Vipi kuhusu Said Commorien pia ni same case?Mikka hao hao kina Majani na wenzake walimfsnyia figisu jamaa akakosa vibali vya kazi na kuondoshwa nchini, sawa na Produsa Dunga. Yaani uwepo wao ukawa ni kama tishio kwa maprodusa wazawa, zikafanyika figisu za muziki Mikka Mwamba akaondoka kurudi kwao. Wasanii wakimtaka wamfuate huko, ila jamaa ni kama alipenda sana kuishi Tanzania. Alipokuja 2017 au 2018 kama sikosei, interview yake na Millard ayo, unaona kabisa jamaa hakupenda kuondoka. Commission zake zitakuwa zinachukuliwa na FM