Ukweli usemwe; Strategists wa serikali ya Samia wapo very smart, wamefanikiwa ku counter issue ya Kanisa la Gwajima kwa viwango vya juu sana

CDM sio tu wajipange hawana mikakati maalum inayoeleweka.
Hawana agenda maalum ya kuishikilia kushawishi watu.
Mfano;
Unaenda kijijini watu hawana maji wewe umwambie No reform atakuelewa?
Hawana mikakati wakati huo wana kesi mahakamani, wakati huo wame katazwa kufanya mikutano, wame nyimwa ruzuku 🤣🤣🤣🤣
 
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani
Ingekuwa ameenda kuzindua Kanisa Katoliki ningekuunga mkono. Hilo kanisa binafsi la mtu halina impact!
 
Ni wachache sana ndio wanaelewa political strategy iliyofanywa. Wengi wanaona ni tukio la kawaida tu hawana uwezo wa kung'amua mambo kama hayo siasani kwa kuangalia trending ya mambo mazito yanayotokea nchini kipindi hiki
Hakuna strategy hapo ni police na mahakama tu inawahifadhi madhulumati CCM
 
Hawana mikakati wakati huo wana kesi mahakamani, wakati huo wame katazwa kufanya mikutano, wame nyimwa ruzuku 🤣🤣🤣🤣
Mkuu haikupaswa kucheka.
So hayo ndo ilikuwa mikakati yao?
 
Gwajima as a person, waumini?
Huwezi kumtenganisha Gwajima na waumini wake. Kanisa la Gwajima ni mali na biashara ya Gwajima. Waumini ni wateja wake. Lengo ni kuua biashara ya Gwajima.

At the end of the day waumini wataenda kwenye makanisa mengine.

Hiki ndio kipindi ambacho Gwajima anatakiwa kufanya " Miujiza " yake kuondoa hali ya sintofahamu kanisani kwako
 
Ingekuwa ameenda kuzindua Kanisa Katoliki ningekuunga mkono. Hilo kanisa binafsi la mtu halina impact!
As a matter of fact, In Tanzania, Arise and Shine is a next thing to the Catholic Church.

And kiuhalisia " Arise and Shine" ndio kanisa ama taasisi ya kiimani inayo hitajika Tanzania kuliko hata kanisa Katoliki na Uislamu,kwa sababu ndio kanisa pekee linalo waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.

Wakristu na waislamu wanasali kwa pamoja ndani ya kanisa la Mwamposa.

Huwezi kuliita kanisa dogo hilo
 
Mpaka hapa, hakuna kitu unajua kuhusu Kanisa na Ukristo Kwa ujumla. Upo gizani bado ndio maana unawaza ulivyo waza😂
 
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake.

CCM ni chama cha watu wa dini zote. Ishu ya Gwajima ingeweza kuleta " Damage" Kubwa kwa taswira ya Chama tawala na nchi kwa ujumla.

Kuondoa damage, Rais alianza kwenda kwenye uzinduzi wa kanisa la KKKT ambako alizungumza kiti kuhusu Gwajima, kuonyesha kwamba serikali haina tatizo na Ukristo ila Ina tatizo na Gwajima as a person.

Still bado kukawa na maneno ya chini chini kwa sababu ilionekana adui wa Samia kisiasa walitaka ku capitalize kwenye issue ya kanisa la Gwajima.

So wakati wana fanya mipango watu waandamane na waumini wa Gwajima, serikali imeenda kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa, kuonyesha their allegiance na kanisa/ wakristu.

Amini kwamba, uwepo wa Samia kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa umekuwa na very big impact mitaani in as far as " Issue ya kufutwa kwa kanisa la Gwajima " is concerned.

Imefuta na kupoteza kabisa hiyo " Gwajima Aura".

Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupeleka impression kwa wananchi kwamba issue ya Gwajima haihusiani na ukristu wake isipokuwa ni suala la kisiasa na suala la Gwajima kukiuka kanuni za chama chake.

Mpaka sasa, strategist wa Samia w amefanikiwa kusolve " Matatizo" Yafuatayo: 👇👇👇👇👇

1. The problem of Mange has been solved.

2. The problem of Gwajima has been solved.

3. The problem of Luhaga Mpina,(Sukuma Gang) also has been solved. " Kusimikwa uchifu wa wa sukuma/ kufanyiwa tambiko na wasukuma) ni tukio lililokuwa na impact kubwa sana kwa wasukuma na watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla. Daraja la Magufuli, Miradi kibao iliyopelekwa Kwanza, Jessica Magufuli kuwekwa karibu. Paul Makonda kuwekwa karibu etc

Watu kama Luhaga mpina hawawezi kuja na hoja " Wasukuma tunaonewa na serikali" Wakaeleweka.

4. The problem of Lissu lime kuwa solved

5. The problem of " No Reform no Election". Nalo lime kuwa solved. Ile spirit ya " No Reform No Election" haipo tena, now watu wanazungumzia kuhusu " Oktoba Tunatiki".

