Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

Nyerere unamuonea bure.

Nyerere amekuta nchi iko so disorganized, magonjwa, ujinga, umaskini wa kutupwa na ukabila

Nyerere alikua na mlima mrefu sana wa kupanda, kwanza kuhakikisha chembechembe za ukabila zinakufa na kuleta umoja, kupambana na ujinga, kuhakikisha watu wanajua hata kusoma na kuandika. Ulitaka awape elimu gani kama hata kusoma na kuandika hawajui? Ulitaka awape elimu ya uraia wakati hata kusoma hawajui?

Mwalimu kakuta pepopunda, surua, polio, kifua kikuu, kifaduro, kwashakoo na magonjwa mengine yametamalaki kwa watanzania, ulitaka awape alimu ya uraia huku akiwaacha wafe?

Mwalimu kakuta Watanzania ni mafukara wa kutupwa, hawana matumaini ya kesho, akaanzisha vijiji angalau wawe pamoja ili iwe rahisi kuwaletea maendeleo kwa sababu walikua so scattered and disorganized, akaanzisha mashamba ya ushirika ama sustainable farming, akahakikisha anapeleka watu shule wakasome waje wampokee ma kubadilisha nchi kina Chenge na wengine, matokeo yake, wamekua wezi.

Nyerere alipigana kuanzisha viwanda, mashamba ya vijiji, na mambo mengine mengi bila kuuza ardhi hata kipande kimoja kwa waarabu wala wazungu.

That man died poor, had nothing kwa kuwapigania Watanzania

Na alivyokua mwema yule bwana, alipotoka madarakani aliangalia nyuma, akaona failures zake na success zake, akakiri kwamba kweli kuna mahala alifeli, na sababu kubwa za failure za mwalimu zilikua nje ya uwezo wake, kumbuka oil crisis and financial crisis za 70s and 80's.

Yule jamaa alipoona he can continue failing, akajipumzikia yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote. Angeweza kufia madarakani.

Tukubaliane kwamba CCM ndio ya kulaumiwa, ila kumpa Nyerere zigo la lawama ni kumuonea. Yule bwana aliachia hii nchi miaka zaidi ya 35 iliyopita, hao wengine waliofuata walifanya nini?
Nyerere hakukuta ukabila na ndio mana alipokelewa Dar na kukaribishwa TAA bila kujali kabila lake
 
Nyerere alifeli pakubwa sana ..kwanza kuanzisha mwenge hauna faida yeyote ..ni kumuabudu shetani tu, nchi kuzindikwa uko Lindi ni Nyerere na akina foroja ganze wachawi wakubwa. Ndio maana miaka 60 bado tunajenga vyoo vya shule, umeme wa kusua sua, maji masafi ni shida mpaka sasa.
 
Sasa huyo mbunge aliechaguliwa na hajui chochote kuhusu nchi si kachaguliwa na watu kama wewe mnaoijua nchi ama alijichagua mwenyewe?

Yani watu hamtaki ku accept failures zenu, mnafanya blame shifting.
Wabunge wana changuliwa na raia au wana teuliwa na Chama. Kumbe we hujui hayo matatizo ya wa bunge watiifu kwa chama yali letwa na huyu Nyerere......."Nyerere did more harm than good to this nation"
 
Acha kutuongopea wewe Mwalimu aling'atuka kutokana na mabadiliko ya falsafa za mabepari kuanza kuzidi nguvu ujamaa.
Mwl alikuwa mjamaa hivyo isingekuwa rahisi kufuata sera za kibepari wakati alikuwa akiziponda.

Suala la kuunganisha vijiji mnalipa ukubwa tu Wala halikuwa kubwa.

Miaka 24 ni mingi ilitosha kabisa kutuachia taifa lisilo na Uchawa.
Hiyo sio hoja, bado angeweza kuendelea kua madarakani. Kwani angeshindwa nini kua mnafiki na kubadilisha sera akatoka ujamaa aliouamini na kwenda ubepari?

Bado ukweli unabaki palepale kwamba aliamua yeye mwenyewe kutokua mnafiki.
 
Je, unajua kuwa baada na mjerumani kufukuzwa Tanganyika miaka ya 1918 Tanganyika ilikuwa huru?

Nyerere hakufanya chochote katika kuleta uhuru wetu. Alikuta tayari nchi ilikuwa na uhuru kilichokuwa kinahitajika ni kuwa na kiti UN tu.

Alishindwa nini kuiendeleza nchi ambayo haikuwa na vita, watu wanaishi kwa umoja, watu wake siyo wabaguzi?

