Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mtu anatafuta hela za uzeeni wewe unasema aachane nazo? Utampa pesa wewe ?View attachment 3158050
Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.
Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda.
Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani kwa muda mrefu mpaka kuchungulia kaburi, nilitegemea angetulia na apate shughuli za kumuingizia kipato zisizohitaji mikiki mikiki. Wazo lake la Foundation lilikuwa bora kabisa.
Soma Pia: Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025
Nasikitika kumuona kwenye majukwaa ya muziki akifanya performance na pia kwenye majukwaa ya siasa akifanya mikutano.
Kwa yoyote anayemshauri au kumuunga mkono kurudi kwenye hizi shughuli basi hana nia njema na hampendi anataka kumtumia.
Prof pumzika tunaona unavyo struggle kuwasiliana na watu na kujichanganya bado haupo sawa.
Tunaokupenda tunaomba upumzike. Mungu amekutoa kwenye hali ambayo kuendelea kuishi ni kama muujiza. Pesa zipo huwezi kuwa nazo vile vile kila siku kubali ndio maisha na upumzike.
Natoa ushauri huu kwa kuwa nakukubali.
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono..View attachment 3158050

NdiyoHivo eeh
Saiz madogo ndo wameshika game, prof atupishe kidogo..!
Mkuu ze langueje iz languejing babeki😀😀He dont other life, rather than this. Even me i cannot sit down ,leaking wound and missing the opportunity no never
Gentlemen seems like u what my charmsMkuu ze langueje iz languejing babeki😀😀
Kama unamweka nafasi ya pili kwenye orodha ya MC's wako bora basi haumpendi.View attachment 3158050
Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.
Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda.
Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani kwa muda mrefu mpaka kuchungulia kaburi, nilitegemea angetulia na apate shughuli za kumuingizia kipato zisizohitaji mikiki mikiki. Wazo lake la Foundation lilikuwa bora kabisa.
Soma Pia: Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025
Nasikitika kumuona kwenye majukwaa ya muziki akifanya performance na pia kwenye majukwaa ya siasa akifanya mikutano.
Kwa yoyote anayemshauri au kumuunga mkono kurudi kwenye hizi shughuli basi hana nia njema na hampendi anataka kumtumia.
Prof pumzika tunaona unavyo struggle kuwasiliana na watu na kujichanganya bado haupo sawa.
Tunaokupenda tunaomba upumzike. Mungu amekutoa kwenye hali ambayo kuendelea kuishi ni kama muujiza. Pesa zipo huwezi kuwa nazo vile vile kila siku kubali ndio maisha na upumzike.
Natoa ushauri huu kwa kuwa nakukubali.
Unaposema alipokuwa kitadani ni nani alitunza familia yake, wewe unajua ilitunzwa vipi? Unajua family status yake ya sasa?Alipokuwa kitandani nani alitunza.nadhani jamaa ana point.Prof.angejitizamia afya yake kwanza.Ikiwa hukumuona akiwa anaumwa huwezi elewa alipopitia.Atafute kitu kingine chepesi cha kufanya ila siyo heka heka za majikwani.
Hawa hawa ndio walimponza mzee Yusuph akajidai na kulia kabisa weee ila alipoanza kushindia vitumbua kama dozi kutwa mara tatu mpaka akikohoa mzee Yusuph alikua anakohoa vitumbua akaona cha kufia na njaa niniUmeamua kuropoka, ikiambiwa umtumie hata elfu tano utatuma? Acha apambanie familia yake
Alipojitangaza kuacha ya dunia wakamsifu sana. Zikasomwa dua, wakawa wanashinda kibarazani kwake, kila mara wanapita kumsaidia kuiimarisha imani asije ibilisi akamrudia, kabla ya chai wameshifika kwake, na wao wapo kwenye ratiba ya chai, wanaendelea kugalagala kibarazani wakisimuliaana khadithi za zama hizo, mchana wapo kwenye ratiba ya chakula cha mchana kama kawaida.Hawa hawa ndio walimponza mzee Yusuph akajidai na kulia kabisa weee ila alipoanza kushindia vitumbua kama dozi kutwa mara tatu mpaka akikohoa mzee Yusuph alikua anakohoa vitumbua akaona cha kufia na njaa nini
Habar za Saizi?Unaposema alipokuwa kitadani ni nani alitunza familia yake, wewe unajua ilitunzwa vipi? Unajua family status yake ya sasa?
Unaposema atafute kitu chepesi cha kufanya, kwako wewe kitu chepesi ni kipi? Hujui kigumu kwako ndiyo chepesi kwa mwingine na kinyume chake?
Mnapomuona akifanya hayo mnadhani anakurupuka? Kila mnachomuona anakifanya ni baada ya kushauriwa na Madaktari, halafu ninyi wajuvi mnakuja kupinga bila kuhoji.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Ila life cycle ya mzee Yusuf inachekesha sana! Yani alipopata 200M akaona na astaafu mziki kabisa kwamba zingemtosha kuendesha maisha yake hadi afe. Too bad alipokea ushauri wa kipumbavu, if he could still hustle angekuwa mara 2 ya pale alipokuwa but he quit and lost the grip.Alipojitangaza kuacha ya dunia wakamsifu sana. Zikasomwa dua, wakawa wanashinda kibarazani kwake, kila mara wanapita kumsaidia kuiimarisha imani asije ibilisi akamrudia, kabla ya chai wameshifika kwake, na wao wapo kwenye ratiba ya chai, wanaendelea kugalagala kibarazani wakisimuliaana khadithi za zama hizo, mchana wapo kwenye ratiba ya chakula cha mchana kama kawaida.
Jamaa akastuka bajeti imemuelemea, maana kwake paligeuzwa kama mgahawa, akanadilisha, wakawa wakija anawalisha kashata za machicha ya nazi, wakaanza kupungua huku wanamlalamikia kuwa ana choyo, haitakiwi mtu aliyeshika dini kuwa na choyo.
Alipoanza kukamatiwa mali zake ili alipe madeni ndiyo wakamkimbia mazima wakidai hayo ndiyo malipo yake kwa kuwalisha Kashata watu wanaoshinda naye kwakekumsaidia kuilinda imani.
Jamaa akauona huuu mbona ni umaandazi sasa, akatafuta mike, gitaa, vinanda akarudi mjini.
Sasa utatulia na huna chochote? Ni balaa yani 😂 inabidi ku hustle kiutu uzima. Sema support ya wana kama kina AY na FA itamsaidia kurudi mjengoni.Kuna mahala nimeona anasema, familia yake imeuza mali zake zote, hivyo anaanza upya
Hajapona ila ana ahueni. He is a family man he has to provide na the easy way out ni kupitia Ubunge. He has to pave his way to the parliament na hio ni kama last card.Wanaokupinga wana upeo mdogo,Jay hajapona bado anahitaji kupumzika,