Ukweli unaouma kuhusu wewe

Ukweli unaouma kuhusu wewe

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
920
Kwa umri uliofika.

1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.

2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.

3.Wewe siyo Super human : Acha kuwaza kama uko kwene movie :
Kamwe usimwambie mtu “Utanifanya nn ww” vyakukufanya vipo zaidi ya 1000 hata kama umemzidi hela na nguvu


😂Jifunze kukubali itakusaidia kuboresha afya yako ya akili.
 
Maisha ni upuuzi tu ukiwaza sana
 

Attachments

  • Screenshot_20240421-000503_Bible.jpg
    Screenshot_20240421-000503_Bible.jpg
    298.9 KB · Views: 3
Yule bilionea wa Arusha aliyetrend kwa kupata jiwe?

Usikariri…

Hata ukiwa tajiri ya kakionea, lakionea,, muhimu unakula utakacho 😒
Unaelewa Ubilionea siyo siyo ubilionea wa Tz shilings!!
Universal bilionea unapimwa kwa dollar ndo maana tz yupo Mo pekee
 
Kwenye umri uo uongo inategemea na kitu unachojihusisha nacho, kuna ambao wanapambna ila mwaka wa 30 ndo mambo yana tick
Ndo maana nimeweka umri!
Utajiri haujengwi kwa siku moja
 
Age when they became billionaires:

🇺🇸 Mark Zuckerberg: 23
🇺🇸 Evan Spiegel: 25
🇺🇸 Larry Page: 30
🇺🇸 Sergey Brin: 31
🇺🇸 Bill Gates: 31
🇧🇧 Rihanna: 33
🇺🇸 Tiger Woods: 33
🇺🇸 Jeff Bezos: 35
🇺🇸 LeBron James: 37
🇺🇸 Steve Ballmer: 38
🇬🇧 J.K. Rowling: 38
🇺🇸 Mark Cuban: 40
🇺🇸 Elon Musk: 41
🇬🇧 Sir Richard Branson: 41
🇺🇸 Meg Whitman: 42
🇺🇸 Sheryl Sandberg: 44
🇺🇸 Jim Walton: 44
🇨🇳 Jack Ma: 45
🇮🇳 Gautam Adani: 46
🇫🇷 Bernard Arnault: 48
🇺🇸 Larry Ellison : 49
🇺🇸 Oprah Winfrey: 49
🇲🇽 Carlos Slim: 51
🇺🇸 Michael Jordan: 51
🇺🇸 Michael Bloomberg: 52
🇺🇸 George Lucas: 52
🇺🇸 Warren Buffett: 56
 
Mzee sometimes umri una matter kiasi, ila utafutaji hauna kanuni au saa maalumu.

As long una amini na kuzingatia katika unalo fanya, basi na uhakika meza ita pinduka tu.
kwaiyo mkuu unaamini utakua bilionea na uko na 30….
labda kama uko kwene million 900 $
 
Back
Top Bottom