Ukweli usemwe; Strategists wa serikali ya Samia wapo very smart, wamefanikiwa ku counter issue ya Kanisa la Gwajima kwa viwango vya juu sana

Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Samahani Mkuu,zile Barabara za vumbi alizosema Mpina nazo zimekuwa solved(zimewekwa lami)?
 
Hapa hoja yako ni nini hasa?? Umeandika vingi bila kueleweka. Mara Gwajima, Mara uislam Mara Mange, Mara CCM, Mara Mwamposa.. Ps cut it short tukuelewe!!
 
Yaani, strategists wa Rais Samia wanaonekana wanajishughulisha zaidi na matukio (events), badala ya kuwa wale wanaopaswa kutoa mwelekeo wa sera, maendeleo, diplomasia, au usalama wa taifa kwa kutumia utafiti, takwimu, na uchambuzi wa kina. Strategist wa aina gani anayeweza kukabiliana na hoja au changamoto ya Gwajima kwa kutumia sehemu iliyokuwa kiwanda na kuibadili kuwa hema la kuabudia? Huo si mkakati, ni kukimbia hoja kwa mbinu za ajabu.
Shida ni kukariri kwamba Watz wengi bado ni wajinga wanasahau kwamba ujinga haudumu!
 
CDM sio tu wajipange hawana mikakati maalum inayoeleweka.
Hawana agenda maalum ya kuishikilia kushawishi watu.
Mfano;
Unaenda kijijini watu hawana maji wewe umwambie No reform atakuelewa?
Kwanini huna Maji mpaka Leo hii
 
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Hapo unakuta Nawewe umeandika ,unaona umetumika Akili sanaaaaa.

Hivi UVCCM mna upungufu wa akili kwà kiwango kikubwa namna hii??.

Aloyasema Gwajima, ndio wameyasema TEC .

Mwamposa kakiri mwenyewe kua Vitu vyote kanisan ,akapewa na Serikali .

Ruwaichi Juzi kasema, wanakimbilia Kwa Waganga na Manabii Fake Akina Mwamposà.

Yaan Mwamposa naye unasema ni Mkristo? Unajua Ukristo unataka nn??

Kwa Ufupi ,mlishauriana ujinga, kama mlikua mnamtaka Gwajima , mngedeal naye yeye mwenyewe na SIO KUFUNGA KANISA , YAAN UNAFUNGA KANISA MPAKA HUKO VIJIJIN AMBAKO BARABARA NI MBOVU ¿?
 
Kwa kutumia tume hii eti kuitoa ccm? Labda kwa mtutu wa bunduki. Na wewe utakuwa umekuja au umetumwa kusawazisha uwanja isomeke shwari
 
As a matter of fact, In Tanzania, Arise and Shine is a next thing to the Catholic Church.

And kiuhalisia " Arise and Shine" ndio kanisa ama taasisi ya kiimani inayo hitajika Tanzania kuliko hata kanisa Katoliki na Uislamu,kwa sababu ndio kanisa pekee linalo waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.

Wakristu na waislamu wanasali kwa pamoja ndani ya kanisa la Mwamposa.

Huwezi kuliita kanisa dogo hilo
Kanisa la Mwamposa ni dogo(passive) kwa sababu limeshikiliwa na mtu na sio mfumo(system). Ukatolikini kuna mizizi mirefu mkuu kuanzia Ubatizo wa watoto wachanga(usajili wa kibabe),Komunyo,Vipaimara,Kufungisha Ndoa,Jumuiya n.k. Hiyo ni baadhi ya minyororo ambayo mkatoliki yeyote akishafungwa nayo kutoka hapo ni mpaka Yesu aingilie Kati. Ni minyororo ambayo haiwezi kukatwa kwa hizo drama ulizozitaja. System inang'olewa na stronger system jomba!

Hawa watu wenye hii dini(ukatoliki) wameieneza dini yao kwa mbinu kali sana. Sikubaliani na ukatoliki wao lakini pia sidharau mbinu zao za kuufanya ukatoliki uendelee kukamata mioyo na hisia za watu!

Mimi sio muumini wa kujifariji "faraja hewa",let us face the REALITY!
 
Back
Top Bottom