Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Je unayoyasema ni ya kweli au ndiyo njaya imekubana
 
Eti msululu wa mawakili wakati hauna uwezo wa kuwalipa...
Mawakili wasomi, wanyookoo!
 
Back
Top Bottom