Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Kati ya hasara tuliyoipata sisi raia wa kawaida ni hii hali ya tulioaminishwa wana upeo wa kutufunulia mambo kugeuka mbumbumbu, njaa ya akili, ubinafs, uovyo, na uendawazimu\sonona. Sijui kwanini!

Leo hii ilibid wasomi wawe na mijadala mipana namna gan bas tubadilishe dreva wa gari letu! Haiwezekan una lori lilete pesa kama wengine lakin dreva wako ndo kila safar unaletewa taarifa za ajar na kununua vipuri! Na huwazii kumbadilisha, umekazana na bahat mbaya!

ELIMU! AKILI! UZALENDO! zimekuwa bidhaa adimu kizaz hiki!
 
Africa itaendelea kuwa masikini kwa sababu ya uongozi mbovu, huwezi kwenda kujadili bajeti inayotakiwa kutumika kwa miezi 12 kwa kukaa bungeni miezi 3 kulipana posho nono badala ya kuzalisha
 
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Ndo sababu mafuta mbadala ni dili saivi Kwa ukaangaji wa chips, kuku, maandazi, vitumbua, samaki.. na matumizi ya mighahawani Kwa ujumla..
 
Leo nimemkumbuka yule jamaa aliyekuwa akikata umeme tu mvua ikinyesha siku hizi kaacha kazi?
 
Nayasikia sana, ila ndo huyo mliyemfurahia awaongoze mlimponda yule mwingine na chuki juu wakati maisha yalikuwa afadhali kidogo.
Na bado tutakoma.
wakati wa yule muuaji kulikuwa hamna afadhali yoyote,Bora ya Samia Mara elfuuu,
 
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Tanzania tukiendelea kuwa chini ya serikali ya CCM hatutaweza endelea hata siku moja.....hawa watu ndiyo mabepari wenyewe wanaoturudisha nyuma kimaendeleo.
 
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Kwa maghfuli hali ilikuwaje?
 
Kuwa Afrika si kigezo cha kujitia "upumbavu" wa kujitakia.Ni kuwa na maamuzi tu.Umeyaangalia ya South Africa?Watu wanawajibishwa vilivyo kwa wrecklessnesses,negligences na madhila yao yote.Ni Afrika.

Kwa tanzania haiwezekani na haitowezekana kila katiba ambayo itakuja mtasema ibadilike,

Hii katiba ya sasa inaongea kila kitu mpaka adhabu inatoa mbona still hakuna kinachofanyika?

Mnaishia kupiga kelele jf na mambo yako vile vile
 
Bara la giza sn

Kabisa, Yan kuna vijana wakiangalia movies huko Netflix basi wanajua wanaweza kuhamisha Yale Mambo kwenye real life tena Tanzania

Rais hata akipunguziwa madaraka vipi bado atakuwa ni rais bado atakuwa mkuu wa majeshi yote

Na hata akifanya kosa kikatiba still hakuna mtu atamwajibisha
 
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Rim paper tulikuwa tunanunua 38 had 43. Sasa ivi 75 had 80 kwa katon. Hii ndiyo Tanzania bwana .

Wacha tuchezee.

Tulipenda wenyewe , wacha tuisome nambaa eee ccm mbele kwa mbele ×2
 
Africa itaendelea kuwa masikini kwa sababu ya uongozi mbovu, huwezi kwenda kujadili bajeti inayotakiwa kutumika kwa miezi 12 kwa kukaa bungeni miezi 3 kulipana posho nono badala ya kuzalisha
Hii hali inaanzia mbali kwenye familia kwa kufuraia mafanikio ya wizi na ubadhirifu! Kwahiyo hakuna atakayesumbuka na "Trust the proccess"!

Pia tabia ya kutumiana. Hata babu walikuwa wanaoa wake weng, watoto weng ili wawalimie kama mashine.

Pia mfumo wa ufalme haujatoka vizuri kwenye jamii. Ndo maana viongoz wetu wanapenda kusifiwa hata kuabudiwa kuliko walichofanya, kudhan wanasaidia, haiwahusu. Hadi mtu kawekeshwa fuko letu la taifa anasema kasaidia kufanya mradi flan!

Jamii yenye wazaz wanaoweza kutoa kafara watoto wao wa kuzaa au wazaz wao haiwez kutupatia watu wa kuangalia kizaz cha leo na kesho. Wataishia kubugua kama wanaishi wakiwa wa mwisho, ubinafs!

Mpaka sasa nimejiridhisha DEMOCRACY WAS NOT MEANT FOR EVERYWHERE TO SERVE THE PURPOSE!
Mjadala mkubwa sasa ni nani na kivip tutapata ukombozi halisi?

Nilicho na uhakika nacho mpaka sasa ni: walau njia ya ukombozi kwenye silver plate haipo! Tumeshatekwa na kuzingirwa na jeshi dogo lakin silaha nzito na za kisasa!

Anyway, IF YOU CAN'T DEFEAT THEM, JOIN THEM!
 
Tanzania itaendelea kuwa mbovu kama CCM akibaki madarakani - Afu kuna watu wanajidanganya eti tusubiri uchaguzi ,utafnya nn kwenye uchaguzi upige kura usipige sirikali itashinda tu.

Katika nchi yenye wajinga wengu Africa ni Tz ,hata kuandaamana kupata haki ya msingi watu hawawezi ,ni uoga mwanzo mwisho

mimi naombea maisha yaendeleee kuwa worse ili tukome vizuri .alaaaa
 
Kwa tanzania haiwezekani na haitowezekana kila katiba ambayo itakuja mtasema ibadilike,

Hii katiba ya sasa inaongea kila kitu mpaka adhabu inatoa mbona still hakuna kinachofanyika?

Mnaishia kupiga kelele jf na mambo yako vile vile
Mkuu,hivi kila mara watu wakisema katiba ya sasa ina mapungufu huwa unasikiliza kwa makini?

Ya sasa ina walakini.Inatakiwa mpya na imara.Kwa nini unang'ang'ania tu kwamba ya sasa ipo poa?

Kuanzia Nyerere mwenyewe,hadi leo hii watu wengi tunakuambia hii katiba ni mbovu.
 
Back
Top Bottom