sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Enzi za Magu hata mi nilikuwa chawa maana kazi zake zilikuwa zinaonekana na unaweza kutetea hoja popote pale..yule hakuwahi kutetereshwa hata na mambo magumu ya wazungu..hadi kina profesa Lumumba wa Kenya alikuwa chawa wa Magu..huyo rais Uhuru Kenyata mwenyewe alikuwa chawa wa Magu ndio maana siku ya mazishi alimsihi samia asitoke kwenye njia aliyotengeneza Magu.
Kuna mbunge mmoja wa chadema alisema hata wao wakikaa wenyewe wanasema ee huyu jamaa ni jembe kweli. Ila wakija hadharani wana act kumpinga.
Kuna mbunge mmoja wa chadema alisema hata wao wakikaa wenyewe wanasema ee huyu jamaa ni jembe kweli. Ila wakija hadharani wana act kumpinga.