Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka kachawa kanateseka sana.Kajamaa kanaamini ipo siku mond atakapa tuzo kwa huu upuuzi kanaufanya huku jf
Wewe una ushaidi kwenye kitu gani zaidi ya wivu na chuki za KiswahiliJuma lokole naona umejiwahi eti "Hii thd haihusiani na tukio lolote"
Naona chawa zimemwagwa kwenye social media kumshambulia Pfunk,unaweka lawama bila ushahidi tukuaminije?
Si Jakaya aliwanunulia vifaa clouds wakavinywa😂😂😂Mfumo wa dunia una asili ya unyonyaji.Wasanii waungane wafungue studio yao kama inawezekana
Wasafi washenzi tuSipendi sana kuingilia mada za machawa siku hizi, ila nimona wewe nikujibu.
Kiuhalisia, huyo P Funk ana afadhali kuliko hao WCB.
PF hamiliki Album za wasanii ila anamiliki BEATS. Na ndio maana hujawahi kusikia Msanii analalamika.
Na kiukweli, wasanii wa zamani walipata pesa mnoooo.
Hakuna Msanii ambaye hakupata pesa. Kuna wasanii mpaka walikuwa wanatembea na pesa kwenye but I za gari.
Tatizo kubwa ukiwa msanii WCB ujue Ni Kama unafanya kazi ambayo Ni COMMISSION BASED.
Inatakiwa ufanye kazi halafu, iqe Shows, ngoma mitandaoni au endorsement kila kinachopatikana unakatwa 60% unapewa 40% kwa mkataba wa miaka 10.
Maana yake, unafonzea kila kitu. Miaka 10 kisanii hutakuwa na jipya tena.
Na baada ya kutoka hutakuwa unamiliki nyimbo yoyote Wala digital platform zako.
Kuna vitu watu huwa wanakubali kwasababu ya shida tu.
Nafikiri waliingia mgogoro na Prof. Jay baada ya P. Funk kuchukua hela kwa kampuni ya movie iliyotumia beat ya bombo clat ambapo original ni beat ya nikusaidiaje. Profesa alilalamika kuwa hakupewa hata sentiWewe kiumbe mwenye chuki wivu na roho mbaya kwa kila binadamu aliyefanikiwa tunaongea tunayoyafaamu P Funk ana miliki rights za nyimbo za wasanii wote waliokuwa bongo records. Unaita watu machawa alafu unawashwa unajisogeza.
Mama yake Ngwea alifatilia hela za mwanae akaambiwa zipo kwa p funk akaenda kupewa kama msaada. Tena mil 1 baada ya hapo hela za marehemu anakula p funk bila hata aibu wala utu.
Hizo beats zenyewe alikuwa anatengeneza peke yake? Kinanda chenyewe hajui kupiga, anamgawia nani hela za ubunifu mbona anakula zote peke yake mnyonyaji mkubwa yule?
Isipokuwa wasanii wachache waliokuwa wanalipia kazi zao, mfano Mike Mwakatundu aka Mike T ' Mike Tee' mnyalu - huyu alilipa album zake wakati wa kurekodi - anamiliki ngoma zake yeye mwenyeweWakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga.
P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya muziki na kupokea malipo hana jingine kubwa alilolifanyia bongofleva.
Kwa wasio fahamu wasanii wote waliokuwa chini ya bongo records hawana nyimbo au album wanazomiliki vyote anamiliki P Funk.
Ngwea amekufa maskini uku muziki wake unamilikiwa na P Funk mpaka leo anakula hela ya Ngwea.
Ukiona wimbo wa Juma Nature au Feruzi kwenye YouTube, Boomplay au digital platform yoyote usidhani ukisapoti unamsaidia msanii hiyo ni pesa ya Majani. Leo hii ikitokea bahati mbaya Juma Nature hatupo nae watoto wake watarithi nothing utajiri wake wa nyimbo ni mali ya watoto wa Majani kina Paula.
Huyu P Funk aliyekuwa anawapiga ngumi na mitama watoto wa kimaskini wakienda kuomba msaada wa kurekodi nyimbo zao.
Kumbuka pale bongo records kwenye utengenezaji wa beats waliusika watu wengi zeze ilitengenezwa na bizimani ila achukui hata sh 10, beat ya mikasi alitengeneza prof ludigo ila achukui hata sh 10 kina Marlon linje walikuwa wanapiga vinanda na vyombo vingine kwenye kutengeneza instrumental za wasanii haki zao za ubunifu anachukua nani kama sio mnyonyaji p Funk?
P Funk tunamuheshimu kwa kutengeneza beats ila zaidi ya production kaufanyia nini huu muziki?
P Funk uwa wakiitwa wasanii walipwe yeye anaenda kuchukua malipo kama nani? Kina Daz Baba wamekuwa vituko mtaani hela zao kwa nini unakula wewe PFunk?
