Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Wanabadilisha wasivyotaka. Wanavyotaka hawabadilishi. Tena wanaviongezea kasi!Mbona vitu vingi Tu vya JPM vimebadilishwa kwahiyo uchawa umeshindikina
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Hata baada ya Nyerere walitupilia mbali Azimio la Arusha na maadili ya viongozi. Lakini wakakumbatia mfumo wa chama kimoja, chama dola na imperial presidency - nafasi wanayoiongezea mabavu kila kukicha.
Uwepo wa machawa ni matokeo tu (consequences) ya huo mfumo wa imperial presidency. Anayeshangaa huyo atakuwa mvivu wa kufikiri.