Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Muachage kutudanganya ile ni divai na ilikua na kileo šš mshaanza kuiita juice ya zabibu ! Yaan juice iishe kwenye sherehe watu wahahe vile mpaka wakamshtua muhuni kupitia kwa Bi mkubwa afanye maarifa kinywaji kitokee !! Maana pale wana walirambaramba zikaisha .
Hakuna wanywa juice wa hivyo !! Yaan hiyo juice ilikua ina utofauti gani ! Kuna mtu anaweza kunywa glass sita za juice aseme kweli šš
Watu kwenye sherehe zama hizi pombe wakiona hazitatosha huwa wanakuja kabisa na mzinga umefichwa mahala au kama ni sherehe ambazo watu hawatumii vilevi !!
Kwanza toka lini juice na soda zikaisha kwenye sherehe.
Kinachouliziwa mara nyingi kwenye sherehe ni Pombe ndo inanywewa na watu wengi na ikikosa ujue umezingua.