Nyerere alitukosea sana Watanzania.
 
Wabunge wana changuliwa na raia au wanateuliwa na Chama. Kumbe we hujui hayo matatizo ya wabunge watifu kwa chama yaliletwa na nyerere.
Haya madhaifu tukubaliane kwmaba sisi ndio tumeshindwa kutarekebisha. Nyerere alishaiacha nchi miaka mingi na alishakufa.

Sasa badala tupambane kurekebisha makosa waliyofanya waliotutangulia, tunabaki kuwalaumu, sisi tumefanya nini?

Tuseme Nyerere alikosea, mwinyi alishindwa nini, mkapa alishindwa nini, kikwete alishindwa nini, Magufuli alishindwa nini na Samia atashindwa tena.

Ama unataka kusema hatima ya hii nchi ilikua kwa Nyerere tu, yeye ndie aliepaswa kufanya kila kitu, ajenge shule nchi nzima, ajenge barabara nchi nzima, ajange vyuo vikuu nchi nxima kila mkoa, hospitali kama za Apolo kila kata, fluovers kila kijiji, katiba nzuri kuliko ya Marekani, maji kila nyuma, umeme kila nyumba, sio?
 
Mwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news
Tuzungumzie vingine ila kwenye lugha hakukosea kimsingi alikua sahihi. Mataifa makubwa kama China, Japan n.k wanatumia lugha zao na bado wanafanya vizuri kiuchumi. Naona suala la umri wa mataifa haya tangu uhuru kuwa hoja lakini pia naamini mifumo na sera za malengo ya muda mrefu ndo iliwafikisha hapa. Kimsingi kuna wakati baba wa taifa aliusema uwekezaji wa viwanda vidogo vidogo wa taifa la China kuwa ni mfano wa kuigwa. Na saizi China ni taifa kubwa kutoka a na uwekezaji huo pia
 
Je, unajua kuwa baada na mjerumani kufukuzwa Tanganyika miaka ya 1918 Tanganyika ilikuwa huru?

Nyerere hakufanya chochote katika kuleta uhuru wetu. Alikuta tayari nchi ilikuwa na uhuru kilichokuwa kinahitajika ni kuwa na kiti UN tu.

Alishindwa nini kuiendeleza nchi ambayo haikuwa na vita, watu wanaishi kwa umoja, watu wake siyo wabaguzi?

Nyerere alitukosea sana Watanzania.
Sema alikukosea wewe, mimi na familia yangu hajanikosea. Huna kibali cha kutusemea watanzania.

Nyerere alikuta nchi iko huru? Waingereza walikua wanaimba kwaya tu hapa Tanzania sio? Kwa hiyo baada ya mjerumani kufukuzwa Tanzania ilikua huru kabisa hakuna mtu mwingine aliikalia, sio?

I think I am lowering myself yo your level. Ulifaulu vipi mtihani wa darasa la nne kwenda la 5?
 
Haya madhaifu tukubaliane kwmaba sisi ndio tumeshindwa kutarekebisha. Nyerere alishaiacha nchi miaka mingi na alishakufa.

Sasa badala tupambane kurekebisha makosa waliyofanya waliotutangulia, tunabaki kuwalaumu, sisi tumefanya nini?

Tuseme Nyerere alikosea, mwinyi alishindwa nini, mkapa alishindwa nini, kikwete alishindwa nini, Magufuli alishindwa nini na Samia atashindwa tena.

Ama unataka kusema hatima ya hii nchi ilikua kwa Nyerere tu, yeye ndie aliepaswa kufanya kila kitu, ajenge shule nchi nzima, ajenge barabara nchi nzima, ajange vyuo vikuu nchi nxima kila mkoa, hospitali kama za Apolo kila kata, fluovers kila kijiji, katiba nzuri kuliko ya Marekani, maji kila nyuma, umeme kila nyumba, sio?
Nyerere ndo alio leta hicho chama madarakani na kina mamlako chini ya katiba mbovu huwezi kuleta mageuzi bila kuondoa hicha Chama, na hicho chama ndo kina zalisha maraisi kwahiyi lawama zote zinaenda kwa Nyerere still.
 
Nyerere unamuonea bure.

Nyerere amekuta nchi iko so disorganized, magonjwa, ujinga, umaskini wa kutupwa na ukabila

Nyerere alikua na mlima mrefu sana wa kupanda, kwanza kuhakikisha chembechembe za ukabila zinakufa na kuleta umoja, kupambana na ujinga, kuhakikisha watu wanajua hata kusoma na kuandika. Ulitaka awape elimu gani kama hata kusoma na kuandika hawajui? Ulitaka awape elimu ya uraia wakati hata kusoma hawajui?

