Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimpinga JPM mambo mengi ila kuna jambo moja ambalo nilikubaliana naye 100%! Ni ujenzi wa hilo Bwawa, alifanya maamuzi sahihi 100%
Hizo km za mraba 1500 ni sehemu ndogo sana kulinganisha na misitu tuliyo nayo. Ukiona watu wanapinga ujenzi wa hilo Bwawa ni kwa maslahi yao wenyewe. Wanajua kabisa umeme wao wa magenerator hawatauza tena sasa watapigia wapi hela?
Pili hiyo gas yenyewe ilishapigwa mikataba ambayo wewe mtanzania huwezi faidi chochote hapo!! Sana sana utaishia kuwafaidisha ambao wamepewa mkataba kuchimba na atakupangia bei anavyotaka yeye!! At the end umeme utauziwa juuu, gharama za uzalishaji nchini zitanenda juu, uharibifu wa uchumi utakuwa mkubwa sana
Chanzo sahihi kilikuwa ni hilo Bwawa!! Apokee kongole 👏👏huko alipo kwa hili hata kama mengi aliharibu
Mtoa Post wewe unaelimu Gani? Nawasiwasi naelimu yako ukianza kuhoji pesa zamiti zilienda wapi hujui kuwa nchi inaserikali? Hujui nchi inaviongozi? Hujui kuwa nchi ina hazina? Hujui kuna watoto wanasoma bure? Hujui kuna watumishi wanalipwa? Mbona hujahoji kuhusu pesa za faini za barabarani zinakoenda? Hitimisho by educationally unapaswa kuangalia hata mataifa yalio tutangulia mwaka juzi tu Ethiopia wamejenga bwawa kubwa zaidi yahili lakwetu kwani wao hawakukata miti? Au lengo lako tu umchafue magufuli? Use properly your medulla oblongataLEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
Wewe ni mpuuzi na akili huna.Unadhani nchi itakaaa hivyohivyo tu miaka yote blia kuchukua maamuzi magumu.Unadhani maendeleo yanakuja kuongeaongea ?Vilaza wa mawazo halafu mnajifanya eti ni wachambuzi.Nonsense.LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
Alichokifanya Mkwere kwenye gas nacho ni uharibifu tu, hiyo gas wananufaika nayo wageniMtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Toa takwimu za miti inayokatwa huko Morogoro, Pwani kwaajili ya mkaaKaribu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Kwa hiyo Kwa wingi Wa watu mil.60 unategemea watapata wapi chakula bila kilimo cha umwagiliaji?Yaani shida ya mtoa hoja ni miti mil.3 iliyokatwa ndio isababishe mabadiliko ya tabia ya nchi duh. Hivi unajua ni kiasi gani cha misitu kinapotea kwa mwaka pasipo na manufaa yoyote ya kitaifa sembuse hiyo miti iliyokatwa kwa kujenga bwawa.
Halafu kujenga bwawa sio maji yatakauka maji yataendelea kuwepo kitakachofanyika ni control ya maji iki kuzalisha umeme si sawa na maji yanayotumika kwenye umwagiliaji yanapotea ardhini na sio kwenye kuzalisha umeme. Mtoa hoja hebu njoo na hoja za kitaalam sio siasa.
Ujenzi Wa miundo mbinu na makazi yasiyo na utaratibu ni Mkubwa sana mkuu.Kuna program za upandaji miti zaidi ya milioni 20 kila mwaka. So inaweza kureplace haraka.
Kinachofanya mvua isinyeshe ni jambo jingine ambalo wazungu hawawezi kukwambia.
Mungu asaidie Mradi huo ukamilike, lakini isiwe excuse ya kutotumia gas yetu kuketa unafuu kwa watanzania.
