Ukweli usemwe: Harmonize na Kajala wamefanikiwa kumdhibiti Diamond na WCB kwenye kiki

Kiki zake mwenyewe hazimlip nyimbo mpya haisogei kabisa kifupi tu watanzania tupo bzy na Maisha magum
 
Sijasoma thread nzima kwa sababu flaniflani. Naomba overall summary?
 
Wewe jamaa siku hizi umekuwa matured Naona unaongea umeamua kuwa una simamia ktk ukweli tofauti na ilivyokuwa zamani

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nimecheka hapo eti Wana mtafutia mtoto mdogo amuoe. Ili waendelee kutrend kweli hao jamaa wamevurugwa
 
Masikini yaani mtoa mada huyu ni shabiki wa WCB kindaki ndaki yaani humuambii kitu kwa diamond Leo hi kwakuwa amesema ukweli ndio mnadiriki kumuita hater [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani laiti Kama ungemjua mtoa mada jinsi anavyompenda diamond hata usingesema hivyo ... Tatizo nikwamba nyie mmeamua kufumba fikira zenu na kupinga hata Yale ambayo yana fact Ili mradi tu mzishibishe hisia zenu
 
Diamond is genious kwenye kutengeneza kiki anajua nn afanye nn asifanye kwa wakati gani na yeye mwenyewe anakwambia ndio kiki yenyewe hapo alipo kuna kiki anandaa na hiyo itamfunika hata konde na takataka zake zote...ila kiukweli konde kwa kajala kiki imekubali hata simba mwenyewe itakuwa kakubali...
 
Kwa hiyo ile ya Rayvany ilikuwa na ugenious ndani yake? labda mimi sielewi maana ya Ugenious..... Diamond kakosa kiki kwa sasa awezi akawa na kiki akaitunza hana kifua hicho
 
ukweli na usemwe
 
Huyo ni wajuzi ndio maana hajui anacho kiongea
 
Hvi harmonize unamtenganisha vip na WCB.....!!! Zao la WCB pure kabisa , na bado ili apate Kiki anawategemea Sana WCB, hata hvyo wamepatana hyo Kiki inaisha this week Kajala arudi Gym Na Paula arud Kwa Vannboy mtu mbaya[emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilitaka nishangae usiwepo hapa. Lol
 
Kumbe hili tumeliona wengi.
 
Chatu waliye mfuga wao wenyewe leo anawasumbua, patamu hapo. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiki zake mwenyewe hazimlip nyimbo mpya haisogei kabisa kifupi tu watanzania tupo bzy na Maisha magum
Juzi kapiga hela ndefu CRDB anachokosea Mond kudate wanawake wa nje ya nchi...kwa mara ya kwanza naona Mond kimemkuta โ€œkupatwa kwa juaโ€mtu mmoja anayeweza kumrescue Mond ni Wema Sepenga tu kwa sasa aingizwe kwenye scene...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilitaka nishangae usiwepo hapa. Lol
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Umemuona Paula kapost anaimba wimbo wa Vanny boy ..alaf hamtaji konde boy sjui Kwa nn , anyway za chini chini Vanny boy Leo pia anakula mzigo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