Mwalimu kakuta pepopunda, surua, polio, kifua kikuu, kifaduro, kwashakoo na magonjwa mengine yametamalaki kwa watanzania, ulitaka awape alimu ya uraia huku akiwaacha wafe?

Mwalimu kakuta Watanzania ni mafukara wa kutupwa, hawana matumaini ya kesho, akaanzisha vijiji angalau wawe pamoja ili iwe rahisi kuwaletea maendeleo kwa sababu walikua so scattered and disorganized, akaanzisha mashamba ya ushirika ama sustainable farming, akahakikisha anapeleka watu shule wakasome waje wampokee ma kubadilisha nchi kina Chenge na wengine, matokeo yake, wamekua wezi.

Nyerere alipigana kuanzisha viwanda, mashamba ya vijiji, na mambo mengine mengi bila kuuza ardhi hata kipande kimoja kwa waarabu wala wazungu.

That man died poor, had nothing kwa kuwapigania Watanzania

Na alivyokua mwema yule bwana, alipotoka madarakani aliangalia nyuma, akaona failures zake na success zake, akakiri kwamba kweli kuna mahala alifeli, na sababu kubwa za failure za mwalimu zilikua nje ya uwezo wake, kumbuka oil crisis and financial crisis za 70s and 80's.

Yule jamaa alipoona he can continue failing, akajipumzikia yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote. Angeweza kufia madarakani.

Tukubaliane kwamba CCM ndio ya kulaumiwa, ila kumpa Nyerere zigo la lawama ni kumuonea. Yule bwana aliachia hii nchi miaka zaidi ya 35 iliyopita, hao wengine waliofuata walifanya nini?
Naisoma mara mbili hii kuna kitu cha kujifunza hapa. Umewaza
 
Haya madhaifu tukubaliane kwmaba sisi ndio tumeshindwa kutarekebisha. Nyerere alishaiacha nchi miaka mingi na alishakufa.

Sasa badala tupambane kurekebisha makosa waliyofanya waliotutangulia, tunabaki kuwalaumu, sisi tumefanya nini?

Tuseme Nyerere alikosea, mwinyi alishindwa nini, mkapa alishindwa nini, kikwete alishindwa nini, Magufuli alishindwa nini na Samia atashindwa tena.

Ama unataka kusema hatima ya hii nchi ilikua kwa Nyerere tu, yeye ndie aliepaswa kufanya kila kitu, ajenge shule nchi nzima, ajenge barabara nchi nzima, ajange vyuo vikuu nchi nxima kila mkoa, hospitali kama za Apolo kila kata, fluovers kila kijiji, katiba nzuri kuliko ya Marekani, maji kila nyuma, umeme kila nyumba, sio?
Msingi wa nchi ni muhimu mno. Nyerere alijenga msingi wa nchi ya wajinga. Madhara ya Nyerere kuwanyima watanzania elimu matokeo yake siyo kutatuliwa kwa miaka 30 or 50.

Nyerere alikuwa na nafasi kubwa mno ya kujenga Taifa la wasomi. Lakikini hakufanya hivyo. Aliendekeza sera za mtumwa na mtawala.

Nikuulize swali kwanini aliweza kujenga ofsi za chama kila kijiji na akashindwa kujenga shule kila kijiji?
 
Nyerere unamuonea bure.

Nyerere amekuta nchi iko so disorganized, magonjwa, ujinga, umaskini wa kutupwa na ukabila

Nyerere alikua na mlima mrefu sana wa kupanda, kwanza kuhakikisha chembechembe za ukabila zinakufa na kuleta umoja, kupambana na ujinga, kuhakikisha watu wanajua hata kusoma na kuandika. Ulitaka awape elimu gani kama hata kusoma na kuandika hawajui? Ulitaka awape elimu ya uraia wakati hata kusoma hawajui?

Mwalimu kakuta pepopunda, surua, polio, kifua kikuu, kifaduro, kwashakoo na magonjwa mengine yametamalaki kwa watanzania, ulitaka awape alimu ya uraia huku akiwaacha wafe?

Mwalimu kakuta Watanzania ni mafukara wa kutupwa, hawana matumaini ya kesho, akaanzisha vijiji angalau wawe pamoja ili iwe rahisi kuwaletea maendeleo kwa sababu walikua so scattered and disorganized, akaanzisha mashamba ya ushirika ama sustainable farming, akahakikisha anapeleka watu shule wakasome waje wampokee ma kubadilisha nchi kina Chenge na wengine, matokeo yake, wamekua wezi.

