Ukweli usemwe; Strategists wa serikali ya Samia wapo very smart, wamefanikiwa ku counter issue ya Kanisa la Gwajima kwa viwango vya juu sana

Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Hata wale wale wa RC wa Kitima.

Hakuna wa kumtoa Samia tofauti na Mungu so wasijisumbue na upuuzi wao.
 
Umetumia criterion gani ku justify conclusion yako?

Umepimaje dhamiri za watu ukaona ni dhaifu kiasi cha pumbazwa kirahisi na upepo uvumao. Je umetumia kukaa kwao kimya?
Umewadogosha mno.

Harufu ya fallacy of generation inanukia mno.

Kushindwa kusoma alama za nyakati (muundo na mazingira) ni kujiandalia anguko.

Mwamposa na Gwajima si taswira ya Ukristo Tz. Hii haiakisi ukristo. Ukristo ni mpana sana. Ni sawa kwenda kumtembelea Cardinal na kudhani ndiye kiongozi wa Ukatoliki nchini ukadhani ume win kumbe uhalisia Hana mamlaka yoyote ya kiutendaji wa Kanisa nchini zaidi ya Jimbo lake.

Everything thing change nothing remain. Ni swala la muda tu Wala haitajiki akili kubwa. Kuna muda nyakati na majira yatakutema tu. naturally you die.
 
Tupe mrejesho baada ya Uchaguzi Mkuu
 
Ni wachache sana ndio wanaelewa political strategy iliyofanywa. Wengi wanaona ni tukio la kawaida tu hawana uwezo wa kung'amua mambo kama hayo siasani kwa kuangalia trending ya mambo mazito yanayotokea nchini kipindi hiki
 
wakristo Tanzania yapasa tuamke, tumtafute Mungu vya kutosha, hawa ccm na kina mwamposa wanatupotezea muda, badala ya wakristo Tanzania kumtafuta Mungu wameenda kujiunga kwenye dunia. waimbaji wote wa injili wamenunuliwa na dunia, wamekuwa upande wa dhurma, dunia nzima inaona namna makanisa yanavyofutwa Tanzania, malaki ya wakristo Tanzania nzima wakinyimwa haki ya kuabudu tena kwa mtutu wa bunduki na virungu vya polisi, ila wao wamechagua upande rahisi kwao kulisha tumbo. Mungu anawaona.
 
Ni wachache sana ndio wanaelewa political strategy iliyofanywa. Wengi wanaona ni tukio la kawaida tu hawana uwezo wa kung'amua mambo kama hayo siasani kwa kuangalia trending ya mambo mazito yanayotokea nchini kipindi hiki
Facts.
 
Umetumia criterion gani ku justify conclusion yako?

Umepimaje dhamiri za watu ukaona ni dhaifu kiasi cha pumbazwa kirahisi na upepo uvumao. Je umetumia kukaa kwao kimya?
Umewadogosha mno.

Harufu ya fallacy of generation inanukia mno.

Kushindwa kusoma alama za nyakati (muundo na mazingira) ni kujiandalia anguko.

Mwamposa na Gwajima si taswira ya Ukristo Tz. Hii haiakisi ukristo. Ukristo ni mpana sana. Ni sawa kwenda kumtembelea Cardinal na kudhani ndiye kiongozi wa Ukatoliki nchini ukadhani ume win kumbe uhalisia Hana mamlaka yoyote ya kiutendaji wa Kanisa nchini zaidi ya Jimbo lake.

Everything thing change nothing remain. Ni swala la muda tu Wala haitajiki akili kubwa. Kuna muda nyakati na majira yatakutema tu. naturally you die.
Mwamposa is the biggest thing in Tanzania next to the Catholic Church of Tanzania.
 
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Kumbe sometimes unaweza kun'gamua mambo kwa jicho la kijasusi !
 
Ile haiishi maaa kila Jumapili tunakumbuka kuwa kuna wenzetu hana pakuabudia.

Unaweza fikiri hii imeisha ila watu waapigana hii vita Kiroho mzee.

Leo upepiga nje.
 
Wale ni wakorofi tu. Tanzania hii huwezi kukosa sehemu ya kuabudia.
 
Yani mwamposa awe na impact kubwa kuliko Rc baada ya kuona Rc wamepika ban wanasiasa wamekikbikia kwa mwambosa ni swala la mda mtakuja tena na fact zenu za kulia lia
 
Yes si wanamuonyesha kwamba wapo serious. Wanalifungia kanisa lake. Kanisa la Gwajima ni biashara ya Gwajima.
Polisi wa siku hizi wamefundishwa karate, judo, boxing, mieleka, mbio, upelelezi, mbinu za medani etc lakini cha ajabu polisi huyo huyo akiwa na smg (silaha ya kivita) anakwenda kumkabili mama mzee au mama mwenye mimba asiye na hata kiwembe kanisani.
And you call that kumthibiti mbunge mmoja ambaye hayupo pale.
 
Hata salaam aliyokuwa anaikwepa siku zote kaitamka kisiasa zaidi na hakutaka ila imebidi

Ukiwa kiongozi mkubwa hata dini yako unaiacha.

Maana uongozi Una mengi sana

Ni kama aliehoji kwanini hakuna walokole matajiri?
 
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Unashabikia propaganda? Ambazo hazidumu labda aruke.sarakasi kilankukicha ut we still say.
Screenshot_2025-06-12-13-44-12-1.png
 
Back
Top Bottom