Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

Kiuhalisia hizi pilika pilika za maisha ni moja ya sababu zilizomletea changamoto ya kuumwa ikiwemo masttress ya Siasa, uchovu wa tour na studio, kiuhalisia hata wazee wetu wengi wakishapataga changamoto Huwa wanatulia ndani hapo Huwa wanaishi muda mrefu ila ukijichanganya kitaa Kwa Hali yake c nzuri
 
View attachment 3158050

Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.

Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda.

Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani kwa muda mrefu mpaka kuchungulia kaburi, nilitegemea angetulia na apate shughuli za kumuingizia kipato zisizohitaji mikiki mikiki. Wazo lake la Foundation lilikuwa bora kabisa.

Soma Pia: Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

Nasikitika kumuona kwenye majukwaa ya muziki akifanya performance na pia kwenye majukwaa ya siasa akifanya mikutano.

Kwa yoyote anayemshauri au kumuunga mkono kurudi kwenye hizi shughuli basi hana nia njema na hampendi anataka kumtumia.

Prof pumzika tunaona unavyo struggle kuwasiliana na watu na kujichanganya bado haupo sawa.

Tunaokupenda tunaomba upumzike. Mungu amekutoa kwenye hali ambayo kuendelea kuishi ni kama muujiza. Pesa zipo huwezi kuwa nazo vile vile kila siku kubali ndio maisha na upumzike.

Natoa ushauri huu kwa kuwa nakukubali.
Yaani mtu anatafuta hela za uzeeni wewe unasema aachane nazo? Utampa pesa wewe ?
 
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono..
Kiukweli anahitaji tena muda wa kupumzika aisee..
Amerecover,ila purukushani hizi angetulia kwanza.
 
View attachment 3158050

Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.

Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda.

Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani kwa muda mrefu mpaka kuchungulia kaburi, nilitegemea angetulia na apate shughuli za kumuingizia kipato zisizohitaji mikiki mikiki. Wazo lake la Foundation lilikuwa bora kabisa.

Soma Pia: Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

Nasikitika kumuona kwenye majukwaa ya muziki akifanya performance na pia kwenye majukwaa ya siasa akifanya mikutano.

Kwa yoyote anayemshauri au kumuunga mkono kurudi kwenye hizi shughuli basi hana nia njema na hampendi anataka kumtumia.

Prof pumzika tunaona unavyo struggle kuwasiliana na watu na kujichanganya bado haupo sawa.

Tunaokupenda tunaomba upumzike. Mungu amekutoa kwenye hali ambayo kuendelea kuishi ni kama muujiza. Pesa zipo huwezi kuwa nazo vile vile kila siku kubali ndio maisha na upumzike.

Natoa ushauri huu kwa kuwa nakukubali.
Kama unamweka nafasi ya pili kwenye orodha ya MC's wako bora basi haumpendi.
 
Alipokuwa kitandani nani alitunza.nadhani jamaa ana point.Prof.angejitizamia afya yake kwanza.Ikiwa hukumuona akiwa anaumwa huwezi elewa alipopitia.Atafute kitu kingine chepesi cha kufanya ila siyo heka heka za majikwani.
Unaposema alipokuwa kitadani ni nani alitunza familia yake, wewe unajua ilitunzwa vipi? Unajua family status yake ya sasa?
Unaposema atafute kitu chepesi cha kufanya, kwako wewe kitu chepesi ni kipi? Hujui kigumu kwako ndiyo chepesi kwa mwingine na kinyume chake?
Mnapomuona akifanya hayo mnadhani anakurupuka? Kila mnachomuona anakifanya ni baada ya kushauriwa na Madaktari, halafu ninyi wajuvi mnakuja kupinga bila kuhoji.
 
Umeamua kuropoka, ikiambiwa umtumie hata elfu tano utatuma? Acha apambanie familia yake
Hawa hawa ndio walimponza mzee Yusuph akajidai na kulia kabisa weee ila alipoanza kushindia vitumbua kama dozi kutwa mara tatu mpaka akikohoa mzee Yusuph alikua anakohoa vitumbua akaona cha kufia na njaa nini
 
Alipojitangaza kuacha ya dunia wakamsifu sana. Zikasomwa dua, wakawa wanashinda kibarazani kwake, kila mara wanapita kumsaidia kuiimarisha imani asije ibilisi akamrudia, kabla ya chai wameshifika kwake, na wao wapo kwenye ratiba ya chai, wanaendelea kugalagala kibarazani wakisimuliaana khadithi za zama hizo, mchana wapo kwenye ratiba ya chakula cha mchana kama kawaida.

