Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

Enzi za Magu hata mi nilikuwa chawa maana kazi zake zilikuwa zinaonekana na unaweza kutetea hoja popote pale..yule hakuwahi kutetereshwa hata na mambo magumu ya wazungu..hadi kina profesa Lumumba wa Kenya alikuwa chawa wa Magu..huyo rais Uhuru Kenyata mwenyewe alikuwa chawa wa Magu ndio maana siku ya mazishi alimsihi samia asitoke kwenye njia aliyotengeneza Magu.

Kuna mbunge mmoja wa chadema alisema hata wao wakikaa wenyewe wanasema ee huyu jamaa ni jembe kweli. Ila wakija hadharani wana act kumpinga.
 
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.

Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".

Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.

Lawama zote kwa bwana yule.
Magufuli hakustahili kuwa raisi wa hii nchi, kosa Hilo lisijirudie
 
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.

Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".

Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.

Lawama zote kwa bwana yule.
Hapana! UCHAWA nchi hii uliasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mara hii mmesahau zile habari za ZIDUMU fikra sahihi za Mwenyekiti wa Chama? Mmesahau ni juzi juzi tu tulikuwa tunaimba MTUKUFU RAIS ALI HASSAN MWINYI ingawa Mzee Ruksa hakupenda kusifiwa. Kwa Mkapa ndo UCHAWA uliondoka kwa sababu yule alikuwa mzee wa CCM. KIla kitu utasikia mafanikio ya Serikali ya CCM. Sasa kwa huyu mama na Mtangulizi wake hata Serikali ya Chama chao hakipewi sifa tena kama kwamba Samia ndo nafanya kwa hela zake binafsi kumbe kodi za wananchi.

Hii nchi tuna safari ndefu sana kuondoa adui ujinga na umaskini.
 
Musiba nae alikuwa mradi ? Au hujui maana ya mradi wewe? Speaker wa bunge nae alikuwa mradi? Yule mbunge aliyesema aongezewe muda nae alikuwa mradi? Hujui maana ya mradi kenge maji wewe?
Kama miradi ndiyo ilikuwa chawa wake kwann? Alimfukuza kazi CAG? Kwann alivibinya vyombo vya habari?
Acha unafiki wako

Nenda kawashe umeme wa bwawa sasa mbwa wewe
 
Hapana! UCHAWA nchi hii uliasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mara hii mmesahau zile habari za ZIDUMU fikra sahihi za Mwenyekiti wa Chama? Mmesahau ni juzi juzi tu tulikuwa tunaimba MTUKUFU RAIS ALI HASSAN MWINYI ingawa Mzee Ruksa hakupenda kusifiwa. Kwa Mkapa ndo UCHAWA uliondoka kwa sababu yule alikuwa mzee wa CCM. KIla kitu utasikia mafanikio ya Serikali ya CCM. Sasa kwa huyu mama na Mtangulizi wake hata Serikali ya Chama chao hakipewi sifa tena kama kwamba Samia ndo nafanya kwa hela zake binafsi kumbe kodi za wananchi.

Hii nchi tuna safari ndefu sana kuondoa adui ujinga na umaskini.
Na jamii ya wakati huo haikuona shida kumuita Rais mtukufu. Pengine ni hulka yetu, hadi tukaruhusu ikawa lugha rasmi. Pengine mpaka leo tungekuwa tunawaita watukufu asingetokea mtukuzwa aliyeukataa utukufu. Labda uchawa tofauti yake na mtukufu no dhamira. Kwenye uchawa kuna personal interest ya kuonekana Ili ufanikiwe binafsi. Utukuzaji haukua hivi, labda kama ulianza hivi halafu kama jamii tuka evolve wote kutafuta survival. Kwa bahati mbaya inaonekana mwenye nguvu ya kuondoa haya mambo ni mlengwa pekee. Asiposema basi labda wote tuta succumb kwenye uchawa over time.
 
Kwa upande wako, mtu mwenye akili yuko vipi labda???
Mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kuleta maendeleo kwa nchi ukianzia na maendeleo yake binafsi. Pia asiwe mtu ambaye anaweza kuzivua akili zake na kuamua kuwa chawa
 
Sasa ukimlaumu mpiganaji Magufuli itakusaidia nini?,tuangalie tunatatua vipi mambo yaliyopo kwa wakat husika,achana na mfu
Hili tatizo halituhusu wananchi. Ni tatizo la uongozi wa CCM na makada wake. Anayeweza kulimaliza ni mtu mmoja PEKEE: Mwenyekiti wa CCM - AKITAKA.

Mleta mada katuonyesha chimbuko la tatizo. Kazi nzuri kabisa. Wale wasiokumbuka waliyopitia wamelaaniwa kuyaishi tena - George Santayana.
 
Hakika Magufuli anaishi wakati amekwisha kufa. Kikwete amekwisha kufa, ingawa bado anaishi. Nyuzi za JPM ni kila siku. JPM ndiye raisi bora kabisa kutokea Tanzania.
Katu hawezi kuwa Bora kama Nyerere mpigania uhuru na mjenga amani Tanzania.Hawezi kumfikia Rais bora wa Awamu zote Ndugu Benjamin William Mkapa ambaye aliifanya Tanzania itambulike duniani na majirani zetu kama vile Kenya,Uganda,Zambia na Malawi walinywea kipindi hiki.
 
[emoji23] [emoji23] Magufuli alikubutua akiwa hai na sasa anakubutua akiwa mfu!

Tabu ile ile.. Yani mmeshindwa kumove on kabisa
Pole mkuu, naona kwa sasa unapata tabu sana maana mama hajakupa uchawa na Jiwe ndiyo hivyo tena. Nakushauri nenda ukawe chawa wa Bashite,maana bila uchawa hutoboi
 
Hakika Magufuli anaishi wakati amekwisha kufa. Kikwete amekwisha kufa, ingawa bado anaishi. Nyuzi za JPM ni kila siku. JPM ndiye raisi bora kabisa kutokea Tanzania.
Hivi habari mbaya na habari nzuri zipi hupewa kipaumbele?Jiwe atasemwa milele na milele yote ili mtu kama yeye asijetokea tena. Asiposemwa tunaweza kujikuta tumerudia kosa tena. Vizazi na vizazi lazima vijue kuwa tuliwahi kuwa na Rais wa aina ile
 
Ukweli ndiyo huo.
 
Mnaomusema vibaya, ni wachache sana, mkiongozwa na changudoa, wenu Mange na, mnaotumia mitandao ya jamii. Na ambao mlikuwa na ma tatizo ya vyeti fake. Lakin wengi huko mitaani wanamlilia kama, walivyojitokeza, kumlilia.
 
Back
Top Bottom