Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
 
Umeshachukua Buku saba Mkuu
 
Good for you
 
Deni la mama umeliona?
 
Kama wameshindwa kuwalipa mawakili fanya sherehe kuwa adui yako kakosa mbinu mpya
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Kwa mahakama hizi kibogoyo usitegemee kesi yoyote ya maana. Uwezo halisi wa hao vijana mawakili wa serekali tungewaona kwenye zile kesi za kimataifa. Kule hakuna maelekezo kama huku. Serekali ingekuwa na mawakili wenye uwezo usingeona kesi ikiahirishwa kila siku.
 
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe

Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini

Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Nikisem we fala sikosei!!
 
Shoga la mama!
 
Ww ni mwanadada?
 
Ngoja awachachafye - hiyo ndiyo Lissu. Leo katoa lecture adimu sana mahakqmani hadi mawakili wa Serikali wakabakia midomo.wazi.
 
Back
Top Bottom