Mimi sipo kwenye siasa wala siamini katika siasa. My life philosophy hainuruhusu kuamini katika siasa or something.

But wapinzani wa CCM, chukueni hii👇👇👇👇👇👇👇

Kuna busara moja ya mtaani inasema, ukiona mtu ana ingiza hela nyingi kushinda wewe, tafsiri yake ni kwamba, mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe. So ukitaka kuchukua kitu anacho kimiliki basi lazima utumie akili kubwa kushinda yeye

Kwa mfano, jamaa yako mwenye hela nyingi amekupa lets say milioni kumi peleka sehemu. Wewe ukaingia tamaa ukajiteka na kujichoma visu halafu ukaenda kumwambia umevamiwa na vibaka, utakuwa unapoteza muda wako tu na utapata hasara Mara mbili, kwa sababu huyo jamaa mpaka amepata hela alizo nazo atakuwa ameshadhulumu sana na kutapeli sana, michezo yote anaijua, so kwa hiyo akili ya kitoto utafeli

Ni afadhali " Umuue " Baba ako anae ishi Bukoba, tajiri anaweza kukupa walau " Laki 5 " ya " Rambirambi" Japo ata doubt but atakupa the benefit of doubt.

Au ni Bora umsome udhaifu wake halafu utumie udhaifu wake kupata hela. Anapenda vitoto vya elfu 2 kama kina Likud hapa basi kuwa " Supplier" Wake utapiga hela.

Kuwaondoa CCM madarakani haliwezi kuwa jambo la kitoto wala la kukurupuka namna hiyo.

Lazima itumike akili na maarifa mengi na ya viwango vya juu sana.

Lazima watu waende shule wakae miaka na miaka kusoma na Ku practice namna ya kuwaondoa CCM kwa kutumia tume hii hii iliyopo.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple alikosa lugha ya kisayansi kuelezea Hilo tukio. So alirudi shule kusoma hesabu kwa miaka 10 ili kuweza kupata maarifa ya kuelezea hiyo concept kisayansi...

Chadema mmekosa lugha ya kisayansi ya kuelezea tatizo la " Kwanini mmeshindwa kuwatoa madarakani CCM". Si vibaya mkirudi Shule kusoma ili mjue tatizo lipo wapo. Ukilijua tatizo ni nusu ya kulisolve.

Athuman Juma Chama wa Yanga alifanya mazoezi mwaka mzima kwa ajili ya kumkaba Zamoyoni Mogella tu.

Kocha aliandaa program na mpango maalumu kwa Athuman Juma Chama kwa ajili ya kumkaba Mogella tu.

Chadema wajipange upya. Wafanye Mambo kisomi.

Nilisha suggest njia bora na ya uhakika ya kuleta Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa Chadema kuingia madarakani kwanza halafu ndio walete tume huru ( Jambo ambalo i doubt kama wanaweza kulifanya. Power is so sweet)

So watafute njia za kuwatoa CCM madarakani kwa kutumia tume hii hii iliyopo.. Inawezekana kwa asilimia Mia. Vyama vyote Africa vilivyo vitoa madarakani vyama vilivyo pewa nchi baada ya Uhuru, vilitumia katiba zilizo kuwepo madarakani

Mauti ndio kiboko yenu.

kuna Uzi nimeona, Uzi wa januari 2020 ukimtahadharisha Magu asigombee! hakusikia
 
Tangu lini CCM na serikali yake waliwahi kuwa smart?
Yaani uuue kiwanda cha nyama ili upate eneo la kusimika hema la tapeli wa kidini halafu uje useme wewe ni smart? How?
Nashangaa usmartness huo 😂😂😂
Usmartness wa kuendelea kuwakumbatia matapeli wa dini for political garbage influence ...
Unafufua kanisa badala ya kiwanda..bladfaken.
 
As a matter of fact, In Tanzania, Arise and Shine is a next thing to the Catholic Church.

And kiuhalisia " Arise and Shine" ndio kanisa ama taasisi ya kiimani inayo hitajika Tanzania kuliko hata kanisa Katoliki na Uislamu,kwa sababu ndio kanisa pekee linalo waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.

Wakristu na waislamu wanasali kwa pamoja ndani ya kanisa la Mwamposa.

Huwezi kuliita kanisa dogo hilo
hii taasisi bado ndogo sana licha mwamposa kutrendi sana miaka hii. Haina matawi huko mikoani, wilayani na vijijini, ni shughuli pevu kuwapiku wapentekoste ukiacha wakatoliki, labda ateke waislam kwa wingi wajiunge huko
 
inasikitisha sana kupongeza upumbavu unaofanywa na mpumbavu kufidia upumbavu wake.
how can u call killer smart person,kama kwa mtazamo wako huo ni u smart bado tuna safari ndefu kama taifa
 
Wewe mauti sio kiboko yako?
“Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani."

— Yohana 5:24 (Biblia Takatifu)
 
Back
Top Bottom