Ni wale wale ndio wanaotaka umeme Wa Maji? Kumbuka kuwa Jenereta zinauzwa kutokana na MGAO Wa umeme Wa Maji Wa Mgao Wa Mvua ?Nilimpinga JPM mambo mengi ila kuna jambo moja ambalo nilikubaliana naye 100%! Ni ujenzi wa hilo Bwawa, alifanya maamuzi sahihi 100%
Hizo km za mraba 1500 ni sehemu ndogo sana kulinganisha na misitu tuliyo nayo. Ukiona watu wanapinga ujenzi wa hilo Bwawa ni kwa maslahi yao wenyewe. Wanajua kabisa umeme wao wa magenerator hawatauza tena sasa watapigia wapi hela?
Pili hiyo gas yenyewe ilishapigwa mikataba ambayo wewe mtanzania huwezi faidi chochote hapo!! Sana sana utaishia kuwafaidisha ambao wamepewa mkataba kuchimba na atakupangia bei anavyotaka yeye!! At the end umeme utauziwa juuu, gharama za uzalishaji nchini zitanenda juu, uharibifu wa uchumi utakuwa mkubwa sana
Chanzo sahihi kilikuwa ni hilo Bwawa!! Apokee kongole [emoji122][emoji122]huko alipo kwa hili hata kama mengi aliharibu
Unachanya vingereza ili tujue unaongea point,kumbe mashudu matupu.Acha kuongea utafikiri ulizaliwa na Magufuli by cloning. Wewe huelewi haya mambo ya long term impacts, unachoona hapa ni suluhisho la load shedding basi unasema project has long merits.
Na kama umeelewa mada, katika case kama hii huwa tunaconsider alternative sources of power generation - natural gas was the obvious option. Na kumbuka kwamba tuna miradi ya HEP ambayo iko well below generation capacity kwa sababu za diminishing of river flow rates, ambapo hata hii Nyerere HEP itakuja kuwa impacted. The fact kwamba kuna concern kuwa hata season mbili zinaweza zisijaze Nyerere dam ni kwa kuwa kuna athari katika river flow rates nchini, kutokana na climate change, uharibifu wa catchment areas na wetlands na siltation kutokana na mashamba upstream
With gas turbines unakuwa na uwezo wa kuongeza generation capacity any time you want. Kwenye Nyerere tupo capped kweye 2100MW, na sijui kama tutafikisha hiyo generation level. Tungechukua option ya gas turbines tungeanza na units za 100MW tukiongeza taratibu hata kufika 5000MW kutokana na national power demand hata na exports kupitia grid ya Southern Africa (SAPP) na hata ya East Africa.
Choosing Nyerere dam over Mtwara gas turbines was one of the many dumb things done by Magufuli. In fact leadtime ya gas turbines is way shorter than HEP ya size ya Nyerere dam. Sasa tuna gas Mtwara lakini haitatusaidia kwa kuwa yote itauzwa nje kama LNG kwa bei ambayo wala sio sisi tutakaopanga. Then people kama Magufuli walijiona wana akili sana kuliko Watanzania wengine? Incompetent fools.
Nchi imejaa majizi na mapiga dili, hovyo kabisaEthiopia walikuwa tayari kuingia vitani dhidi ya Egypt lakini sio kuacha kuchimba bwawa lao alafu sisi tunaleta siasa. Siasa za kijinga na za kifisadi.
Sehemu ilipokatwa miti kutakuwa ziwa lenye urefu wa kilomita 100. Ziwa victoria lina ukubwa wa kilomita za mraba 68,000 na eneo lote ni maji na hakuna miti lakini maeneo yanayozunguka ziwa Victoria mvua huwa inanyesha ya kutosha.
Hivi nyie wapuuzi mnajisikiaje sasaHuu ndiyo ikweli mchungu mike2k . Nina unerline maneno yako haya;
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Sera ya ya magufuli katika kupumbaza watanzania ilikuwa ni "Give Dog a bad name and kill It". Magufuli aliponda kila alichofanya Kikwette kuwa kina harufu ya rushwa na kisha akapandikiza UHAYAWANI wake wa kukata miti zaidi ya Milioni 4 ya pori la akiba la Selous.
Bado tunajisikia vizuri mpaka tuzione MW 2100. Wewe pimbi unadhani kumaliza kujenga Bwawa ndiyo kupata umeme