Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Ndio vizuri uliopaswa kushangilia maana atahukumiwa kunyongwa mpaka kufa.
 
walisahau kwamba maarifa na mipango ni kitu muhimu zaidi kuliko mawakaili30
Maarifa yapite wapi? Mahakamaccm ya mama, Polisiccm wa mama, Jajiccm wa mama, hakimuccm wa mama karaniccm wa mama, hakuna mahakama huru, sasa kila kitu ni mali ya mama mpaka muungano ufe Tanganyika ipate uhuru ndipo itajinasua toka mikononi mwa nyinyi ibirisi wa ccm na mama iddy Amin Dada mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar
 
mropokaji kujitetea ni kurefusha mwenendo wa kesi.
jambo dogo tu la kuelezea dk2 yeye anaeleza dk55 :pedroP:
 
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Chuma kimeingia mzigoni, shetani Samia alaaniwe milele
 
ibirisi wa ccm wamesahau kuwa walikuwepo madikiteta watesi makatili Duniani leo hii wapo wapi? Iddy Amin dada, Elibashiri, Bokasa, Chiluba, mabutu, makaburu na wenzao? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Ngoja awachachafye - hiyo ndiyo Lissu. Leo katoa lecture adimu sana mahakqmani hadi mawakili wa Serikali wakabakia midomo.wazi.
Wanabaki tu pale eeeh eeeh! unaseemaa?mbwa wale na wana wake kbsa wamewaacha nyumbani?shame!
 
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Sawa afisa doria
 
Ukiitwa kima utalalamika?
1. Kaka wa Lissu Wakili Alute naye anahitaji kulipwa?
2. Hujui kuwa mawakili wote walijitolea?
 
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Mawakili waliojitolea utashimdwaje kuwalipa wewe nazi?
 
Back
Top Bottom