Kasome tafsiri asili ya kigiriki ambayo ndiyo origin ya Agano jipya utajua hiyo Divai iliyobora ni ipi. Kigiriki ni Oivoc au Oinos maana yake alkoholic, na maandiko ya kigiriki yanatamka wazi kuwa waliishiwa oivoc au oinos na si ole oivoc ambayo ndio juice. Juice sio divai au wine. Juice ni juice tuu.Yesu asingeweza kutengeneza divai ya kuwafanya watu wapige yowe, wagombane na kupata majeraha.
Mithali 23:29-35
"Ni nani wapigao yowe? Ni nani wenye huzuni? Ni nani wenye ugomvi?
Ni nani walalamikao? Ni nani wenye majeraha bila sababu? Ni nani wenye macho mekundu? Ni wale ambao hawabanduki penye divai, wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa. Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa. Mwishowe huuma kama nyoka; huchoma kama nyoka mwenye sumu. Macho yako yataona mauzauza, moyo wakoutatoa mambo yaliyopotoka. Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari, kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Utasema, “Walinichapa, lakini sikuumia; walinipiga, lakini sina habari..."
Yesu asingetengeneza divai ya kuwafanya watu wapatwe na madhara hayo.
Kwanza umepotoshwa ...kama unasema yesu ni mungu jua tu kuwa mungu si chini ya dhambi yoyote hivyo yesu kufanya pombe siyo shida kwa sababu yeye ndiye aliye umba pombe ...ni kipi kikuu... kufanya pombe au kuumba pombe ....mungu ndiye mwenye kuharamisha kitu chochote au kuharalisha kitu chochote . SASA JIBU NI KWAMBA.....👉 YESU ALIFANYA POMBE SIYO JUISI USHAHIDI NI YULE MGENI ALIVYO SEMA ....KUWA WATU WAKICHA KULEWA NDIYO ULETWA,ILIYO DHAIFU ILA WEWE UMELETA NJEMA HATA SASA....PIA USHAHIDI NI MANENO YA YESU ALIYO SEMA KUWA ...👉 YOHANA ALIKUJA ALI WALA ANYWI MKASEMA ANA PEPO MIMI NIMEKUJA NAKULA NA NAKUNYWA MKASEMA MLEVI NA MLAFI RAFIKI YAO WATOZA USHURU.Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na kilevi(non-alcoholic) au
2. Pombe
Mstari wenye maana ya kwanza ya divai upo katika Isaya 65:8. Huo mstari unazungumzia juisi mpya ya zabibu, isiyo na alcohol.
“BWANA asema hivi, Kama vile divai mpya ipatikanavyo katika kichala, na mtu mmoja husema, usikiharibu kwa maana mna baraka ndani yake...”
Katika Mithali 20:1 tunasoma maana ya pili ya divai:
"Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.”
Katika andiko hilo "divai' inamaanisha mvinyo au pombe(alcohol).
Yesu alitengeneza aina ya kwanza ya divai isiyolewesha. Kwanini? Kwa sababu kama angetengeneza pombe, asingesema:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi.”(Waefeso 5:18)
Yesu asiye na dhambi, asingeweza kutengeneza kinywaji kitakachowafanya watu waanguke dhambini. Divai aliyotengeneza Yesu ilikuwa mpya, tamu, na yenye baraka—sio ya kulevya.
Kama ile divai ingekuwa pombe, Yesu asingesema:
"Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."(1Kor 6:9-10)
So dear brother/sister, don’t be fooled—Jesus never endorsed drinking alcohol.
Wine ni niniWatu wanashindwa kutofautisha kati ya divai na mvinyo. Divai ikihifadhiwa kwa muda mrefu ndo inakuwa mvinyo.
Anayekubali vitabu ni nani?Kitabu cha Sira hakikubaliki. Hakina uvuvio wa Roho Mtakatifu(not divinely inspired). Wanaokitumia ni wale tu walioko msibani sasa - ameondoka Mkuu wao😢
Mathayo 11v18-19 Maana Yohama alikuja hali wala hanywi wakasema ana pepo
Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa wakasema mlafi huyu na mlevi .........