Nyerere alipigana kuanzisha viwanda, mashamba ya vijiji, na mambo mengine mengi bila kuuza ardhi hata kipande kimoja kwa waarabu wala wazungu.

That man died poor, had nothing kwa kuwapigania Watanzania

Na alivyokua mwema yule bwana, alipotoka madarakani aliangalia nyuma, akaona failures zake na success zake, akakiri kwamba kweli kuna mahala alifeli, na sababu kubwa za failure za mwalimu zilikua nje ya uwezo wake, kumbuka oil crisis and financial crisis za 70s and 80's.

Yule jamaa alipoona he can continue failing, akajipumzikia yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote. Angeweza kufia madarakani.

Tukubaliane kwamba CCM ndio ya kulaumiwa, ila kumpa Nyerere zigo la lawama ni kumuonea. Yule bwana aliachia hii nchi miaka zaidi ya 35 iliyopita, hao wengine waliofuata walifanya nini?
Huyu Ndugu ya Shetani The Evil Genius
Ametumwa na waleeee!

Ingawa anatumia haki yake kikatiba,lakini tuseme wazi kwamba waliomtuma kuja kuleta upumbavu wake humu.

Ni mawakala wa shetani.ni wale ambao mambo yamewaelemea huko DP-WORLD na sasa wanayafuta upenyo wa kupata wa kumuangushia jumba bovu.

Lakini muelewe jambo moja tu....

Nyerere ataendelea kuwa Baba wa Taifa na kiongozi mahiri kuwahi kutokea Katia historia ya nchi hii.

Na sio ndani ya Tanzania pekee bali Duniani kote.
What are the principles of Nyerere's philosophy?

Nyerere's concept of African socialism is based on three major tenets: work by everyone and exploitation by none; equitable distribution of resources which are produced jointly, and equality and respect for human dignity (Thenjiwe & Thalia, 2009).

"What is the contribution of Nyerere in education for liberation?

Adult education, lifelong learning and learning for liberation. In the Declaration of Dar es Salaam Julius Nyerere made a ringing call for adult education to be directed at helping people to help themselves and for it to approached as part of life: 'integrated with life and inseparable from it'."
 
Alikaa ikulu kwa zaidi ya miaka 20 ! Bado alishindwa ku organise hata katiba tu?
Mara nyingi katiba huwa inaonekanaga ombwe kwa kadili ya muda na mahitaji ya wakati huo. Na ndio maana huwa inabadilishwa au kuboreshwa. Naona tulitoka kwenye muono wa serikali ni chama na chama ni serikali lakini kadri ya muda katiba inatakiwa ibadilike. Ila swali ni je tunazingatia nn tunavoibadilisha
 
Huyu Ndugu ya Shetani The Evil Genius
Ametumwa na waleeee!

Ingawa anatumia haki yake kikatiba,lakini tuseme wazi kwamba waliomtuma kuja kuleta upumbavu wake humu.

Ni mawakala wa shetani.ni wale ambao mambo yamewaelemea huko DP-WORLD na sasa wanayafuta upenyo wa kupata wa kumuangushia jumba bovu.

Lakini muelewe jambo moja tu....

Nyerere ataendelea kuwa Baba wa Taifa na kiongozi mahiri kuwahi kutokea Katia historia ya nchi hii.

Na sio ndani ya Tanzania pekee bali Duniani kote.
What are the principles of Nyerere's philosophy?

Nyerere's concept of African socialism is based on three major tenets: work by everyone and exploitation by none; equitable distribution of resources which are produced jointly, and equality and respect for human dignity (Thenjiwe & Thalia, 2009).

"What is the contribution of Nyerere in education for liberation?

Adult education, lifelong learning and learning for liberation. In the Declaration of Dar es Salaam Julius Nyerere made a ringing call for adult education to be directed at helping people to help themselves and for it to approached as part of life: 'integrated with life and inseparable from it'."
Wewe acha hizo theory Nyerere alishindwa kutekeleza hizo theory zake alitupotezea mda sana, ndo maana ujamaa wake ulifail haraka sana.
 
Msingi wa nchi ni muhimu mno. Nyerere alijenga msingi wa nchi ya wajinga. Madhara ya Nyerere kuwanyima watanzania elimu matokeo yake siyo kutatuliwa kwa miaka 30 or 50.

Nyerere alikuwa na nafasi kubwa mno ya kujenga Taifa la wasomi. Lakikini hakufanya hivyo. Aliendekeza sera za mtumwa na mtawala.

