Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

Tunahitaji mtu anayeweza kuumiza kichwa akatunga mashairi, akaweka vocal na issue ikaburst buuuuh.....,wimbo wa kivuruge Nandy alitengewa mezani akaweka vocal Tuu,..na ndo wimbo Bora Zaid alioimba Nandy ....
Huyo Zuchu anatunga yeye?
 
Nimekubaliii zuchu ni[emoji91][emoji91][emoji91]
 
It's not about vocals. Muziki ungekuwa ni vocals only Baba Levo na Davido wasingesikilizwa kabisa.

Atengeneze kitu kitakachobamba watu. Hizo vocals zinamsaidia nini kama nyimbo zake wanapenda watu wachache.

Mbona Simi Ana vocals nzuri na mostly haimbi mainstream music ila anatengeneza hits.

Ifike kipindi muache kumpamba Ruby kiuongo uongo ili muonekane mnajua mziki mzuri. Mnapoteza.
 
Naomba mnaomtaja vanessa muwe makini na mnachoandika sio wa level wa yoyote kati yao!
 
Ona huyu nae
Kasema ukweli ndiyo, vee yuko mbali sana, huyo nandy na zuchu wako hawawezi kumkuta vee hata chembe na wao wenyewe wanajua hilo.
"Vee money on the truck yeah" kwa sauti yake.
 
Kasema ukweli ndiyo, vee yuko mbali sana, huyo nandy na zuchu wako hawawezi kumkuta vee hata chembe na wao wenyewe wanajua hilo.
"Vee money on the truck yeah" kwa sauti yake.
Asa mkuu mtu mwenyewe kakimbia mziki , Kwa mdomo wake kasema mziki hauwez kakimbilia doggy style 😀😀 Acha wanamziki waimbe bhana
 
Kwa sasa Nandy yuko ktk ubora, ila hajawa hiyo level unayosemea weyee.
Ruby ni hatareeeh sana, ila sijui ana matatizo gan.
But mkaree wao Vanessa yuko on the top.
Nilikuwa natafuta wa kumtaja Vanessa, hao wengine ngono ndo inawanyanyua. Vanessa ni complete package, uimbaji, video vixen, dance, exposure, civilisation na ujinga wa kike kidogo.
 
Unaijua nyimbo ya Roma ya Kiba100?

Hakuna nyimbo ya mondi inayofikia hata asilimia 40 ya matusi ya hiyo nyimbo
 
Ntawaalika na mapunga waje kula mchele
Si wanatoa siri za nyuma ntawapa siti za mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…