Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Bado hujadhibisha ukweli, na ww umekuja na story bila chanzo cha kuelewekaImebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Anga ya Iran ni wiki la pili sasa lipo chini ya Jeshi la Israel.Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Ulinzi wa anga wa tech utalalaje ? Tech inalala ?? Iranbwako vitani...watalalaje? Low IQImebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Kwamba ndege hazina kelele?
Tukiomba clip footage ya hivyo vinu vilivyolipuliwa hatupewi sijui kwanini
Unaomba wewe na nani? Nenda Al Jazeera kma unaelewa english... 😁Tukiomba clip footage ya hivyo vinu vilivyolipuliwa hatupewi sijui kwanini
Kobaz wa tandale kweli mnaidhalilisha dini yenu aisee. Hiv upo seriousImebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Unafikiri vita ni kama kucheza kiduku Bar sio! Vita haina macho na inagharimu maisha ya watu na rasirimali zao. Tusishabikie vita, nikuambia tu, mwisho wa vita ni mshindi kupatikana, haijalishi alitumia mbinu gani. Vita sio nzuriImebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Come crazyHivi ukitaka kumwita mtu kichaa kwa lugha nyepesi unamwotaje??
Sasa VITA gani mnapigana kwa sheria?Unafikiri vita ni kama kucheza kiduku Bar sio! Vita haina macho na inagharimu maisha ya watu na rasirimali zao. Tusishabikie vita, nikuambia tu, mwisho wa vita ni mshindi kupatikana, haijalishi alitumia mbinu gani. Vita sio nzuri
Wakati wa mfungo mnakesha usiku kucha mnakula daku halafu wakati wa vita mnasubiri muamshwe kuambiwa mnashambuliwa, matope kabisa!Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.