OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Yeah nipo Uganda iv mkuuOya,upo bongo au wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nipo Uganda iv mkuuOya,upo bongo au wapi
Dubai umetokapo lini?Yeah nipo Uganda iv mkuu
Niliposema wewe umeharibiwa na bangi usidhani nilikuwa natania.Sasa mzee wangu unaweka hiyo screenshot haijulikani hata umeitoa wapi. Unazozifanya hapa ni cheap propaganda.
Kizazi cha sasa hakidanganywi kivyo. Weka source ya taarifa zako watu waweze evaluate. Unaogopa nini?
Huyu Ndugu ya Shetani The Evil Genius
Ametumwa na waleeee!
Ingawa anatumia haki yake kikatiba,lakini tuseme wazi kwamba waliomtuma kuja kuleta upumbavu wake humu.
Ni mawakala wa shetani.ni wale ambao mambo yamewaelemea huko DP-WORLD na sasa wanayafuta upenyo wa kupata wa kumuangushia jumba bovu.
Lakini muelewe jambo moja tu....
Nyerere ataendelea kuwa Baba wa Taifa na kiongozi mahiri kuwahi kutokea Katia historia ya nchi hii.
Na sio ndani ya Tanzania pekee bali Duniani kote.
What are the principles of Nyerere's philosophy?
Nyerere's concept of African socialism is based on three major tenets: work by everyone and exploitation by none; equitable distribution of resources which are produced jointly, and equality and respect for human dignity (Thenjiwe & Thalia, 2009).
"What is the contribution of Nyerere in education for liberation?
Adult education, lifelong learning and learning for liberation. In the Declaration of Dar es Salaam Julius Nyerere made a ringing call for adult education to be directed at helping people to help themselves and for it to approached as part of life: 'integrated with life and inseparable from it'."
Na likatiba libovu la kumfanya rais mungu mtuNawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.
Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?
Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?
Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?
Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.
Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.
Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.
Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.
Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.
Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.
Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.
Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.
Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
No mambo alivyo yaseti,yaani Kuna wenye nchi,Wala Nchi na Waliwa na Nchi,Sasa wewe mliwa na nchi huna chako nchini,unatakiwa usubiri kufa tu.yaani wenye nchi ni sawa na miungu,hata wafanye kosa gani huwaambii kitu huwatoi,hawakupendi hawakujali,wanajaliana wenyewe na Wala nchiSawa Nyerere kalikoroga na hayupo na nchi kaiacha nini kinawakwamisha kuifanya mtakavyo?
Mh!! Hii lugha uliyoiandika!!Lee Kuan Yew anampata huyu PM wa singapore ???
Kwa mada hii ndugu yangu yafaa Sasa tuwaite hata kenge waje JF kuchukua umember humu na watengeneze ID zao Kama vile Pluto star, Mercury star au Jupiter star! Maana mada Kama hii yako imekaa kikengekenge mnoo!Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.
Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?
Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?
Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?
Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.
Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.
Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.
Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.
Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.
Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.
Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.
Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.
Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
You seems to have a very serious Mental problem. I urge you to visit a nearby Mental Health Hospitali so that you can be treated.Nawasalimu wanaJF.

Sijakikataa kiswahili , ila sio lugha ambayo inaweza kukujenga kwenye international standards of understanding the world..Wewe ni mmoja ya watu waliokuwa wakifanya vibaya sana darasani. Yaani according to your poor understanding of international issues, "a country is isolated owing to her prioritization of local vernacular" 😂 😂 😂
Tunatakiwa kukazia pakubwa sana kwwenye kiswahili kama lugha ya kufundishia na kufundisha vizuri lugha nyingine za kigeni za muhimu.
Umesema vyema.
Kukazia tu juu ya hayo yote, jamaa aliyeanzisha hii thread hata hajui historia ya nchi yetu hata chembe.
Tanzania haikua koloni la Waingereza bali ilikuwa eneo chini ya directorate ya Waingereza na only Kenya ndio ilikuwa koloni la Waingereza na ndio mahala Wazungu walitaka kusettle na Tanganyika(Tanzania) ilikuwa kama sehemu yao ya kulimia mazao yaani shamba na maendeleo kidogo yalifanywa na Germany mkapa walipopoteza vita. Hivyo hakukua na maendeleo yeyote ya maana Waingereza walikuta Tanganyika na wao pia hawakufanya maondeleo yeyote kwakua Tanganyika (Tanzania) halikua koloni lao.