Nikuulize swali kwanini aliweza kujenga ofsi za chama kila kijiji na akashindwa kujenga shule kila kijiji?
Kwa akili yako, Nyerere ndie aliepaswa kufanya kila kitu nchi hii, hatima ya nchi hii ilikua na bado iko mikononi mwa Nyerere hata kama kafa.

Kama hii ndio fikra iko nayo, kweli bado yuna safari ndefu sana.

Ofisi gani za chama zilijengwa nchi nzima? Hizi hadithi za vijiwe vya kahawa ndio unaleta humu. Kwamba Nyerere alijenga ofisi za ccm nchi nzima? Aisee.
 
Sema alikukosea wewe, mimi na familia yangu hajanikosea. Huna kibali cha kutusemea watanzania.

Nyerere alikuta nchi iko huru? Waingereza walikua wanaimba kwaya tu hapa Tanzania sio? Kwa hiyo baada ya mjerumani kufukuzwa Tanzania ilikua huru kabisa hakuna mtu mwingine aliikalia, sio?

I think I am lowering myself yo your level. Ulifaulu vipi mtihani wa darasa la nne kwenda la 5?
Nakuomba tujikite kwenye context tuachane na EGO.

Tanganyika ilikuwa under Protectorate baada ya wajerumani kuondolea nchini. Unajua kuhusu League of Nations?

1693112868585.png
 
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.

Katika miaka 24 ya utawala wa wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI

Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.

Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?

Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?

Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?

Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.

Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.

Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.

Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.

Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.

Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.

Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.

Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.

Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Wakati wa Nyerere ndipo watu wema walipoelimika kinyume na sasa wengi walioelimika wameelimika zaidi katika mbinu za kukwapua !!
Mwalimu ameachia madaraka Nchi ikiwa na viwanda karibu 400.
Mwalimu alitoa elimu bure tena mpaka chakula na usafiri !!
Acheni kukaririshwa ujinga !!
 
Nyerere unamuonea bure.

Nyerere amekuta nchi iko so disorganized, magonjwa, ujinga, umaskini wa kutupwa na ukabila

Nyerere alikua na mlima mrefu sana wa kupanda, kwanza kuhakikisha chembechembe za ukabila zinakufa na kuleta umoja, kupambana na ujinga, kuhakikisha watu wanajua hata kusoma na kuandika. Ulitaka awape elimu gani kama hata kusoma na kuandika hawajui? Ulitaka awape elimu ya uraia wakati hata kusoma hawajui?

Mwalimu kakuta pepopunda, surua, polio, kifua kikuu, kifaduro, kwashakoo na magonjwa mengine yametamalaki kwa watanzania, ulitaka awape alimu ya uraia huku akiwaacha wafe?

Mwalimu kakuta Watanzania ni mafukara wa kutupwa, hawana matumaini ya kesho, akaanzisha vijiji angalau wawe pamoja ili iwe rahisi kuwaletea maendeleo kwa sababu walikua so scattered and disorganized, akaanzisha mashamba ya ushirika ama sustainable farming, akahakikisha anapeleka watu shule wakasome waje wampokee ma kubadilisha nchi kina Chenge na wengine, matokeo yake, wamekua wezi.

Nyerere alipigana kuanzisha viwanda, mashamba ya vijiji, na mambo mengine mengi bila kuuza ardhi hata kipande kimoja kwa waarabu wala wazungu.

That man died poor, had nothing kwa kuwapigania Watanzania

Na alivyokua mwema yule bwana, alipotoka madarakani aliangalia nyuma, akaona failures zake na success zake, akakiri kwamba kweli kuna mahala alifeli, na sababu kubwa za failure za mwalimu zilikua nje ya uwezo wake, kumbuka oil crisis and financial crisis za 70s and 80's.

Yule jamaa alipoona he can continue failing, akajipumzikia yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote. Angeweza kufia madarakani.

Tukubaliane kwamba CCM ndio ya kulaumiwa, ila kumpa Nyerere zigo la lawama ni kumuonea. Yule bwana aliachia hii nchi miaka zaidi ya 35 iliyopita, hao wengine waliofuata walifanya nini?
CCM ina kosa gani sasa? Ongeleeni mapungufu ya watu na mtu binafsi, chama kiwe Chadema, CCM, sijui TLP na vingine, swala ni waTanzania tu, ziko hulka za kiTanzania ambazo haijalishi mtu katoka chama gani, swala ni mTanzania tu kwisha, tunafanana hata kama ni chama gani kitaongoza, tena ndiyo tunaweza kuja kuwakumbuka hata hao CCM
 
Back
Top Bottom