Yule bilionea wa Arusha aliyetrend kwa kupata jiwe?Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine
Unaelewa Ubilionea siyo siyo ubilionea wa Tz shilings!!Yule bilionea wa Arusha aliyetrend kwa kupata jiwe?
Usikariri…
Hata ukiwa tajiri ya kakionea, lakionea,, muhimu unakula utakacho 😒
Unaelewa Ubilionea siyo siyo ubilionea wa Tz shilings!!
Universal bilionea unapimwa kwa dollar ndo maana tz yupo Mo pekee
Mzee sometimes umri una matter kiasi, ila utafutaji hauna kanuni au saa maalumu.Ww n 20s au 10s bas hujachelewa
Yes labda awe ameutafuta since 20^Ndo maana nimeweka umri!
Utajiri haujengwi kwa siku moja
kwaiyo mkuu unaamini utakua bilionea na uko na 30….Mzee sometimes umri una matter kiasi, ila utafutaji hauna kanuni au saa maalumu.
As long una amini na kuzingatia katika unalo fanya, basi na uhakika meza ita pinduka tu.