Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Naunga mkono hoja, huu ndio ukweli wenyewe halisi, wanaopinga ni wanapinga tuu for the sake of kupinga tuu lakini ukweli huu nao wanauona kwa macho yao wenyewe!Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani.
Kero zao , shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani
Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za watanzaniaView attachment 2829945
Anko upo sahihi.Naunga mkono hoja, huu ndio ukweli wenyewe halisi, wanaopinga ni wanapinga tuu for the sake of kupinga tuu lakini ukweli huu nao wanauona kwa macho yao wenyewe!.
CCM inazidi kuimarika, kupendwa na kukubalika, hadi makapi ya ndani ya chama, yameanza kujichuja yenyewe!!, si mnaona!.
Na hapa ndio mwanzo tuu!.
P
Tindo atachukiaNaunga mkono hoja, huu ndio ukweli wenyewe halisi, wanaopinga ni wanapinga tuu for the sake of kupinga tuu lakini ukweli huu nao wanauona kwa macho yao wenyewe!.
CCM inazidi kuimarika, kupendwa na kukubalika, hadi makapi ya ndani ya chama, yameanza kujichuja yenyewe!!, si mnaona!.
Na hapa ndio mwanzo tuu!.
P
Zipi?Kwani zile tetesi zilizo muhusisha na bosi wake wa zamani (aliye jiuzulu), zina ukweli..??
Tetesi zipi?Kwani zile tetesi zilizo muhusisha na bosi wake wa zamani (aliye jiuzulu), zina ukweli..??
Hata mimi nimeuliza.Tetesi zipi?
Pumbavu. Acha kukomenti ishu kama hizi.Pumbavu kabisa.Acha wafu wasifiane na kuzikana! Vipi baada ya uchafuzi sasa kampeni ya kutwaa likiti lileee? Mpaka mwenyekiti aje ashtuke na yeye alishapinduliwa!! Acha tuendelee kuangalia hii movie,, Ongezeni Popcon huku😎
Jaluo. Sema ukweli ya kwakoLumumba mmeamshana asubuhi yote hii kutuvuruga mawazo. Kama kwa miaka 62 kimeshindwa kutatua kero za wananchi, leo aje huyu Bashite akipe heshima ?!. Anyway ni njia zenu za kujipatia mkate. "Kusifu na kuabudu"
By the way hizo zinazoitwa kashfa zilizomtoa Chongolo mbona hamzizungumzii. Kwanini mnazipotezea !

Kaka P kweli unaiweza iyena iyena kwa kuandika humu JFNaunga mkono hoja, huu ndio ukweli wenyewe halisi, wanaopinga ni wanapinga tuu for the sake of kupinga tuu lakini ukweli huu nao wanauona kwa macho yao wenyewe!.
CCM inazidi kuimarika, kupendwa na kukubalika, hadi makapi ya ndani ya chama, yameanza kujichuja yenyewe!!, si mnaona!.
Na hapa ndio mwanzo tuu wa hizi amsha amsha!, kama ni mvua, hii ni rasha rasha tuu!, mvua halisi ni 2025!.
Ila pia kijana ni msikivu sana, alianza kwa moto sana, tukampooza Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka! sasa anakwenda vizuri!.
Na kwa vile humu umezuka mtindo ukimkubali mtu ukamsifia na kumpongeza, huchelewi kuitwa chawa!,
angalia huyu dogo sisi kaka zake, tumeanza nae wapi.
Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Makonda, piga kazi, tuko nyuma yako!
P