Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

Mbona vitu vingi Tu vya JPM vimebadilishwa kwahiyo uchawa umeshindikina

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Wanabadilisha wasivyotaka. Wanavyotaka hawabadilishi. Tena wanaviongezea kasi!

Hata baada ya Nyerere walitupilia mbali Azimio la Arusha na maadili ya viongozi. Lakini wakakumbatia mfumo wa chama kimoja, chama dola na imperial presidency - nafasi wanayoiongezea mabavu kila kukicha.

Uwepo wa machawa ni matokeo tu (consequences) ya huo mfumo wa imperial presidency. Anayeshangaa huyo atakuwa mvivu wa kufikiri.
 
Enzi za Magu hata mi nilikuwa chawa maana kazi zake zilikuwa zinaonekana na unaweza kutetea hoja popote pale..yule hakuwahi kutetereshwa hata na mambo magumu ya wazungu..hadi kina profesa Lumumba wa Kenya alikuwa chawa wa Magu..huyo rais Uhuru Kenyata mwenyewe alikuwa chawa wa Magu ndio maana siku ya mazishi alimsihi samia asitoke kwenye njia aliyotengeneza Magu.

Kuna mbunge mmoja wa chadema alisema hata wao wakikaa wenyewe wanasema ee huyu jamaa ni jembe kweli. Ila wakija hadharani wana act kumpinga.
Huna haja ya kujisema ili hali kila mmoja anajua kazi yako ya Uchawa,sema naona kama Mama kakuweka pembeni kimtindo. Ila husika
Mnaomusema vibaya, ni wachache sana, mkiongozwa na changudoa, wenu Mange na, mnaotumia mitandao ya jamii. Na ambao mlikuwa na ma tatizo ya vyeti fake. Lakin wengi huko mitaani wanamlilia kama, walivyojitokeza, kumlilia.
Kwani hujui kuwa wajinga ni wengi kuliko watu wanaojielewa? Wingi wa wajinga ndiyo ulikuwa mtaji wake. Ndiyo maana hakuna mtu anayejielewa aliwahi kumkubali Jiwe ukiachana na machawa wake
 
Ukweli ndiyo huo.
,,,,,,,
Huna haja ya kujisema ili hali kila mmoja anajua kazi yako ya Uchawa,sema naona kama Mama kakuweka pembeni kimtindo. Ila husika

Kwani hujui kuwa wajinga ni wengi kuliko watu wanaojielewa? Wingi wa wajinga ndiyo ulikuwa mtaji wake. Ndiyo maana hakuna mtu anayejielewa aliwahi kumkubali Jiwe ukiachana na machawa wake
Tatizo la wabongo wengi mnapenda kulazimisha watu wawasikilize umbumbu wenu. Wote mna akili za kipumbavu na kijinga kama changudoa wenu Mange na Kigogo. Yaan mmpo frustrated .
 
Halafu issues kama hizo huwa Sina mpango nazo toka, muda mrefu na, Sina hata, wazo. Nipo busy na pesa kijana. Issues za kufokewa niiliziacha siku nyingi. Na mm nilikuwa napiga, interview sio huo ujinga wa memo. Nipo vizur kichwani.
 
,,,,,,,

Tatizo la wabongo wengi mnapenda kulazimisha watu wawasikilize umbumbu wenu. Wote mna akili za kipumbavu na kijinga kama changudoa wenu Mange na Kigogo. Yaan mmpo frustrated .
Sasa Mange na huyo Kigogo wamefikaje hapa? Pole mkuu acha makasiriko utaishi vizuri
 
Mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kuleta maendeleo kwa nchi ukianzia na maendeleo yake binafsi. Pia asiwe mtu ambaye anaweza kuzivua akili zake na kuamua kuwa chawa
Umewahi kuangalia serious interview za MWIJAKU???? ukamsikiliza kwa umakini hoja anavyozijenga????
 
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.

Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".

Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.

Lawama zote kwa bwana yule.
Kweli lakini
 
Hili tatizo halituhusu wananchi. Ni tatizo la uongozi wa CCM na makada wake. Anayeweza kulimaliza ni mtu mmoja PEKEE: Mwenyekiti wa CCM - AKITAKA.

Mleta mada katuonyesha chimbuko la tatizo. Kazi nzuri kabisa. Wale wasiokumbuka waliyopitia wamelaaniwa kuyaishi tena - George Santayana.
Unadhani ukitumia nukuu ndio nini?,hao ni watu walikuwa na mawazo kama yako,mageuzi yatakuja wananchi wakitaka si mkiti wa ccm
 
Uchawa haujaletwa na yeyote bali ni tabia ya mtu mweusi kwa sababu ni mjinga,mnafiki, mvivu na hajiamini.Hata enzi za utumwa kulikuwa na machawa weusi.
 
Unadhani ukitumia nukuu ndio nini?,hao ni watu walikuwa na mawazo kama yako,mageuzi yatakuja wananchi wakitaka si mkiti wa ccm
Completely off point. Aya yangu ya kwanza inasimama kama ilivyo na ya pili inaiimarisha. Kama hujui nafasi ya nukuu zenye msingi wa kimantiki duniani sio tatizo langu.

Aidha, hakuna mwenye akili asiyejua kuwa hapa Tanzania mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye sauti juu ya wananchi na si kinyume chake. Anachotaka ndio kinakuwa; asichotaka hakiwi.
 
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.

Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".

Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.

Lawama zote kwa bwana yule.
sahihi kabisa, hayo mambo hayakuwepo kwani viongozi wanatimiza wajibu wao
 
Back
Top Bottom