Hii thread haiusiani na tukio lolote bali ukweli usiozungumzwa
Ndio alichukua mabilioni yote mnyonyaji yuleNafikiri waliingia mgogoro na Prof. Jay baada ya P. Funk kuchukua hela kwa kampuni ya movie iliyotumia beat ya bombo clat ambapo original ni beat ya nikusaidiaje. Profesa alilalamika kuwa hakupewa hata senti
Majani anachofanya ni kama kile P Diddy amekifanya kwa wasanii wake, wanamfanya awe rich forever, ndio biashara ya muziki ipo hivyo duniani, ni ya kinyonyaji.Lakini pia Majani alitakiwa afanye kazi yote ile halafu asiwe na chochote cha kupata mbeleni? Mbona angekuwa ndiyo ananyonywa!
Kwa hiyo yeye kuwanyonya wenzie ndio sawa?Lakini pia Majani alitakiwa afanye kazi yote ile halafu asiwe na chochote cha kupata mbeleni? Mbona angekuwa ndiyo ananyonywa!
Wewe uliyekurupuka kama chafya ndio utuwekee ushahidi hapa, Juma Lokole unakwama wapi?Wewe una ushaidi kwenye kitu gani zaidi ya wivu na chuki za kiswahili
BeefWakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga.
P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya muziki na kupokea malipo hana jingine kubwa alilolifanyia bongofleva.
Kwa wasio fahamu wasanii wote waliokuwa chini ya bongo records hawana nyimbo au album wanazomiliki vyote anamiliki P Funk.
Ngwea amekufa maskini uku muziki wake unamilikiwa na P Funk mpaka leo anakula hela ya Ngwea.
Ukiona wimbo wa Juma Nature au Feruzi kwenye YouTube, Boomplay au digital platform yoyote usidhani ukisapoti unamsaidia msanii hiyo ni pesa ya Majani. Leo hii ikitokea bahati mbaya Juma Nature hatupo nae watoto wake watarithi nothing utajiri wake wa nyimbo ni mali ya watoto wa Majani kina Paula.
Huyu P Funk aliyekuwa anawapiga ngumi na mitama watoto wa kimaskini wakienda kuomba msaada wa kurekodi nyimbo zao.
Kumbuka pale bongo records kwenye utengenezaji wa beats waliusika watu wengi zeze ilitengenezwa na bizimani ila achukui hata sh 10, beat ya mikasi alitengeneza prof ludigo ila achukui hata sh 10 kina Marlon linje walikuwa wanapiga vinanda na vyombo vingine kwenye kutengeneza instrumental za wasanii haki zao za ubunifu anachukua nani kama sio mnyonyaji p Funk?
P Funk tunamuheshimu kwa kutengeneza beats ila zaidi ya production kaufanyia nini huu muziki?
P Funk uwa wakiitwa wasanii walipwe yeye anaenda kuchukua malipo kama nani? Kina Daz Baba wamekuwa vituko mtaani hela zao kwa nini unakula wewe PFunk?
Hii thread haiusiani na tukio lolote bali ukweli usiozungumzwa
Kwa hiyo yeye kuwanyonya wenzie ndio sawa?
Kazi walizofanya kina Jay Moe, Nature, Feruzi, Mangwea etc unaona ni ndogo wasipate chochote kwenye ubunifu wao. Yeye kama ni producer mzuri angekuwa anatoa album za beats peke yake aone kama kuna mtu angenunua
Music production ina mambo mengi Sana aisee. Beats siku zote ni ubunifu wa producer. Kwa hiyo hakuna tatizo akila faida ya ubunifu wake.Wewe kiumbe mwenye chuki wivu na roho mbaya kwa kila binadamu aliyefanikiwa tunaongea tunayoyafaamu P Funk ana miliki rights za nyimbo za wasanii wote waliokuwa bongo records. Unaita watu machawa alafu unawashwa unajisogeza.
Mama yake Ngwea alifatilia hela za mwanae akaambiwa zipo kwa p funk akaenda kupewa kama msaada. Tena mil 1 baada ya hapo hela za marehemu anakula p funk bila hata aibu wala utu.
Hizo beats zenyewe alikuwa anatengeneza peke yake? Kinanda chenyewe hajui kupiga, anamgawia nani hela za ubunifu mbona anakula zote peke yake mnyonyaji mkubwa yule?
Ni haki yake kabisa. Beat ni mali ya Producer. Hili suala alilifuatilia yeye mwenyewe kwa kuwa anajua haki yake.Ndio alichukua mabilioni yote mnyonyaji yule
Kwa akili hizi, Afrika bado ingekuwa inatawaliwa na wakoloni sababu ya mikataba waliongia na machifu wetu. Tumia akili wewe.Wakati hao wasanii wanasaini mkataba hawakuona vigezo na masharti?