Wengi mnaomponda Rais mnaongozwa na chuki za kidini ndio maana neno "Ushungi" halikauki mdomon mwenu.
Hasa hasa watu wa Moshi mnachuki sana za kidini.
Unfortunately wanaoweweseka ni Sukuma gang ila taratibu wanazidi kupoteana 😁😁😁..Salama?
Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.
Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia.
Rais Samia aliipokea nchi kipindi ambacho pengine wahanga wa Mwendazake walikuwa wengi wengi wengi mno.
Lakini pia Mashabiki Lia Lia wa Mwendazake walikuwa lukuki.
Kilichotokea baada ya Rais Samia kuingia madarakani tuliona wale wahanga wa Mwendazake kisiasa walijaribu kumprovoke Samia Suluhu Hassan but kilichoendelea wote ni mashahid hakuna tena cha Mbowe wala Mdude Chadema.
Siku zinazidi kwenda na Mwanamama huyu wa kipekee anazid kuonyesha uwezo mkubwa kiuongoz aliojaaliwa ambao kimsingi hatukuutegemea.
Twende mbele turudi nyuma Rais Samia Suluhu Hassan ni Mwanamama wakipekee haswa.
Maamuzi magumu ni yapi we maamumaHana maamuzi magumu, nadhani, jitafakari, angalia
Mwambie pesa zimepigwa wapi? Miradi yote iliyokwama huko Mara yote ni ya Mwendazake.Kurud Kwa Upigaji fedha za Umma si hasa "kumerudi" isipokuwa Uhuru wa habari umelud ndio maana hata habar za Upigaji zinachapishwa magazetin
Machadema bwana,ndio ni uwezo si wanaume wa hapo awali walishindwa au?Kumfunga mtu kwa kesi ya kutunga,,,Ni uwezo mkubwa
🚮🚮🚮Uvccm na shule za kata majanga ya nchi hii.
Kwa hiyo kwako mafanikio Rais Samia ni kumuweka Mbowe ndani na kuidhibiti Cdm ?!. Tanganyika tuna kizazi kiazi kabisa. Mafanikio hayapimwi kwa kuonea watu .
Mambo ni mengi wewe kenge tutajaza server za jf bure.Ubora wa huyu mama ni hii inflation? Au ubora wake ni kumbambikia Mbowe kesi kupitia hao vilaza wake huko mahakamani ndio ubora wenyewe?
Huwezi kwenda mbele na wakati huohuo ukawa unarudi nyumaSalama?
Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.
Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia.
Rais Samia aliipokea nchi kipindi ambacho pengine wahanga wa Mwendazake walikuwa wengi wengi wengi mno.
Lakini pia Mashabiki Lia Lia wa Mwendazake walikuwa lukuki.
Kilichotokea baada ya Rais Samia kuingia madarakani tuliona wale wahanga wa Mwendazake kisiasa walijaribu kumprovoke Samia Suluhu Hassan but kilichoendelea wote ni mashahid hakuna tena cha Mbowe wala Mdude Chadema.
Siku zinazidi kwenda na Mwanamama huyu wa kipekee anazid kuonyesha uwezo mkubwa kiuongoz aliojaaliwa ambao kimsingi hatukuutegemea.
Twende mbele turudi nyuma Rais Samia Suluhu Hassan ni Mwanamama wakipekee haswa.
Hujaelewa unaruhusiwa kurudia kusoma mpaka uelewe. Mafi yakoUvccm na shule za kata majanga ya nchi hii.
Kwa hiyo kwako mafanikio Rais Samia ni kumuweka Mbowe ndani na kuidhibiti Cdm ?!. Tanganyika tuna kizazi kiazi kabisa. Mafanikio hayapimwi kwa kuonea watu .
Mambo ni mengi wewe kenge tutajaza server za jf bure.
View attachment 2111799
View attachment 2111800
View attachment 2111801
View attachment 2111802
View attachment 2111803
View attachment 2111804
View attachment 2111805
View attachment 2111807
View attachment 2111808
View attachment 2111809
View attachment 2111810
View attachment 2111811
View attachment 2111812
View attachment 2111813
View attachment 2111814
View attachment 2111815
Miradi gani sasa hiyo ambayo inazinduliwa mara mbili?Nimecheka kwa nguvu, hiyo miradi kipindi Magufuli anaizindua propaganda ilikuwa ujenzi wake umefikia 75%, ila sasa bibi ushungi kaingia na yeye anaizindua lakini iko 60%! Hapo kazi ipo.
Miradi gani sasa hiyo ambayo inazinduliwa mara mbili?
Utakuwa unaelekea kuwa kichaa,unaona miradi ya maji inazinduliwa na mipya inawekwa wewe unasema Magufuli aliizindua..
Mwendazake alizindua barabara za Mji wa serikali sio hizi za outer ring road