Unaliq nini sasa!Mianya yangu ndiyo inapandisha bei ya vitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaliq nini sasa!Mianya yangu ndiyo inapandisha bei ya vitu?
Kajifunze kuandika kwanzaUnaliq nini sasa!
Haiwabani vilivyo na kuwaelekeza bila kuwapa chaguzi la nini la kufanya na wakati gani.Inawapa "uhuru" mpana hadi wanajisahau na kuiona Tanzania ni kama familia yao au ashakum si matusi,hawara yao.
Haitakuwa sawa kwa kadiri tutakavyoamua iwe kwa kuondoa ulegevu wake.Haitokuwa the same kama nia ipo.Hata ya sasa inatoa mwongozo kama huo but mbona hawafati?
So hata mpya itakuwa the same
Africa itaendelea kuwa masikini kwa sababu ya uongozi mbovu, huwezi kwenda kujadili bajeti inayotakiwa kutumika kwa miezi 12 kwa kukaa bungeni miezi 3 kulipana posho nono badala ya kuzalishaKati ya hasara tuliyoipata sisi raia wa kawaida ni hii hali ya tulioaminishwa wana upeo wa kutufunulia mambo kugeuka mbumbumbu, njaa ya akili, ubinafs, uovyo, na uendawazimu\sonona. Sijui kwanini!
Leo hii ilibid wasomi wawe na mijadala mipana namna gan bas tubadilishe dreva wa gari letu! Haiwezekan una lori lilete pesa kama wengine lakin dreva wako ndo kila safar unaletewa taarifa za ajar na kununua vipuri! Na huwazii kumbadilisha, umekazana na bahat mbaya!
ELIMU! AKILI! UZALENDO! zimekuwa bidhaa adimu kizaz hiki!
Bara la giza snSometimes uwa mnasahau kuwa tuko Africa
Ndo sababu mafuta mbadala ni dili saivi Kwa ukaangaji wa chips, kuku, maandazi, vitumbua, samaki.. na matumizi ya mighahawani Kwa ujumla..Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Kuwa Afrika si kigezo cha kujitia "upumbavu" wa kujitakia.Ni kuwa na maamuzi tu.Sometimes uwa mnasahau kuwa tuko Africa
wakati wa yule muuaji kulikuwa hamna afadhali yoyote,Bora ya Samia Mara elfuuu,Nayasikia sana, ila ndo huyo mliyemfurahia awaongoze mlimponda yule mwingine na chuki juu wakati maisha yalikuwa afadhali kidogo.
Na bado tutakoma.
Tanzania tukiendelea kuwa chini ya serikali ya CCM hatutaweza endelea hata siku moja.....hawa watu ndiyo mabepari wenyewe wanaoturudisha nyuma kimaendeleo.Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Kwa maghfuli hali ilikuwaje?Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Kuwa Afrika si kigezo cha kujitia "upumbavu" wa kujitakia.Ni kuwa na maamuzi tu.Umeyaangalia ya South Africa?Watu wanawajibishwa vilivyo kwa wrecklessnesses,negligences na madhila yao yote.Ni Afrika.
Bara la giza sn
Rim paper tulikuwa tunanunua 38 had 43. Sasa ivi 75 had 80 kwa katon. Hii ndiyo Tanzania bwana .Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Hii hali inaanzia mbali kwenye familia kwa kufuraia mafanikio ya wizi na ubadhirifu! Kwahiyo hakuna atakayesumbuka na "Trust the proccess"!Africa itaendelea kuwa masikini kwa sababu ya uongozi mbovu, huwezi kwenda kujadili bajeti inayotakiwa kutumika kwa miezi 12 kwa kukaa bungeni miezi 3 kulipana posho nono badala ya kuzalisha
Tulimchukia sana Magu. Sasa ivi wananchi wa hali Chini ndiyo wanapata tabu. Mama anaupiga mwingi mnooAmeumiza sn wananchi kupita kiasi
Mkuu,hivi kila mara watu wakisema katiba ya sasa ina mapungufu huwa unasikiliza kwa makini?Kwa tanzania haiwezekani na haitowezekana kila katiba ambayo itakuja mtasema ibadilike,
Hii katiba ya sasa inaongea kila kitu mpaka adhabu inatoa mbona still hakuna kinachofanyika?
Mnaishia kupiga kelele jf na mambo yako vile vile