Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

Kesi ya wakatoliki unaipeleka kwa mkatoliki
 
Ni wendawazimu kumponda Nyerere huku unawasifia kina Kim Jong Kiduku, Ayatollah na Putin.
No way unaweza kufananisha Tanzania na Iran, Russia na NK. Nyerere alikuwa dikteta wa hovyo aliye kumbatia upuuzi pasipo kujali maendeleo ya watu mbishi na king'ang'anizi wa ideologies za kijinga

Hatufanani kwa chochote na Iran ya Ayatollah, Russia ya Putin wala NK ya Kim Nyerere alikuwa dikteta wa hovyo
 
Ni wendawazimu kumponda Nyerere huku unawasifia kina Kim Jong Kiduku, Ayatollah na Putin.
Tatizo lako mwenzangu huwa unaweka tu maandishi. Hapa tunajibishana kwa hoja. Niambie Nyerere alilifanyia nini taifa hili katika sera yake ya kuondoa
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI?

Yerere alikuwa muongeaji mzuri tu lakini siyo mtekelezaji.
 
Enzi za utawala wake mbona watz wengi tu aliwapeleka kusoma China,Urusi,Cuba,UK.
Kosa lake kubwa ni kuyaacha mazuri ya wakoloni aliwachukia wakoloni na mazuri Yao yote.
 

Wajinga,wapumbafu na wanafiki ndio watakao puuza kazi kubwa aliyoifanya Nyerere kwa taifa hili.
 
Waliokuja baada ya Nyerere ndio walioiharibu hii Nchi !!
Nyerere alikataa madini yasichimbwe mpaka wenyewe wenye Nchi waelimike na kujua thamani zake ndio yaje yachimbwe,
Lakini badala yake kila mtu anajua nini kilitokea !! 3% !!!!!!
 
Mwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news.
Wewe ndio wale marinbukeni wa lugha mzarau kwao mtumwa wewe ni wake watu unaogopa kuongea kilugha mjini kisa tu unatak uonekane mjanja
 
Korea Kaskazini ya Kiduku ni masikini kuliko Tanzania, imezidiwa kwa kila kitu na Tanzania kasoro kutengeneza mabomu tu kama mwendawazimu.

Tumeizidi Korea ya Kiduku kwa GDP.
 
Bora Tanzania ya Nyerere kuliko kwa Iran ya Ayatollah, Russia ya Putin au Korea ya Kim Kiduku.
 

Hapa naunga mkono 100%. Unafiki ulioje kusema katiba yetu inalinda dikteta lakini huchukuo nafasi yoyote kuzuia hilo, singlehandedly alikuwa na uwezo wa kutupa katiba bora ya muda wote.
 
Korea Kaskazini ya Kiduku ni masikini kuliko Tanzania, imezidiwa kwa kila kitu na Tanzania kasoro kutengeneza mabomu tu kama mwendawazimu.

Tumeizidi Korea ya Kiduku kwa GDP.
Nimekuuliza Nyerere alifanyia nini Tanzania kwa miaka 24? Je, Tanzania imewahi kupewa sanctions nyingi ka alizopewa NK?
Naomba usiende nje ya mada. Jikite kwenye mada.
 
Ulikua ubinafsi wa nyerere na kupenda sifa kuingiza taifa kwenye vita ya Kagera mwaka 1978 kwa kutaka kusaidia rafiki yake Obote kumrudisha madarakani, umasikini wa Tanzania uliongezeka na anguko la uchimi wa Tanzania mpaka leo chanzo ni hiyo vita, tanzania haijarecover uchumi wake tangu vita hiyo, hiyo vita haikua na faida yote kwa nchi yetu
 
Sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…