetu walijitahidi sana katika kipindi hicho kigumu. Angalieni historia za nchi za kizungu muone ilichukua miaka mingapi kufika walipofika na walimwaga damu kiasi gani ya Mwafrika.
 
Back
Top Bottom