Mpaka 1961 tunapata uhuru, Tanzania ilikuwa na watu not less than 10 million:
1. 89% walikuwa hawajui kusoma na kuandika
2. Nchi nzima kulikuwa na madokta 12 tu
3. Nchi nzima kulikuwa na mainjinia 2 tu
Na sector nyingi za uchumi zilikuwa either changa ama hazipo kabisa.
Miaka hiyo, Tanganyika (Tanzania) walijitahidi na kuwasiliana na ANC (African Netaional Congress) ya Africa Kusini kuomba msaada wa wahudumu wa afya, ambapo ANC walijitahidi na kuwatorosha Manesi 36 kupitia Botswana kipindi hicho Bechunaland ambapo ndege ilitoka Tanganyika (Tanzania) na kwenda kuwachukua.
Moja ya maeneo Nyerere alikosea ni kuelekeza mapato ya nchi kwenye kupigania uhuru wa kusini mwa Africa:
1. Kujenga kambi za kijeshi za wapigania uhuru
2. Kununua silaha na other logistical support
3. Kutumia hela nyingi kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi baada ya kujenga bifu na nchi za magharibi hususani juu ya harakati za ukombozi.
Ni mengi niishie hapo kwa sasa. At least baadhi ya hizo nchi wanatambua na kuweka bayana kuwa, tungelikuwa na uchumi mkubwa sana leo hii kama tusingefanya hayo yote ~ Cyril Ramaphosa
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1295164182053126144?s=20
Rudi shule! Rudi shule!Sijakikataa kiswahili , ila sio lugha ambayo inaweza kukujenga kwenye international standards of understanding the world..
Mikataba mingapi tumeingizwa chaka tu kwa sababu watawala hawakusoma na kuelewa those fine prints? Sasa hivi kuna hili la Dp world hali ni ile ile, wengi hata huo mkataba hawajui kinaelezwa nini.
Unakichaa! 😂Shida kubwa ya sera ya ujamaa ni propaganda na unafiki . Na ndio ulikuwa mtaji mkubwa wa the late mwalimu .
Kwamba mwaka 1961 kulikuwa na madokta 12 na mainjinia 2 nchi nzima na wewe unaaamini!
Huwezi kujadili hoja bila kejeli?Unakichaa! 😂
shule ulikuwa unakula bagia na kalimati😂
Tupe ushahidi kuwa haikuwa hivyo, mimi ninao ushahidi kuwa manesi zaidi ya 36 walikua toka Africa Kusini baada ya kutoroshwa na ANC na kuja Tanzania. Wengi wao bado wanaishi Tanzania, wameolewa na wengine wamekufa.
Toa wako nitakupa wangu😂
Walimu wako wote walikuwa na degree! Yet unachangina hoja na kwa dharau na tambo!!Rudi shule! Rudi shule!
Yaani kwa akili yako finyu, unafikiri mikataba mibovu ni kwaajili ya lugha?? 😂 😂
Chenge, mwanasheria mkuu wa serikali kasoma " Ivy League" Harvard University. Hizi ni top vyuo vikuu vya dunia. Lutokea Tanzania, vijana toka Ilboru, Seminary na shule nyingine za serikali za watoto wenye vipaji maalumu. Huko ni waalimu wa nguvu tu hufundisha, Wajerumani, Waingereza na Wamatumbi walio vizuri mno.
Mimi walimu wangu tangu Pre Form One wote walikua Wahindi wenye degree zaidi ya moja.
Dah!!! Yani wewe jamaa!!You seems to have a very serious Mental problem. I urge you to visit a nearby Mental Health Hospitali so that you can be treated.
Kuzipambanisha nchi yawatu weusi na race zingine kwenye issue yamaendeleo niujinga kamwe mtu mweusi hawez kushindanishwa ni automatic failureMwalimu Nyerere alitawala miaka 24. Niambie kwanini aliweza kujenga viwanja vya mpira kila mkoa? Kwanini aliweza kujenga ofsi za chama kila kijiji?
Alishindwa nini kuweka sera hata ya miaka 5 kujenga shule za sekondari kila kata kama alivyofanya Lowassa?
Yaani yapo mataifa mengi tu tulikuwa sawa nayo wakati tunapata uhuru lakini waliwekeza kwenye elimu. Nchi za Malaysia, Thailand nk.
Waliwekeza kwenye elimu. Alishindwa nini kujenga shule za msingi kila kijiji?