Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

MR NICE WA SASA HUYO
 
Wewe ni mgeni na mtoa mada, kuna kitu kalenga mwenzio
NB: komasava
 
Generational gap. Huwezi mwambia mtu kwamba MJ au Pelle ni wakali ambao hajawaona kuliko CB au Messi ambao kawaona.

Aidha nini cha ajabu CB kucheza wimbo wa boss wako anayekuweka mjini wewe sinza pazuri ? Inakuaje hii kuwa trending topic kwamba CB kacheza tu wimbo wako? Could the bar be any lower? Mtu kucheza wimbo wako nayo ni topic mbona mitanganyika mnakua empty set sana. Mondi anajua ila hizi sifa za rejareja sio level yake hizo angewaachia wasanii wanaojitafuta.
 
Hata Chris Brown mwenyewe atakwambia umeongea pumba..
 
Wewe ndio hujui, ficha ujinga wako
 
Kuna watu mnavuta bangi ya Malawi si ndio ?
 
Kizazi cha mwaka 2000 bana
 
Jifunze kujenga hoja kama huwezi kufanya reasoning kaa mbali na mijadala yenye mantiki
 
Jifunze kujenga hoja kama huwezi kufanya reasoning kaa mbali na mijadala yenye mantiki

Mwambie boss wako CB kucheza wimbo wake sio sifa kwa mtu wa calibre yake. Hizo sifa awaachie kina manfongo wanaojitafuta. Yeye afanye collabo na hao kina CB. Nashangaa sana wamatumbi mnavyoshoboka mtu kucheza tu wimbo, really?
 

Una miaka mingapi ya kuzaliwa?
 
CHRIS BROWN NI MJUKUU WA MICHAEL JACKSON ,USHER RAYMOND NI MTOTO WA MICHAEL JACKSON ,KIUFUPI MICHAEL JACKSON NI BABU YAKE CHRIS BROWN HOPE UMENIELEWA NA NAHISI WEWE NI KIZAZI CHA 2000 PLUS HAUJUI MAGWIJI WA KUVUNJA VUNJA DANCERS MUSICIAN
 
Toa data ya album sales za adele ambazo zimemzidi hata Whitney au Mariah.. Najua huwezi so endelea na kushabikia WCB
Mimi sifanyi kazi ya kutafutia data watu wasio na uelewa wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…