Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani.

Kero zao , shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani

Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za watanzaniaView attachment 2829945
Sawa kutoa matamko,lakini ipo kwenye "Job Description" yake?That is the main concern.Yeye ni Publicity Secretary wa chama,kwa hiyo hiyo sio kazi yake,amwachie Katibu Mkuu.Kama Samia angetaka Makonda afanye kazi anazofanya sasa,angemteua kuwa Katibu Mkuu,sio Katibu Mwenezi.Tunaomba mtuelewe.

Jamani hivi CCM imejaa mazezeta tupu kwa hiyo commonsense haipo tena?
 
Uenezi ni matangazo?
 
Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani.

Kero zao , shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani

Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za watanzaniaView attachment 2829945
Chama tawala lazima kiwasimamie watendaji wa Serikali
 
Attachments

  • IMG-20231201-WA0089.jpg
    IMG-20231201-WA0089.jpg
    148.7 KB · Views: 1
Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani.

Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani

Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za Watanzania.

View attachment 2829945
Sema amerudisha heshima kwenye ukoo wenu.
 
Kwani zile tetesi zilizo muhusisha na bosi wake wa zamani (aliye jiuzulu), zina ukweli?
Kuna habari zingine kwenye baadhi ya mitandao wanasema ni mwingine yule aliekuwa anaimba huku akikimbia na kujirekodi
Wanasema ndio aliekuwa anapika hapo
 
Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani.

Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani

Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za Watanzania.

View attachment 2829945
NA HASA HILI SUALA LA KUWANYAMAZISHA CHADEMA YAANI NCHI IMETULIA TULIIIIIII
 
figisu mpka kwa PM aiseeee kweli mwamba karudi
 
Naunga mkono hoja, huu ndio ukweli wenyewe halisi, wanaopinga ni wanapinga tuu for the sake of kupinga tuu lakini ukweli huu nao wanauona kwa macho yao wenyewe!

CCM inazidi kuimarika, kupendwa na kukubalika, hadi makapi ya ndani ya chama, yameanza kujichuja yenyewe!!, si mnaona!

Na hapa ndio mwanzo tuu wa hizi amsha amsha!, kama ni mvua, hii ni rasha rasha tu!, mvua halisi ni 2025!.

Ila pia kijana ni msikivu sana, alianza kwa moto sana, tukampooza Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka! sasa anakwenda vizuri!.

Na kwa vile humu umezuka mtindo ukimkubali mtu ukamsifia na kumpongeza, huchelewi kuitwa chawa!,
angalia huyu dogo sisi kaka zake, tumeanza nae wapi.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni.

Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze!

Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze..

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Makonda, piga kazi, tuko nyuma yako!

P
Yule Jamaa ana kitu,nadhani ata Deep state wameona,ata yule Sabaya, Polepole,Bashiru,l na Bashe,wanatakiwa CCM iwalinde kwa nguvu sana maana ni vijana ambao wana uwezo wa kuongoza ila kinachotakiwa ni kuwapa tu guidance za hapa na pale.
Hawa wakina January,Nape na Mwigulu walikuwa wanapewa nafasi kwasababu ya visibility tu na propaganda za Godfathers wao lakini hawana impact yoyote zaidi ya uroho wa madaraka.Wamejaribiwa kwenye Uwaziri badala ya kuonesha uwezo wao wanaanza kuleta usanii wa kutamani Urais.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom