Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Na bado nina amini hivyo.Mkuu kuwa na subira kuanzia saa 5 utapata uthibitisho kama data ni za kweli au uongo. Si mlisema tunazusha chadema kupo shwari?
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado nina amini hivyo.Mkuu kuwa na subira kuanzia saa 5 utapata uthibitisho kama data ni za kweli au uongo. Si mlisema tunazusha chadema kupo shwari?
Mbona anajulikana kitambo?muda ukifika utathibitisha nani anaenda kuwa mwenyekiti mpya wa Chadema.
Baada ya 2 hrs siasa za Chadema zitazaliwa upya.Na bado nina amini hivyo.
Amandla...
Ni yeye Lisu💪
Badala ya kupigana chama kiwe cha kitaifa bado mnaendekeza regionalism ,badilikeni aisee eti mwamba wa kaskazini?😭😭😭Actually,
mwamba wa kaskazini ameshanotice hilo gentleman,
Na hili liko wazi kwamba,
hawezi kufaulu kua makamu mwenyekiti wa chadema Taifa tena, lakini pia hawezi kua mgombea urasi kupitia chadema kama anavyotatajia..
hiyo ni miongoni mwa mipango mikakati ya kistaarabu ya mwamba wa kaskazini kumdhoofisha na kumshinikiza huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kujibandua mwenyewe ndani ya chadema..
Hata hivyo,
kwa jinsi anavyojitanabaisha kwa kiburi na kuchochea migawanyiko, ni wazi anapewa backup na mabwenyenye ya magharibi, kitu ambacho chadema chini ya mwamba wa kaskazini, haitakubali kwamba kua painted as platform ya neo colonialism, through huyo kion muungwana 🐒
Ngoja tumsubirie Leo ataongea niniTundu Lissu ameamua kuia CHADEMA kwa mikono yake mwenyewe.
Anapita kila kona kukishambulia chama chake hadharani. Ameunda mtandao kukishambulia chama chake.
Anasema chama chake kinanuka rushwa. Anasema chama chake hakina mipango ya kueleweka ili kuiondoa CCM madarakani.
Anasema chama chake kimekosa kiongozi mwenye quality ya kuongoza mapambano na CCM.
Anakosoa process ya maridhiano ambayo alishiriki kuiratibu.
Na mengine mengi. Anasema haya hadharani wakati anajua fika yeye ni makamu mwenyekiti anaeweza kutumia mifumo ya chama kufikisha malalamiko yake.
Lissu anaisaliti CHADEMA either unaamini au auamini Lissu ni mwanasiasa anajua anachokifanya. Lissu ni kirusi yupo kazini.
Alisema alifatwa na Abdul waonane na alipelekewa pesa akazikataa . Je hizo pesa kazi yake ilikuwa nini? Tutajuaje kama Abdul hakurudi na dau zito zaidi ambalo ndio linamsukuma kukishambulia chama chake hadharani? Lissu yupo kazini.
Nashauri kabla hajaleta madhara zaidi chama chake kimchukulie hatua za kinidhamu, hii anayoifanya sio demokrasia ni fujo.
Heshimu kiongozi wako mfichie msitili madhaifu yake kama anavyostri ya kwako. Nani asiyejua wewe ni mwezi mchanga?
CHADEMA hata kama inatakiwa ifanye mabadiliko ya mwenyekiti Lissu hafai tafuteni watu wenye koromeo tafute viongozi sio wafanya vurugu.
CHADEMA ni chama kikubwa any day inaweza kuchukua nchi lakini kwa viongozi kama Lissu hata deep state haiwezi ruhusu.
Tutawasikiliza kwa makini. Hamna kitakachotushangaza.Baada ya 2 hrs siasa za Chadema zitazaliwa upya.
Kwa kuiba na mtutu wa risasiMama anaweza kupata 95%+ 2025
Haya maswala hayakutakiwa kufikia hapa yalipofikia ila yamefikia hapa yalipofikia kwa sababu, madudu ya mbowe ndani ya chama kwa vyovyote vile yamefikia hatua yakutovumilika. Mbowe alikuwa ni mtu anayethaminiwa sana na Lisu na amemsaidia sana Lisu hasa wakati amepigwa Risasi, Ila chama cha kinashindwa kwenda mbele kwa sababu ya Ajenda za siri za Mwanyekiti. Anaonekana anakijenga chama kumbe anawala kisogo wenzake. Yote kwa yote najua pamoja na Mbowe kutotaka kuachia madaraka lakini Mbowe ni mtu mwenye akili sana za kisiasa awezi akakiachia chama kipasuke kama vile Cuf.Kwa vyovyote atafanya juu chini kukinusuru chama kwa maana kukijenga chama kingine kama hiki ni kazi kubwa sana. Najua mpaka Lisu kutoka adharani nakujitoa Muhanga kuna mambo mazito sana yapo ndani ya chama ambayo ameyaona hayavumilikiTundu Lissu ameamua kuia CHADEMA kwa mikono yake mwenyewe.
