Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Not true. Kiasi kidogo cha pombe kimethibitika kitaalam kuondoa msongo wa mawazo kupunguza matatizo ya moyo na kisukari, na hata kwa baadhi ya saratani.Ni vema pia kuwathibitishia wasomaji kuwa pombe yoyote ile ya kiwango chochote kile cha kilevi, kitaalamu au kisayansi, haina manufaa yoyote mwilini. Haina lishe au virutubisho vyovyote vya kusaidia kuujenga, kuupa nguvu au kuulinda mwili.
Ni kama zilivyo sigara zote zina madhara hatarishi kwa afya ya mwili. Hayo yote yamethibitishwa na madaktari bingwa duniani kote.
Yeyote anayetaka kulinda afya ya mwili wake na kuwa na akili timamu wakati wote, pamoja na mambo mengine, ajiepushe na unywaji pombe au uvutaji sigara na dawa zozote za kulevya. Akishindwa kujinasua nashauri atubu na kumwomba Yesu amwokoe na uraibu wa pombe wa kiwango chochote kile, ikiwemo kuonja.
Anatupanga huyuAcha uongo bwana...hiyo sasa si ni juisi
Sijui katuonaje yaani😂Anatupanga huyu
Story za maisha ya zamani ya watu wa middie east hizo mkuuKatika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Wewe umeionja lini hiyo divai?Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Na hajui hao anaowaita wako msibani ndo walimpa hiyo nafasi ya kujiita Mkristo. Mind control ya hawa watu inatia huruma. Siku hizi wanawaita Wakatoliki eti siyo Wakristo.Akili yako iko sawa kweli? Biblia ina vitabu 72 vilivyoandikwa, kuchambuliwa kwa umakini na Kanisa, Wewe ni nani uje uchambue hiki kinafaa kile hakifai wakati hata hivyo unavyoona vinafaa pia umepewa na Kanisa?
Unaposema wako msibani unamaana gani? Kwamba Pope amefariki? Wewe hautafariki? Kwamba hiyo ndiyo umeona point ya kukebehi? Kiti cha Petro - Mtume kipo,Kilikuwepo na kitazidi kuwepo! Mpaka Yesu atakaporudi kuchukua Kanisa lake
Kuna mtu ana tabia ya kuhama hama makanisa ya kiprotestant. Nikawambia origini yako ujue ni Katoliki ni tabia za watu za kujimega mega zimewafikisha hapa, akakataa kata kata. Nikamuuliza uprotestant wake ulianzia wapi akajiuma uma tu, hajui chochote.Protestant no mtoto wa Catholic, Hajui wala haelewi hiyo Biblia iliandaliwaje, Halafu mnakuja kuchambua vitabu vyenu 66 mnavyoona vinawafaa 😀😀 haujasoma Sylabus nzima alafu unasema upo konki, Uko serious unataka kwenda mbinguni kweli??
Hao Warumi ni kina nani. Mtaje hata mmoja na namna alivyotanua himaya yake.Warumi waliutumia Ukristo kujieneza duniani na kutanua himaya yao tu...
Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Upo tayari kutetea uongo kisa tu kitu hakikufurahishi.... Yesu kwenye harusi ya kana alitengeneza pombe watu walipokunywa waliifurahia sana wakaanza kumteta mwenye sherehe kwamba, wao wamezoea kwenye sherehe inatangulizwa divai nzuri kisha watu wakishachangamka/wakishalewa ndipo inaletwa ya hovyo ila wao walishangaa wameletewa nzuri dakika za mwishoHiyo Biblia inayosema Yesu alitengeneza tungi labda umeiandika mwenyewe. Ya kwangu inasema alitengeneza divai njema(non-alcoholic)
Warumi si ndio waitaliano?Hao Warumi ni kina nani. Mtaje hata mmoja na namna alivyotanua himaya yake.
Kama inakutibu, si pombe tena, ni dawa! Pia sikujua kuwa watu wanakwenda vilabuni kunywa pombe ili kutibiwa. Najua tu vituo vya afya. Mengine ni mtazamo wako na nitauheshimu hata nisipokubaliana nao. Nitaendelea kuamini wasemacho madaktari bingwa.Not true. Kiasi kidogo cha pombe kimethibitika kitaalam kuondoa msongo wa mawazo kupunguza matatizo ya moyo na kisukari, na hata kwa baadhi ya saratani.
Hata ukila ukazidisha utaishia kuwa overweight au hata obese ukaishia kuugua magonjwa sugu. Hakuna kizidicho kisikudhuru. Hata maji tu ukinywa mengi sana hakika utakufa. Halafu sigara siyo mfano mzuri wa kufananisha na pombe.
Kwa nini maandiko hapa yalihusisha kula na ulafi, kunywa na ulevi?Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Tatizo sio pombe, tatizo ni kulewa pombe. Hata kwa chakula ni hivyo hivyo, tatizo sio chakula, tatizo ni ulafi. Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18). Hakuna alichoumba Mungu ni kibaya kama Maandiko yanavyotuambia. Tumia kila kitu kwa kiasi na shukrani kwa Mungu.Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Nyie ndiyo mnaoongoza kumaliza vinywaji vya watoto dukani. Mtu mzima hupaswi kutumia vinywaji vya sukari bali vile vimetengenezwa mahususi kwa watoto maana wao wana fursa ya kuota upya meno baada ya meno ya utoto kuharibiwa na vitu vya sukari.Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Mbona watu walichangamka baada ya kunywa ile divai?Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.