Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

Mbongo halisi ila siwezi mpa mtu mwingine lawama za failures zangu. Yani miaka 35 yote bado mnamlaumu Nyerere kama huo sio ujinga grade A1 I don't know what is.
That went over your head. Logic ni ile ile, mmepata maraisi wangapi toka JKN? Wote hao wameshindwa kurekebisha mapungufu yake? Nyerere alikaa madarakani 25yrs only, miaka mingine 35 ya kujiendesha wenyewe bado mnamlaumu JKN? Hamuoni hapo tatizo ni nyie kwa kushindwa kujiendsha? Playing blamegame au victimhood ni trait namba moja ya watu wavivu wa kufikiri wanaamini kila failure yao ni kosa la mtu mwingine. Msipojua hili huwezi kuendelea individually au collectively.

Sana mbona kwenye hoja zako unajivua u-bongo?
 
Angola asilimia kubwa ni wakatoliki. Wamekaa kwenye vita kuanzia 1975 mpaka 1991. But kwa sasa uchumi wao ni mkubwa kuzidi wetu kwa mbali tu.

Kuanza kulaumu kanisa kwa madhaifu ya kwake Nyerere binafsi ni kutowatendea haki wakatoliki
Asante Mkuu kuliweka hili sawa.Yani mtu anakosa hoja kila akiona tu mada inamuhusu Nyerere,Mkapa au JPM basi hapo hapo anaruka na Kanisa Katoliki.
 
Exactly. Hawa wanaotafuta cheap excuses itakua wanawalaumu babu zao as well kwa umaskini wao. Playing victimhood/blamegame will take you anywhere.
Nyerere kulaumiwa lazima alaumiwe, it's either umtetee with credible facts ama ukae kimya na kutizama mjadala sio ukatae Nyerere kulaumiwa. Hakuna mtu anatafuta excuse hapa, tume-adapt situation, tuka-improvise technical capabilities na ku-overcome vigingi vilivyowekwa na baba wa taifa.
Ila kusemwa lazima asemwe na watu waelewe where he went wrong! This is HISTORY mzee, hakuna mahali ya Tanzania imeandikwa!!
 
Sijiweki kundi la walalamishi bila vitendo.
 
Carry on.
 
Unataka makosa yake yasisemwe ili liwe funzo. dogo umeazimisha kichwa ?
Sipingani na hoja yako lakini tafadhari unamkosea sana Kichuguu ukimwita dogo.Ungepitia mabandiko yake mengi hapa nina uhakika ungempatia heshima yake kwa kutomwita 'dogo'.
 
Shida hata hujui Tanzania hivyo vijiji vilikia havina watoto wa kutosha shule(ndio maana ya vijiji vya ujamaa) ili shule na huduma za jamii

Lakini pia hakukuwa na hao walimu wa kutosha (UPE concept)

Lakini shule zilizokuwepo zilitosheleza watoto waliokuwepo. Soma literature ya maswala ya elimu bro. Mwalimu alianzisha vyuo vya ualimu pia kukabiliana na upungufu wa walimu na alimudu kuondoa upungufu.

Shida ilikua ya kutokua na sexondary mikoa fulani ilikua ni wazazi kukataa watoto kwenda shule. Pia Nyerere alitaka kuwe na umoja wa kitaifa ndio maana watoto walipewa free pass (ticket) kusafiri kutoka mkoa anakotoka hadi shule aendayo bure iwe bus au treni.

WAkati wa Nyerere watanzania wengi sana walisomeshwa nje ya nchi kuliko hata sasa ukifanya in prportions
 
Shida hata hujui Tanzania hivyo vijiji vilikia havina watoto wa kutosha shule(ndio maana ya vijiji vya ujamaa) ili shule na huduma za jamii

Lakini pia hakukuwa na hao walimu wa kutosha (UPE concept)

Lakini shule zilizokuwepo zilitosheleza watoto waliokuwepo. Soma literature ya maswala ya elimu bro. Mwalimu alianzisha vyuo vya ualimu pia kukabiliana na upungufu wa walimu na alimudu kuondoa upungufu.

Shida ilikua ya kutokua na sexondary mikoa fulani ilikua ni wazazi kukataa watoto kwenda shule. Pia Nyerere alitaka kuwe na umoja wa kitaifa ndio maana watoto walipewa free pass (ticket) kusafiri kutoka mkoa anakotoka hadi shule aendayo bure iwe bus au treni
 
Nimeona Clip interview ya Kambona alikuwa smart sana na mwenye maono mazuri.
 
Naunga mko
No hoja
 
Kenyata mbona alijitahidi? King mohamed wa pili wa morocco je?nyerere alikuwa hovyo kabisa
 
Mimi m
Wenyewe namlaumugi nyerere,alikosea Sana kuseti mfumo wa chama kimoja.hapo ndo nchi ilifia.akaseti demokrasia feki,apo Hadi Leo nchi Imekufa imeoza.akaseti mfumo wa ,wenye nchi,wala nchi na Waliwa na Nchi😭😭😭😭.yani wananchi Kila siku ni kurudi nyuma,yaani pesa aliyokuwa anapata boda mwaka 2010 na sasaivi 2023 ni maumivu tu,yaani nchi inarudi nyuma.yaani serikali ilitengeneza mfumo wa kumfilisi raia na kujinufaisha yenyewe na Wala Nchi wake.yani Uhuru niwa uoga,maendeleo hamna,wananchi asilimia 95 na zaidi hawaelewi nini kinaendelea,mpaka wengi wao wanaishi ili kusubiri kifo tu,yaani wanasindikiza dunia.raia Hana thamani😭😭😭😭,wenye thamani ni wenye nchi na Wala Nchi tu
 
N
NDugu,tumekwisha,Yani nchi ilizama pabaya,kiongozi hana uzalendo,wananchi wanapewa elimu ambayo kimataifa haina thamani,hamnaga uchaguzi wa haki,yani sio Siri tumekwisha,nchi hii haitoboi,eti tuje tuwafikie hata Kenya,Yani mpka yesu anarudi atatukuta tunajikongojakwa
KwaIyo umeandika kiingereza ili iweje kwenye posti ya kibongo,Kama hutaki kuchangia si unyamaze tu.unajua wazi lugha yetu tuliyosetiwa na nyerere,mpka mwana chuo wa udsm kiingereza chake Cha kubabaisha bwege Sasa kwanini utusumbue,au namimi nikiandika kichina utajisikiaje?😡😡😡😡😡
 
Mwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news.
Viongozi wakihojiwa na media zetu utaskia kidogo lugha yetu haina misamiati ngoja nitumie kizungu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…