[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan wee mtu khaaaah.[emoji3][emoji3] Umemuona Paula kapost anaimba wimbo wa Vanny boy ..alaf hamtaji konde boy sjui Kwa nn , anyway za chini chini Vanny boy Leo pia anakula mzigo [emoji3][emoji3]
Wema sepetu mwenyewe sikuhizi hashtui kashachuja long, mond labda arudiane na hamisaJuzi kapiga hela ndefu CRDB anachokosea Mond kudate wanawake wa nje ya nchi...kwa mara ya kwanza naona Mond kimemkuta “kupatwa kwa jua”mtu mmoja anayeweza kumrescue Mond ni Wema Sepenga tu kwa sasa aingizwe kwenye scene...
Huenda zama zake zinaishilizia. Japo Harmonize anatumia nguvu kubwa sana kuwa juu ya diamond..Diamond Kiki zilimubeba hasa enzi za team wema, ikaja zari, hamisa, alipoanza kuzalilisha wanawake na kutumia watoto hzo Kiki zimezoeleka, na sasa Ili kiki ikubali sijui aje na jipya gani
Diamond nafikiri amemtangulia harmonize kwenye dili nyingi hata kwa mkwanja nahisi Diamond atakuwa kamzidi Harmonize. Kila mtu ana majira yake ya ku shine, huenda yakawa ya Harmonize ingawa naona kama anatumia nguvu kubwa sana, kumuweka diamond chini kitu ambacho nafikiri bado anatakiwa aongeze juhudui. Diamond mwenzake kajiwekeza huko kwenye media, kitendo cha kusikiliza wasafi tv au fm tayari ni domo huyo.Juzi kapiga hela ndefu CRDB anachokosea Mond kudate wanawake wa nje ya nchi...kwa mara ya kwanza naona Mond kimemkuta “kupatwa kwa jua”mtu mmoja anayeweza kumrescue Mond ni Wema Sepenga tu kwa sasa aingizwe kwenye scene...
Kwakweli comment nzuriNinawapenda Kajala na Harmonize, Kajala anavaa nguo zinazoendana na couple yao, si ndefu wala si fupi.
Harmonise ni kijana mwenye akili na kipaji kikubwa. Ninakushauri ujifunze Kiingereza, unapenda kukiongea lakini unavunja mpaka unatuumiza masikio. Ukijitahidi kukielewa swaga zako zitakua si za kitoto.
Pale Mimi Vannboy ndo mwanangu ,WCB sio kivile ..Ila Kwa Vanny boy mtu wangu wa nguvu sanaHayo mahaba ya dhati uliyonayo kwa wcb na vani ni mazito hayasemeki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wema sepetu mwenyewe sikuhizi hashtui kashachuja long, mond labda arudiane na hamisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolHayo mahaba ya dhati uliyonayo kwa wcb na vani ni mazito hayasemeki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond anaweza kutengeneza kiki kwa series anaweza akaanza yeye,akafuatia mama yake na anko shamte,sijui Esma mara Rommy Jones na Queen Darleen akafuatia mzee wa Dudu la Yuyu,wakaja mababy mama wake kwa kifupi anaweza kutengeneza kiki hata miaka miwili mfululizo,sababu hao watu ukiwagusa umemgusa Diamond.Kwa hiyo ile ya Rayvany ilikuwa na ugenious ndani yake? labda mimi sielewi maana ya Ugenious..... Diamond kakosa kiki kwa sasa awezi akawa na kiki akaitunza hana kifua hicho
Duh!!!Wenzake wanaoa wazee wenye akili na mchangamani wa kimataifa, wenye uwezo wa kutengeneza headline za kimataifa, wenye uwezo wa lugha mbalimbali sasa yeye anaoa lizee la kiswahili la kumfundisha majungu na fitna za kiswahili?
mimi sijawatenganisha kabisa soma vyemaHvi harmonize unamtenganisha vip na WCB.....!!! Zao la WCB pure kabisa , na bado ili apate Kiki anawategemea Sana WCB, hata hvyo wamepatana hyo Kiki inaisha this week Kajala arudi Gym Na Paula arud Kwa Vannboy mtu mbaya😀
no wonder umejiunga 2019 ndio maana unaona mimi ni hater wa WCBMtoa mada ni hater wa WCB maana kila mada inayoitoa ni kuwaponda WCB na kuwasifu watu kama kina Nandy,Haemonize na n.k.
Unajua kuna vitu vingine hata kama huna akili siku moja moja ujitahidi ubalansi shobo, hivi kwa bongo hapa unadhani kuna Wasanii wa kuwafikia kwa trend kama WCB especially Diamond.
Kwa hiyo mtoa mada acha ujinga mda mwingine hata kama ni mapenzi kwa harmo sio hivyo sasa
Hamisa yeye ni wa kufichwa ka arvChibu hajawahi kutrendi proudly na Hamisa, alikuwa akimla kwa siri tu kipindi hicho yupo na Zari.
Tunguli zimembamba?