Ukweli usemwe; Strategists wa serikali ya Samia wapo very smart, wamefanikiwa ku counter issue ya Kanisa la Gwajima kwa viwango vya juu sana

Ukweli usemwe; Strategists wa serikali ya Samia wapo very smart, wamefanikiwa ku counter issue ya Kanisa la Gwajima kwa viwango vya juu sana

Base ipi?

Hakuna CCM bila hivyo vyombo vya Dola nimekutajia.

Nyerere alikuwa anapanda majukwaani kuomba kura.

Wao hata kuomba kura siku hizi hawawezi. Wanakutumia lesa kununua watu, kuhonga wasanii na kupora uchaguzi kwa nguvu.
Kuwa kama strategist - kudeny base waliyonayo kwa sababu ya makosa yao mengi ni kushindwa kuchora ramani sahihi.

Inaweza kuwa base yao sio ya miaka 2000 lakini bado wana base, wana resources nk nk wanacontrol politics either kupitia wao wenyewe ama kupitia resources mbali mbali za dola na chama chao... huo ndiyo ukweli kwa maoni yangu - strategist mzuri atajiuliza maswali haya mfano;

Strength yao ni ipi
Base yao kubwa iko wapi
Base hiyo ina represent mikoa mingapi, kiasi gani cha kura
Weakness zai ni zipi
Je base ya upinzani kwa sasa ni wapi?
Kwenye hiyo base ya upinzani inarepresent mikoa kingapi? Wapiga kura wangapi? Nk
Mikakati ipi ifanyike kwa kuzingatia context ya kila sehemu?

Na nadhani, hii ndiyo hoja ya mtoa nada
 
Kuwa kama strategist - kudeny base waliyonayo kwa sababu ya makosa yao mengi ni kushindwa kuchora ramani sahihi.

Inaweza kuwa base yao sio ya miaka 2000 lakini bado wana base, wana resources nk nk wanacontrol politics either kupitia wao wenyewe ama kupitia resources mbali mbali za dola na chama chao... huo ndiyo ukweli kwa maoni yangu - strategist mzuri atajiuliza maswali haya mfano;

Strength yao ni ipi
Base yao kubwa iko wapi
Base hiyo ina represent mikoa mingapi, kiasi gani cha kura
Weakness zai ni zipi
Je base ya upinzani kwa sasa ni wapi?
Kwenye hiyo base ya upinzani inarepresent mikoa kingapi? Wapiga kura wangapi? Nk
Mikakati ipi ifanyike kwa kuzingatia context ya kila sehemu?

Na nadhani, hii ndiyo hoja ya mtoa nada
100 percent facts
 
Kusema CCM ishakufa ni kuwa - underestimate.. the best strategist hafanyi kosa hilo.

Bahati mbaya, hilo ndio kosa kubwa upinzani unafanya. Jamaa bado wana base kubwa sana. Kuna watu wengi ambao bado hawaamini kwenye upinzani, wapo wanaonufaika na status quo, wapi ambao the are resistant to change nk nk.
Facts
 
Sahihi kabisa kuitoa CCM kunahitaji akili na mikakati.

Wakati hayi yanafanyika; CCM wamekamikisha zoezi la kitia nia, kuchukua na kurusiaha form. Mchakato wa ndani umeanza na hadi tarehe 19 - majina matatu yatakuwa yamerudi ili kupigiwa kura na wanachama...

Wakati hayo yanafanyika Bunge lishavunjwa - wakabold eti litaisha rasmi trehe 3 August as if ni big thing - wakati bunge limefungwa na haliwezi kuitishwa tena.. watu wakatiririka na nyuzi humu weeeee - wakati mwisho wa mwezi huu kuna wabunge watakuwa wamekatwa, ama wameshindwa kwenye uchaguzi wa ndani (landa 40%). Practically ni risk (watakuwa na hasira) kuwaita wajadili miswada ya mabadiliko ya sheria ya Uchaguzi hata kama ingekuwepo... sioni tena Bunge likiitwa.

Wakati huo minong'ono ilikuwa TAL angeachiliwa kwenye appearance iliyopita lakini wapi - ni as if CCM ndio wanavujisha hizi taarifa ili kiwaingiza mkenge watu...

Wakati hayo yanaendelea, Tume ishatangaza Wasimamizi wa uchaguzi, na inawezekana tarehe ya uchaguzi itatngazwa hivi karibuni.

CCM are too scary, huwezi kupambana nao kwa hisia na maneno - hisia zinafade away kwa muda - inahitajika akili sana kudeal na hawa watu
100 percent facts.
 
Ukikaa na kuwaona ccm kuwa strategic na smart, ichunguze sana akili na uwezo wako wa kufikiri.