Anapita kila kona kukishambulia chama chake hadharani. Ameunda mtandao kukishambulia chama chake.
Anasema chama chake kinanuka rushwa. Anasema chama chake hakina mipango ya kueleweka ili kuiondoa CCM madarakani.
Anasema chama chake kimekosa kiongozi mwenye quality ya kuongoza mapambano na CCM.
Anakosoa process ya maridhiano ambayo alishiriki kuiratibu.
Na mengine mengi. Anasema haya hadharani wakati anajua fika yeye ni makamu mwenyekiti anaeweza kutumia mifumo ya chama kufikisha malalamiko yake.
Lissu anaisaliti CHADEMA either unaamini au auamini Lissu ni mwanasiasa anajua anachokifanya. Lissu ni kirusi yupo kazini.
Alisema alifatwa na Abdul waonane na alipelekewa pesa akazikataa . Je hizo pesa kazi yake ilikuwa nini? Tutajuaje kama Abdul hakurudi na dau zito zaidi ambalo ndio linamsukuma kukishambulia chama chake hadharani? Lissu yupo kazini.
Nashauri kabla hajaleta madhara zaidi chama chake kimchukulie hatua za kinidhamu, hii anayoifanya sio demokrasia ni fujo.
Heshimu kiongozi wako mfichie msitili madhaifu yake kama anavyostri ya kwako. Nani asiyejua wewe ni mwezi mchanga?
CHADEMA hata kama inatakiwa ifanye mabadiliko ya mwenyekiti Lissu hafai tafuteni watu wenye koromeo tafute viongozi sio wafanya vurugu.
CHADEMA ni chama kikubwa any day inaweza kuchukua nchi lakini kwa viongozi kama Lissu hata deep state haiwezi ruhusu.
Maana, kujenga ni KUKOSOANA daima.Ndiyo tàtizo la viongozi wetu, ukikosoa tuu unaambiwa msaliti na unataka kuua chama, sasa mnafikiri Mbowe atakuwa mwenyekiti hadi lini?
Pale mwanaccm kindakindaki anapoipenda Chadema na kuishauri kuwa isikubali Lissu kuwa Mwenyekiti kwa ana friji bovu!Naunga mkono hoja Lissu asipewe friji lake bovu!
Hana shukrani? ulitaka amshukuru nani zaidi ya Mungu hapa duniani au akishukuru inasaidia nini taifa?Lissu hafai kuwa kiongozi wa juu.
1.Hana shukrani
Rais Samia&Mbowe wanajua hili.
2.Hana adabu
JPM aliliona hili...
3.Hawezi kudhibiti
mdomo wake.
Wana CDM mnalijua...
4.Ana kiburi&ujuaji.
Mungu amsaidie!
Dunia ipi....!? Hii Dunia inayotoa misaada ya capacity building lakini haitupi mkopo wa kujenga reli???....anayeungwa mkono duniani....
Lissu ni tapeli la kisiasa anapolalamika kuwa anataka uongozi uwe na kikomo wakati huo yeye alipokuwa chawa wa mbowe alipendekeza na kupigia kura ya kunyofoa kipengele cha ukomo kwenye katiba ili Mbowe atawale milele leo hii nae anataka kuingia kwa katiba ile ile......Nimesema Mbowe aendelee ni sababu mpaka leo Chadema ipo pale ilipo kwa hekima,busara na uvumilivu wa kamanda mbowe zaidi ya hapo ingekuwa kama Nccr tu!Pale mwanaccm kindakindaki anapoipenda Chadema na kuishauri kuwa isikubali Lissu kuwa Mwenyekiti kwa ana friji bovu!
Hakika huu ni upendo wa ajabu sana, hongera mzee Kipara kwa upendo wako!
Kwi kwi kwi!
Hivi nyie CCM mnatuona sisi ndezi sio? Juzi hapa kila siku ooh Mbowe aondoke anaua chama! Amekaa siku nyingi kama mfalme nk. Leo kila mtu huko kwenu kuanzia wajumbe wa KK hadi wafagizi Lumumba na Chamwino hawataki Lissu kwani "ana friji bovu"?
Poleni sana, naona hata kauli yenu "mitano tena" mmesha sahau kama mlivyo sahau kuwa hamna makamu mwenyekiti. Au makamu mwenyekiti ni Steve Magere aka Nyenyere!