Luka 7v34 Mwana wa Adamu amekuja,anakula na kunywa nanyi mwasema ,Tazama mlafi huyu na mnywaji wa divai ,rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi ......
Sikia hii
Mathayo 15v16-17 Yesu akasema hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili ?Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kuinyani hupita tumboni kikatupwa chooni?
Marko 7v14-15 Akawait makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu .Hakuna kitu kilicho nje ya mtu kikimwingia chaweza kumtia unajisi(kumfanya kuwa na dhambi ),bali vile vimtokavyo .......
Siyo kwamba natetea pombe,ila kunywa pombe siyo dhambi
na usimtetee Yesu ,
Yesu alitamka tu na maji yakaw pombe
Kwa namna ingine ni sawa umeuliza " Watu wanashindwa kutofautisha wali na ubwabwa"Watu wanashindwa kutofautisha kati ya divai na mvinyo. Divai ikihifadhiwa kwa muda mrefu ndo inakuwa mvinyo.
Biblia yote iwe 73 books au 66 Books ni Mali ya KatolikiHicho kitabu kipo kwenye biblia ya kikatoliki ?
A little bit exaggeration of my view point. Pole, never meant to hurt your feelings.Kama inakutibu, si pombe tena, ni dawa! Pia sikujua kuwa watu wanakwenda vilabuni kunywa pombe ili kutibiwa. Najua tu vituo vya afya. Mengine ni mtazamo wako na nitauheshimu hata nisipokubaliana nao. Nitaendelea kuamini wasemacho madaktari bingwa.
Nikushauri tu kuwa ni uungwana na busara kuheshimu maoni ya wengine badala ya kuwaita waongo maana sote tuna uelewa na mitazamo tofauti.
Endelea kujibu swali languWarumi si ndio waitaliano?
Kabisa mkuu.Kwa namna ingine ni sawa umeuliza " Watu wanashindwa kutofautisha wali na ubwabwa"
Punguza kujielezea sana wewe mzee.View attachment 3311061
Mt 11:28-30
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."
Akishalewa hawezi kutumia akili kuchanganua.
Kulewa na kunywa pombe ni vitu viwili tofauti...Akishalewa hawezi kutumia akili kuchanganua.
Kataa pombe.
Mvinyo ulitumika kama dawa kwa Timotheo, na si kunywa tu. Kama valium ambavyo hutumika kama nusu kaputi kwenye upasuaji. Si kama dawa za kulevya.1 Tim 5 : 23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara
SIku zote Huwa nasema Dini ni Manipulative Tools Mojawapo kwenye Matrix Tuliyopo..
(Ni wale ambao awabanduki kwenye divai ) unajua nini maana ya kuto kubanduka kwenye divai? Maana yake walevi...labda ujui mlevi ni nani ?labda unadhani kulewa ndiyo mlevi ...neno mlevi ni sawa na neno mlafi ......Ulafi kwenye mambo ya chakula ni dhambi na Ulevi kwenye mambo ya pombe ni dhambi .. sasa mlevi na mlafi ni nani ? Mlevi ni mtu ambaye pombe inatawala akili zake na mlafi ni mtu ambaye kula kunatawala akili zake ...hivyo akili inapo tawaliwa na kunywa pombe ndiyo ulevi na akili inapo tawaliwa na kula vyakula huo ni ulafi hivyo watu wasio banduka kwenye pombe ni WALEVIYesu asingeweza kutengeneza divai ya kuwafanya watu wapige yowe, wagombane na kupata majeraha.
Mithali 23:29-35
"Ni nani wapigao yowe? Ni nani wenye huzuni? Ni nani wenye ugomvi?
Ni nani walalamikao? Ni nani wenye majeraha bila sababu? Ni nani wenye macho mekundu? Ni wale ambao hawabanduki penye divai, wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa. Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa. Mwishowe huuma kama nyoka; huchoma kama nyoka mwenye sumu. Macho yako yataona mauzauza, moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka. Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari, kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Utasema, “Walinichapa, lakini sikuumia; walinipiga, lakini sina habari..."
Yesu asingetengeneza divai ya kuwafanya watu wapatwe na madhara hayo.
Ila wewe dada unapenda kujitekenya na kujichekesha mwenyewe.Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.