Unaweza vipi kuwachukulia poa watu walio kutawala kwa miaka 60?

We Utopian eeh?

Au hata huelewi * Strategy " ni kitu gani?
 
Gwajima kama karimu Mandonga ,kelele nyingi anafikiria serikali ni wafuasi wake wa huko kanisani ..Kanywea ,akapige hizo kampeni zake huko usukumani kwao sio Dar.
 
Unaweza vipi kuwachukulia poa watu walio kutawala kwa miaka 60?

We Utopian eeh?

Au hata huelewi * Strategy " ni kitu gani?
Mabavu, jeshi la polisi, kuikanyaga katiba, wizi wa kura, katiba mbovu...need I say more?

Kwako hizo ndio strategies?
 
Kuwa kama strategist - kudeny base waliyonayo kwa sababu ya makosa yao mengi ni kushindwa kuchora ramani sahihi.

Inaweza kuwa base yao sio ya miaka 2000 lakini bado wana base, wana resources nk nk wanacontrol politics either kupitia wao wenyewe ama kupitia resources mbali mbali za dola na chama chao... huo ndiyo ukweli kwa maoni yangu - strategist mzuri atajiuliza maswali haya mfano;

Strength yao ni ipi
Base yao kubwa iko wapi
Base hiyo ina represent mikoa mingapi, kiasi gani cha kura
Weakness zai ni zipi
Je base ya upinzani kwa sasa ni wapi?
Kwenye hiyo base ya upinzani inarepresent mikoa kingapi? Wapiga kura wangapi? Nk
Mikakati ipi ifanyike kwa kuzingatia context ya kila sehemu?

Na nadhani, hii ndiyo hoja ya mtoa nada
CCM bado ina wapiga kura hasa wanawake na wazee.

Ila haian strategy yoyote.

Inapumulia Dola tu.

Na kwasasa ndio wanaishi kwa hofu kubwa ,mpka wanaua ua watu wasio hata na madhara.
 
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Kwa wenye akili kiduchi wataamini hivyo
 
CCM bado ina wapiga kura hasa wanawake na wazee.

Ila haian strategy yoyote.

Inapumulia Dola tu.

Na kwasasa ndio wanaishi kwa hofu kubwa ,mpka wanaua ua watu wasio hata na madhara.
Kwenye hiyo strength yao;

Sasa kunatakiwa mkakati mahsusi wenye akili wa kushinda kura za wanawake na wazee kwa kufahamu kuwa wanawake wa Taanzani kwa haiba hawapendi vurugu...
 
Sio kama kutoka madarakani hawawezi laaaaa bado kuna wastaafu wanawashwa washa
 
Yaani, strategists wa Rais Samia wanaonekana wanajishughulisha zaidi na matukio (events), badala ya kuwa wale wanaopaswa kutoa mwelekeo wa sera, maendeleo, diplomasia, au usalama wa taifa kwa kutumia utafiti, takwimu, na uchambuzi wa kina. Strategist wa aina gani anayeweza kukabiliana na hoja au changamoto ya Gwajima kwa kutumia sehemu iliyokuwa kiwanda na kuibadili kuwa hema la kuabudia? Huo si mkakati, ni kukimbia hoja kwa mbinu za ajabu.
 
100 percent Facts.
Ndio maana ikaitwa " Political Science ". All these years in was wondering what is scientific about it. Now I understand.
Stupid
 
Kwenye hiyo strength yao;

Sasa kunatakiwa mkakati mahsusi wenye akili wa kushinda kura za wanawake na wazee kwa kufahamu kuwa wanawake wa Taanzani kwa haiba hawapendi vurugu...
Sisi tunataka uchaguzi wa HAKI.

Sio kwamba tunataka CHADEMA au vyama vya ushindani vishinde.

Kwa maoni yangu, bado CCM wanaweza kushinda vizuri tu, kwa wastani wa 56%+

Shida yao ni kutaka ushindi wa 100% au 90% kiasi kwamba wanaua ua watu bure bure tu.
 
Ilikuwa ni movie nzuri sana ila shida ni yule shekhe Mawinda sijui Mawanda ameharibu script,hakutakiwa kupewa nafasi ya kusema chochote,ameongea ujinga
 
CDM sio tu wajipange hawana mikakati maalum inayoeleweka.
Hawana agenda maalum ya kuishikilia kushawishi watu.
Mfano;
Unaenda kijijini watu hawana maji wewe umwambie No reform atakuelewa?
Sasa maji yatapatikanaje kma wakiomba nafasi wanashinda hawarangazwi acha kujizima data
 
Back
Top Bottom