Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Kwahiyo wewe na elimu yako, au akili zako ( Kama unazo maana kwa thread hii umeonyesha kama Huna akili au ni chache, au unazo nyingi ila kwa sababu unazozijuq wewe umeamua kutozitumia) Unahisi umeongea point?Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Kwamba mahakama ya Tanzania inaweza kutenda haki tena kwenye kesi mpinzani dhidi ya jamuhuri.
Natamka wazi nikiwa sina mihemko, taifa hili linahitaji kuwapunguza watu kama nyinyi kwanza ndipo mengine yafuatwe. Yaani unaongea upuuzi na umekaa kichawa chawa Huna tofauti na wabunge wako waliopo bungeni na usomi wanao ila hawakosoi kile wanachojua ni ujinga kwa kuhofia kukosa teuzi kutokupitishwa chaguzi zijazo. Bro wewe ndio mjinga. Ikiwa unaogopa kuwa against government ni bora ukakaa kimya kuliko kutetea upuuzi ambao ndani ya moyo wako unajua ni ujinga. Wajukuu wako miaka 100 ijayo watakuwa wanakusoma kama kizazi failure.
Karibu uni jibu tena kipuuzi.