mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Unyonyaji ni mbaya lakini imagine hawa wasanii wanawatoa wapi? From nothing hadi mtu anamiliki label then awe ameibiwa? Products za WCB sio tu wametolewa kimuziki lakini pia wanakuwa wahitimu wa industry ya muziki ndio maana hawayumbi. Enzi hizo Bongo Rec wakikutema unarudi zero hata namba za wadau huna! Muziki ni biashara sio msaada, ratio ya 40/60 ni very fair. Labda kama sijaelewa Khalifan alimaanisha nini.
tutawasifu kwa hilo,ila hawana haki ya kulaumu wengine kwa unyonyaji,maana nao wanajilipa juhudi walizowekeza.
WCB inafanya biashara,haitakiwi popote biashara hiyo itangazwe kama ni hisani,ili kuondoa kelele hizi.
unamchukua zuchu,unamsign pale anapata jina,unamkata 60% halafu useme"zuchu amesaidiwa sana na lebel[emoji23][emoji23]"huo ni utapeli.