Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

Kwani Daktari wake anasemaje?kwahyo ukiumwa sana ukapona hutakiwi kurudi tena kwenye mihangaiko yako?
 
Hawa hawa ndio walimponza mzee Yusuph akajidai na kulia kabisa weee ila alipoanza kushindia vitumbua kama dozi kutwa mara tatu mpaka akikohoa mzee Yusuph alikua anakohoa vitumbua akaona cha kufia na njaa nini
Hahaha Aseee nimecheka sana
Gily Gru siku na ww ukishika mill 300 ndo siku utakayo staafu na kupata ukimwi hapo hapo 🤣🤣
 
Hahaha Extrovert ukishika hela na wewe utakuwa na huu ufala!?
 
sasa akipumzika kufanya vyote hivyo, atapata wapi mkate wake wa kila siku?
Kwani ni lazima afanye hivyo vyote ndio aupate mkate?
Muandishi aliposema aachane na shughuli za mikiki mikiki hukumuelewa?
 
Professor J, a.k.a nigger J, the heavy weight MC, mwanalizombe, J wa mitulinga na mengine mengi mengi kaimba nyimbo nyingi sana maarufu.

Miongoni mwa nyimbo alizoimba ni pamoja na;

Zari la mentali
Bongo Dar es Salaam
Chemsha bongo na nyinginezo
Prof Jay ni overrated tu ila ni wa kawaida though ni rapper mzuri. Level yake hiyo watu kama wakina Nikki mbishi na Fid Q walipita kitambo tu.
 
Utamtunzia mke na watoto ?
Watu hawajui kuwa ule ugonjwa ulikomba kila senti aliyokuwanayo mpaka akaanza kutembeza bakuli! Yaani!! Wee acha tuu! Alikuwa anatia huruma! Sasa baada ya kurudi na kusimama kwa miguu yake lazima apambane! Ata kama atapata maswaibu ili mradi anatafuta hela kihalali haina shida! "Be rich or die trying" by 50cent! Ana mke na watoto na yeye music na siasa ndo vilimpa jina ni lazima arudi katika asili yake broh!
 
Prof Jay ni overrated tu ila ni wa kawaida though ni rapper mzuri. Level yake hiyo watu kama wakina Nikki mbishi na Fid Q walipita kitambo tu.
Ni mtazamo wako Big
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…