Ukweli usemwe: Harmonize na Kajala wamefanikiwa kumdhibiti Diamond na WCB kwenye kiki

Ukweli usemwe: Harmonize na Kajala wamefanikiwa kumdhibiti Diamond na WCB kwenye kiki

[emoji3][emoji3] Umemuona Paula kapost anaimba wimbo wa Vanny boy ..alaf hamtaji konde boy sjui Kwa nn , anyway za chini chini Vanny boy Leo pia anakula mzigo [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan wee mtu khaaaah.
 
Diamond Kiki zilimubeba hasa enzi za team wema, ikaja zari, hamisa, alipoanza kuzalilisha wanawake na kutumia watoto hzo Kiki zimezoeleka, na sasa Ili kiki ikubali sijui aje na jipya gani
 
Juzi kapiga hela ndefu CRDB anachokosea Mond kudate wanawake wa nje ya nchi...kwa mara ya kwanza naona Mond kimemkuta “kupatwa kwa jua”mtu mmoja anayeweza kumrescue Mond ni Wema Sepenga tu kwa sasa aingizwe kwenye scene...
Wema sepetu mwenyewe sikuhizi hashtui kashachuja long, mond labda arudiane na hamisa
 
Diamond Kiki zilimubeba hasa enzi za team wema, ikaja zari, hamisa, alipoanza kuzalilisha wanawake na kutumia watoto hzo Kiki zimezoeleka, na sasa Ili kiki ikubali sijui aje na jipya gani
Huenda zama zake zinaishilizia. Japo Harmonize anatumia nguvu kubwa sana kuwa juu ya diamond..
 
Juzi kapiga hela ndefu CRDB anachokosea Mond kudate wanawake wa nje ya nchi...kwa mara ya kwanza naona Mond kimemkuta “kupatwa kwa jua”mtu mmoja anayeweza kumrescue Mond ni Wema Sepenga tu kwa sasa aingizwe kwenye scene...
Diamond nafikiri amemtangulia harmonize kwenye dili nyingi hata kwa mkwanja nahisi Diamond atakuwa kamzidi Harmonize. Kila mtu ana majira yake ya ku shine, huenda yakawa ya Harmonize ingawa naona kama anatumia nguvu kubwa sana, kumuweka diamond chini kitu ambacho nafikiri bado anatakiwa aongeze juhudui. Diamond mwenzake kajiwekeza huko kwenye media, kitendo cha kusikiliza wasafi tv au fm tayari ni domo huyo.
 
Ninawapenda Kajala na Harmonize, Kajala anavaa nguo zinazoendana na couple yao, si ndefu wala si fupi.

Harmonise ni kijana mwenye akili na kipaji kikubwa. Ninakushauri ujifunze Kiingereza, unapenda kukiongea lakini unavunja mpaka unatuumiza masikio. Ukijitahidi kukielewa swaga zako zitakua si za kitoto.
Kwakweli comment nzuri
 
Wema sepetu mwenyewe sikuhizi hashtui kashachuja long, mond labda arudiane na hamisa

Chibu hajawahi kutrendi proudly na Hamisa, alikuwa akimla kwa siri tu kipindi hicho yupo na Zari.

Tunguli zimembamba?
 
Wenzake wanaoa wazee wenye akili na mchangamani wa kimataifa, wenye uwezo wa kutengeneza headline za kimataifa, wenye uwezo wa lugha mbalimbali sasa yeye anaoa lizee la kiswahili la kumfundisha majungu na fitna za kiswahili?
 
Kwa hiyo ile ya Rayvany ilikuwa na ugenious ndani yake? labda mimi sielewi maana ya Ugenious..... Diamond kakosa kiki kwa sasa awezi akawa na kiki akaitunza hana kifua hicho
Diamond anaweza kutengeneza kiki kwa series anaweza akaanza yeye,akafuatia mama yake na anko shamte,sijui Esma mara Rommy Jones na Queen Darleen akafuatia mzee wa Dudu la Yuyu,wakaja mababy mama wake kwa kifupi anaweza kutengeneza kiki hata miaka miwili mfululizo,sababu hao watu ukiwagusa umemgusa Diamond.

Diamond kutengeneza kiki kwake ni kitu kidogo tu,sema labda ile nafasi yake ya pale Wasafi media ndiyo inayo mzuia.

Ila WCB wana kauli yao wao kila kitu kwao ni biashara ukilileta beef wao watalifanya kuwa biashara,wakifanya kiki wataitumia kwenye biashara.

Konde yeye anakosea kwenye timing,hii ingeanza mwaka jana kabla ya kutangaza tour sasa hivi angekuwa anapiga hela kwenye tour yake.
 
Hvi harmonize unamtenganisha vip na WCB.....!!! Zao la WCB pure kabisa , na bado ili apate Kiki anawategemea Sana WCB, hata hvyo wamepatana hyo Kiki inaisha this week Kajala arudi Gym Na Paula arud Kwa Vannboy mtu mbaya😀
mimi sijawatenganisha kabisa soma vyema
 
Mtoa mada ni hater wa WCB maana kila mada inayoitoa ni kuwaponda WCB na kuwasifu watu kama kina Nandy,Haemonize na n.k.

Unajua kuna vitu vingine hata kama huna akili siku moja moja ujitahidi ubalansi shobo, hivi kwa bongo hapa unadhani kuna Wasanii wa kuwafikia kwa trend kama WCB especially Diamond.

Kwa hiyo mtoa mada acha ujinga mda mwingine hata kama ni mapenzi kwa harmo sio hivyo sasa
no wonder umejiunga 2019 ndio maana unaona mimi ni hater wa WCB
 
Back
Top Bottom