Ukweli usemwe: Harmonize na Kajala wamefanikiwa kumdhibiti Diamond na WCB kwenye kiki

Wema sepetu mwenyewe sikuhizi hashtui kashachuja long, mond labda arudiane na hamisa
Mondi na Hamisa hawajahi kuachana ile publicity ndo wanishindwa OG Naona anapost vipicha picha vya hotel
 
Hamisa kichwa box aisee
Wanawake wengi, na hili ni tatizo la umaskini kwa nchi zetu za ki africa. Wanawake kuna mazingira wana act kama kichwa box ili wapate kitu, ila kiu harisia wanajua ukweli na wana akili sana sema ndio ivyo. Ni kama wana siasa wetu wa Tz, leo anasema hiki, siku akipewa mlo anakana yote.
 
Wanawake wa daimond wanaumizwa kihisia ila kisa umaskini na ustar inabidi tu wawe wapole ingekuwa marekani au ulaya huu ujinga hauvumiliki
 
Level ya maisha ya ulaya na Tanzania havilingani. Na ndio maana huku imewezekana, maisha yapo chini, elimu finyu etc. Ndio maana huku kwetu kuna ukandamizaji wa kijinsia ulio wazi wazi, na hakuna shida
 
Ni shida kweli huu uzalilishaji wa wanaume wallah, ila mastar wengi shule zero, pia mitazamo ya jamii na kutokujiheshimu ina promote Tabia chafu za kina diamond, imagine kipindi yule chris brown kampiga Rihanna na kumzalilisha ilimfanya apoteze Mambo mengi hadi makapuni ya biashara, ila huku wahuni na wapenda kiki kiupaumbele huyo mobeto mwenyewe tu kuuza kina Paula ingetakiwa apoteze balozi za matangazo yote ila bado tu ana dunda. In short Africa hatuna maadili na ustaarabu, huwa tunalaumu wazungu kuruhusu mashoga wakati hata huku kwetu ni wengi sana tu tunaweza kuwazidi
 
Maadili kila sehemu yameshuka na hii inatokana na mfumo wa dunia mzima, kuona kisichofaa kuwa kina faa. Ila changamoto kwa nchi za africa ni Rushwa katika sheria tulizo jiwekea, na matokeo yake haki zinashindwa kusimamiwa vile inavyo paswa, na hilo ndio linatofautisha na nchi za magharibi wanajua kusimamia kile walicho jiwekea kisawa sawa. Pia changamoto Sheria zetu nyingi wanapitisha watu wachache sana, huku wananchi wengi hawajui kinacho endelea na ndio maana tunachezea sana sheria tulizojiwekea maana hatupo serious kabisa. All ina all mtoto wa kike anaanza kujengewe misingi na baba na mama wawapo nyumbani iliyothabiti, tukikosea huko chini pia tusitegemee sheria kutulinda, sheria itakulinda ila mtu kaharibika na ndio maana kuna sarakasi nyingi sana zinaendelea.
 
Ni duniani kote yameshuka ila huku Africa tuna unaa mwingi ndo shida ilipo kuliko huko magharibi
 
Back
Top Bottom