Jamaa akastuka bajeti imemuelemea, maana kwake paligeuzwa kama mgahawa, akanadilisha, wakawa wakija anawalisha kashata za machicha ya nazi, wakaanza kupungua huku wanamlalamikia kuwa ana choyo, haitakiwi mtu aliyeshika dini kuwa na choyo.
Alipoanza kukamatiwa mali zake ili alipe madeni ndiyo wakamkimbia mazima wakidai hayo ndiyo malipo yake kwa kuwalisha Kashata watu wanaoshinda naye kwakekumsaidia kuilinda imani.
Jamaa akauona huuu mbona ni umaandazi sasa, akatafuta mike, gitaa, vinanda akarudi mjini.
 
Unaposema alipokuwa kitadani ni nani alitunza familia yake, wewe unajua ilitunzwa vipi? Unajua family status yake ya sasa?
Unaposema atafute kitu chepesi cha kufanya, kwako wewe kitu chepesi ni kipi? Hujui kigumu kwako ndiyo chepesi kwa mwingine na kinyume chake?
Mnapomuona akifanya hayo mnadhani anakurupuka? Kila mnachomuona anakifanya ni baada ya kushauriwa na Madaktari, halafu ninyi wajuvi mnakuja kupinga bila kuhoji.
Habar za Saizi?
 
Kama dokta wake amempa go ahead mwache apige kazi. Siasa na mziki ndizo field alizotengeneza jina lake
 
Alipojitangaza kuacha ya dunia wakamsifu sana. Zikasomwa dua, wakawa wanashinda kibarazani kwake, kila mara wanapita kumsaidia kuiimarisha imani asije ibilisi akamrudia, kabla ya chai wameshifika kwake, na wao wapo kwenye ratiba ya chai, wanaendelea kugalagala kibarazani wakisimuliaana khadithi za zama hizo, mchana wapo kwenye ratiba ya chakula cha mchana kama kawaida.

Jamaa akastuka bajeti imemuelemea, maana kwake paligeuzwa kama mgahawa, akanadilisha, wakawa wakija anawalisha kashata za machicha ya nazi, wakaanza kupungua huku wanamlalamikia kuwa ana choyo, haitakiwi mtu aliyeshika dini kuwa na choyo.
Alipoanza kukamatiwa mali zake ili alipe madeni ndiyo wakamkimbia mazima wakidai hayo ndiyo malipo yake kwa kuwalisha Kashata watu wanaoshinda naye kwakekumsaidia kuilinda imani.
Jamaa akauona huuu mbona ni umaandazi sasa, akatafuta mike, gitaa, vinanda akarudi mjini.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Ila life cycle ya mzee Yusuf inachekesha sana! Yani alipopata 200M akaona na astaafu mziki kabisa kwamba zingemtosha kuendesha maisha yake hadi afe. Too bad alipokea ushauri wa kipumbavu, if he could still hustle angekuwa mara 2 ya pale alipokuwa but he quit and lost the grip.

Sahizi atakuwa anapiga show kwenye mabar ya uchochoroni tu.😁
 
Wanaokupinga wana upeo mdogo,Jay hajapona bado anahitaji kupumzika,
Hajapona ila ana ahueni. He is a family man he has to provide na the easy way out ni kupitia Ubunge. He has to pave his way to the parliament na hio ni kama last card.

Nguvu za kutumbuiza majukwaani ili kumeki na hali yake itakuwa ngumu sana. Ila kukaa bungeni kuna faida zaidi na nguvu inayohitajika ni ya kipindi kifupi tu cha kampeni.
 
Sometimes when it comes to money you have to risk your life,ni juzi tu hapa umeona Mike Tyson amepigana na kijana mdogo wa miaka 27,kwa umri wake wa miaka 58 alikuwa anacheza na uhai wake,pamoja na mkewe kumuonya asipigane aliziba masikio,leo hii acc.yake inasoma Tshs Bil.53.....
 
Back
Top Bottom