Atakua mnyiha uyu
Mnyiha wa Vwawa; ndugu yake Mwashambwa!😳😳
Atakua mnyiha uyu
Sasa kama Chadema imeshindwa kuwalipa, walienda mahakamani kufanya nn?? kamudanganye mama ambae hakusoma!!Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
huenda anaenjoy sana misosi ya kuletewa korokoroni, na alivyo mvivu mtu wa kuomba omba kuchangiwa pesa, anatamani kuendelea kusota ndani 🐒Si ndio vizuri ili aendelee kukaa ndani?
Bado haelewi huyo maana ya Pro bono.CHADEMA haijawahi kuwalipa Mawakili, hizo kesi zote wanasimamia bure kwa miaka yote.
Kwahiyo hoja yako imekufa kibudu
ila najua Lisu inaweza kumcost kujitetea, legal presentation mahakamani inahitaji research, akiwa gerezani hapati huo muda wa kuperuzi sheria na maamuzi mapya, itamcost.Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Huyu nae ni mshenzi sana! Eti hawana hela!Mawakili wote wamejitolea kumtetea Lissu bila malipo hivyo habari yako ni ya kimalaya tu.
Another hallucinationsKuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Deni T 107 ya nini akeee?KESI YA MAMA
UHAINI WA MAMA
HAKIMU WA MAMA
MAHAKAMA YA MAMA
MAGEREZA YA MAMA
ASKARI WA MAMA
SHAHIDI WA MAMA
mawakili waliokuwa wanaongea ninwawili tu, wengine walikuwa pale kuuza sura, hizo nafasi bora wakae akina henche na genge lake, kumbe liveshow noma sana, kesi ingekuwa chemba tungelishwa matango pori kinomaKuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
walisahau kwamba maarifa na mipango ni kitu muhimu zaidi kuliko mawakaili30
Hii ndagu kumbe bado ipoView attachment 3372327
Hakuna na haitokea mumshinde Lissu na kesi mtaifuta mkitaka msitake na utakuja humu kulalamika kwasababu serikali yako haina akili kama wewe. Lissu ameamua kujitetea mwenyewe kutokana na serikali kutokana kuweza kuonana na mawakili wake huku ikivunja sheria kwa Mahabusu. Furahieni dhulma na ipo siku mtailipa hiyo kwa njia yoyote ile. $amia will dei soon make my words.
300,600,900,200 Kipi ni kipi lissu kakuvurugaa vibaya kuwa wakili kwa kesi ya lissu ni CV hiyoKuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, periodumekula msosi gani akili yako kama imevurugwa