Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😀😀😀 unaa unatokana na ukosefu wa kazi za kufanya. Unafikiri huko ughaibuni baadhi ya nchi mtu ana vikazi vikazi kibao, anapata wapi mda wa unaa. Ufahamu ambao unao juu ya masuala ya kijinsia na haki za watoto, ni vyema watu wachache walio karibu yako wakanufaika nao. Tuwalinde watoto wa kike na mama. Na ndio maana enzi hizo vitani wababa walikuwa wanaenda mbele ( tangulia mbele ), ili kulinda familia zao, sasa siku hizi watu wanataka kuwa na malezi ya kijanja janja tu.Ni duniani kote yameshuka ila huku Africa tuna unaa mwingi ndo shida ilipo kuliko huko magharibi