Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini yaani mtoa mada huyu ni shabiki wa WCB kindaki ndaki yaani humuambii kitu kwa diamond Leo hi kwakuwa amesema ukweli ndio mnadiriki kumuita hater [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mtoa mada ni hater wa WCB maana kila mada inayoitoa ni kuwaponda WCB na kuwasifu watu kama kina Nandy,Haemonize na n.k.
Unajua kuna vitu vingine hata kama huna akili siku moja moja ujitahidi ubalansi shobo, hivi kwa bongo hapa unadhani kuna Wasanii wa kuwafikia kwa trend kama WCB especially Diamond.
Kwa hiyo mtoa mada acha ujinga mda mwingine hata kama ni mapenzi kwa harmo sio hivyo sasa
Kwa hiyo ile ya Rayvany ilikuwa na ugenious ndani yake? labda mimi sielewi maana ya Ugenious..... Diamond kakosa kiki kwa sasa awezi akawa na kiki akaitunza hana kifua hichoDiamond is genious kwenye kutengeneza kiki anajua nn afanye nn asifanye kwa wakati gani na yeye mwenyewe anakwambia ndio kiki yenyewe hapo alipo kuna kiki anandaa na hiyo itamfunika hata konde na takataka zake zote...ila kiukweli konde kwa kajala kiki imekubali hata simba mwenyewe itakuwa kakubali...
ukweli na usemweWewe jamaa siku hizi umekuwa matured Naona unaongea umeamua kuwa una simamia ktk ukweli tofauti na ilivyokuwa zamani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nimecheka hapo eti Wana mtafutia mtoto mdogo amuoe. Ili waendelee kutrend kweli hao jamaa wamevurugwa
Huyo ni wajuzi ndio maana hajui anacho kiongeaMasikini yaani mtoa mada huyu ni shabiki wa WCB kindaki ndaki yaani humuambii kitu kwa diamond Leo hi kwakuwa amesema ukweli ndio mnadiriki kumuita hater [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani laiti Kama ungemjua mtoa mada jinsi anavyompenda diamond hata usingesema hivyo ... Tatizo nikwamba nyie mmeamua kufumba fikira zenu na kupinga hata Yale ambayo yana fact Ili mradi tu mzishibishe hisia zenu
Alikuwa meneja wa kampeni za ccm mwaka jana 😆😆Me nauliza mtoa post ni baba ake nani.?
Huyu ni hasara/garasa.
Mbona Simba wanawazidi Yanga kimataifa wakati Simba walitoka ubavuni kwa Yanga(simaanishi story ya Hawa wa bustanini)Mwanafunzi hamzidi mwalimu. Huyo yuko field tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilitaka nishangae usiwepo hapa. LolHvi harmonize unamtenganisha vip na WCB.....!!! Zao la WCB pure kabisa , na bado ili apate Kiki anawategemea Sana WCB, hata hvyo wamepatana hyo Kiki inaisha this week Kajala arudi Gym Na Paula arud Kwa Vannboy mtu mbaya[emoji3]
Kumbe hili tumeliona wengi.Ninawapenda Kajala na Harmonize, Kajala anavaa nguo zinazoendana na couple yao, si ndefu wala si fupi.
Harmonise ni kijana mwenye akili na kipaji kikubwa. Ninakushauri ujifunze Kiingereza, unapenda kukiongea lakini unavunja mpaka unatuumiza masikio. Ukijitahidi kukielewa swaga zako zitakua si za kitoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ninachosema safari hii kweli mmakonde kawaweza WCB
Juzi kapiga hela ndefu CRDB anachokosea Mond kudate wanawake wa nje ya nchi...kwa mara ya kwanza naona Mond kimemkuta “kupatwa kwa jua”mtu mmoja anayeweza kumrescue Mond ni Wema Sepenga tu kwa sasa aingizwe kwenye scene...Kiki zake mwenyewe hazimlip nyimbo mpya haisogei kabisa kifupi tu watanzania tupo bzy na Maisha magum
😀😀 Umemuona Paula kapost anaimba wimbo wa Vanny boy ..alaf hamtaji konde boy sjui Kwa nn , anyway za chini chini Vanny boy Leo pia anakula mzigo 😀😀[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilitaka nishangae usiwepo hapa. Lol