Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

Mwanafunzi anakuwaje mkali kuliko mwalimu wake.
Chris alikuwa dansa wa Wacko Jackson
Daaah na wewe Muongo jamaa wewe🀣🀣🀣🀣.
Ni mara moja CB alikutana na Mj, tena backstage wakati wa performance ya thriller. Ilikua tribute performance, na hawakuwahi kukutana tena. Na siku ana perform Alikuwepo pale London bwana MJ. Sasa jiulize haawajawahi kutana marekani, wamekuja kukutana london. Tena show aliyoandaa michael ili vijana wacheze. CB alikua tu na miaka 17.
Na inawezekana ni kama ile stry ya kibongo kwamba jamaa kabla hajafa tulichat sana week iliyopita. 🀣🀣🀣🀣
Jamaa CB hajawahi kuwa dancer wa MJ. Bali ni idol wake
 
Vijana wa zamani hakuna kitu chao kimezidiwa na kitu cha sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
inawezeka wewe ni mtoto mdogo sana, michael jackson unamjua kwa jina na kwa kumgoogle.
Wewe mwenye umri mkubwa Michael Jackson umemjua kwa njia ipi? Umeishi nae? Ushawai kumuona?
 
Hao MJ walikuwa wanasoma story zake kwenye gazeti la mzalendo alafu wanajifanya wanamjua sana talent wise
 
Unatafuta laana Sele...
 
Unamuongelea MJ yule aliekua maarufu dunia nzima kabla ya cd enzi za mikate/matofali, kabla ya YouTube, facebook, Twitter nk

Kijana wa dabliyusibii acha utani aisee, hata Chriss Brown mwenyewe hathubutu kujifananisha na mkali MJ, 50 cent alipojaribu kumfananisha Breezy akakana katu kua hamfikii MJ.

Wewe upo sinza hapo unabishana na Chriss Brown mwenye jina mwenyewe.
 
Kamzidi kila kitu mkuu, hakuna mahali CB alikoweza kumsogelea MJ. Ni humu tu JF hawakucheki kwa kuleta hoja hii, kwingine utachekwa.

Ova
Chris Brown talent yake ni kubwa sana mj hagusi, anachozidi ni kuchonga pua awe kama mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…