Ukisha kuwa na rejea ya mtu kama huyo hapo mwisho, wewe tayari ndiye "kirusi" mwenyewe!cc @Retired ,@Nguruvi3 au Lissu ndiyo kirusi alichokisema @paschal Mayala ?
Hivi nikuulize mkuu 'Al Watan'; ile taarifa ya tathmini ya uchafuzi iliyo wasilishwa na Mwenyekiti kwenye ile' press'; wewe uliona ilibeba jambo gani muhimu sana ambalo limedumu katika fikra za walio sikiliza aliyo wasilisha Mwenyekiti Mbowe pale?
Kuna jambo ambalo wewe binafsi lilichukua fikra zako na kuliwaza kwa kina kiasi kwamba usinge penda livurugwe na mawazo mengine ndani ya masaa 48?
Kuna baadhi ya maoni uliyo andika hapo juu kumhusu Lissu, ambayo nami ningependa ayatilie maanani; lakini kwa ujumla wake, CHADEMA haihitaji aina ya uongozi ulio poa kama anao uonyesha Mbowe sasa hivi. Hiyo CHADEMA anayo iongoza sasa hivi Mbowe, inasubiri tu muda ufike iungane na CCM ya Samia. Mark my words.